samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Fredrick Shoo asema Kanisa la Kilutheri lina imani na Rais Samia

    MHESHIMIWA RAIS KANISA LIPO PAMOJA NAWE Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Fredrick Shoo amesema Kanisa hilo lina imani na Rais Samia Suluhu Hassan na kwamba litaendelea kusimama naye katika maombi na kumuunga mkono katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. Dkt...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Rais Samia anasifiwa kwa ukimya upi?

    Jambo la kushangaza ni kwamba watu wanageuza mada walianza na kuupiga mwingi . Mara mtulivu. Sasa anapongezwa kwa ukimya . Upi huo maana bila kuvuja mkataba wa bandar haya tungeyajuaje si alikiwa kimya pia. Lakini tunajua alivyo ng'aka pale ndugai aliposema nchi inauzwa ..mama hana majibu...
  3. JamiiForums Tanzania Wakati KKKT wakiunga mkono Uwekezaji Bandarini Rais Samia asema hakuna wa kuligawa Taifa

    "Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, usipuuze maono na ushauri wa viongozi wa dini.

    Wakati wa utawala wa Magufuli madhehebu ya dini ya Kikristo yalipoona uminywaji wa demokrasia na uhuru wa kujieleza, kupotea kwa watu uliokuwa ukifanywa na serikali, hayakukaa kimya yalitoa Nyaraka mbali mbali kumuonya Rais Magufuli na serikali yake. Lilianza Baraza la Maaskofu wa kanisa la...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kweli. Mashirika ya Umma kuwa ya Umma kiukweli

    Mama Samia anafanya kweli, hayumbishwi hata kidogo. Hakuna tena longolongo ya kuitwa "mashirika ya umma" huku yanabaki kuwa kichaka cha wapigaji wachache. Mama amesema Arusha, mashirika ya umma yawe ya umma kiukweli, Watanzania wauziwe hisa na wawe na kauli nayo. Kama mama Samia alivyofanya TPA...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Rais wa matajiri(?)

    Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari. Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana. Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni...
  7. JamiiForums Tanzania Samia ni Rais wa Watanzania Wote Tunamuhukumu kwa matendo na siyo Dini yake

    Kwa ufupi kabisa sakata la DPW ni ukiukwaji wa wazi wa sheria na katiba ya nchi yetu. Ndiyo maana hata wanaopinga wanataja vifungu vya sheria ambavyo vimekiukwa. Sasa wale wenzetu wa upande wa pili sisikii wakitaja vifungu chochote cha sheria kuutetea mkataba kwamba ni halali bali na kuongea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Namuonea huruma Samia!!

    Mama alizoea wazanzibar wenzake ambao ni wakalimu na wastaarabu sana kulingana na Imani Yao kuwa strong na inayomwagopa mungu sana. Kwa kawaida muslimuls love God by heart contrary to christians who love God by their brains. Hivi ni vitu viwili tofauti ndo mana kwao wizi, ujambazi na uchafu wote...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kuna mtu mmoja tu hapa Tanzania anaweza kukusaidia kuuvuka huu mtihani wa DP World na TEC - muite, ongea nae, msikilize, ufanye atachosema

    Raisi Samia, kwa sababu ya mambo fulani yaliyojitokeza hupa JF Forums, niliahidi kutotoa post tena. Lakini kwa ajili yako nimeamua kuvunja mwiko huo. Nimefuatilia kwa makini sana yanayoendelea juu ya suala la DP World, jinsi lilivyoshughulikiwa Bungeni, na sasa kufikia hatua ya tamko la TEC. NI...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Amtembelea Mkuu wa Majeshi wa Kwanza Mstaafu, Jenerali Mrisho Sarakikya, Nyumbani Kwake Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu Jenerali Mrisho S. Sarakikya wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Nkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Sijaona kama Samia kwa utendaji

    Katika utawala wake ni wakati wakulima wengi tunanufaika na sera zake za kufungua nchi, mbaazi kutoka kuuzwa tshs 150 Hadi mnada wa juzi chama kikuu Cha TENECU Newala bei ya juu 2160 na ya chini 2050. Ufuta ndio umevunja rekodi, muhogo tulikuwa tunalisha nguruwe tu Leo gunia ni 90,000, Mahindi...
  12. JamiiForums Tanzania Sina mashaka na Rais Samia Suluhu Hassan

    Sikuwahi kumfahamu vizuri kabla ya Bunge la Katiba. Ila wakati wa Bunge la Katiba kuna muda alikuwa anachair vikao kipindi kile kina Tundu Antipass Lissu wana mchecheto kweli. Kusema kweli Rais Samia hasumbuliwi na siasa za maneno, sijui siasa za vitisho, sijui siasa za kuponda. Kipindi kile...
  13. JamiiForums Tanzania Mama Samia Mungu yu Pamoja nawe adui yako unaye ndani kwako piga kazi

    Angalizo Mods naomba huu uzi usiunganishwe na uzi mwingine tafadhali. Juzi walikusifia Jana walikuchoka Leo wanakuzomea kesho watakufukuza lakini hao hao kesho kutwa watarudi tena kwako hivyo wazoee endelea kupiga kazi. Walianza wanaojiita wanaojiita wanaharakati kupinga baadhi ya vipengele...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia, nikutakie kila la heri wakati huu mgumu kisiasa

    Natanguliza kumpa heri na pole Mama yetu Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Haya mazonge zonge ya DP World yaliyotokea katika hii miezi karibia minne hivi yanatosha kumchosha mwanasiasa yeyote. Yaliyotokea si bahati mbaya, ni mipango iliyosukwa na hatimaye kupata ridhaa ya Taasisi...
  15. JamiiForums Tanzania Wakatoliki (TEC) wameanza, huenda wakafuata waprotestant (CCT), wapentekoste(PCT) na wasabato. Rais Samia nakushauri achana na DP world!

    Dalili ya mvua ni mawingu, unaweza ukapuuzia mawingu lakini manyunyu yakianza hupaswi tena kuyapuuzia maana mvua ikishashika kasi huna tena ujanja, ni kuloa tu. Wasomi waliokosoa mkataba wa bandari kupewa DP world huenda yalikuwa ni mawingu tu, vyama vya siasa (hususani CHADEMA) na...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino, Dodoma leo tarehe 18/08/2023
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuzindua Miradi Nane Kizimkazi Day"

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua na kuweka mawe ya msingi miradi nane yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni moja iliyopo Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni kuelekea katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Day) linalotarajiwa kuanza Àgosti 26 mwaka huu. Akiota taarifa kwa vyombo vya...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro: Tibaijuka alikosoa mkataba wa bandari, amekamatwa? Asema ukitukana viongozi uhuru wako unaishia hapo

    Akizungumza katika kongamano la huduma ya msaada wa kisheria na upatikanaji haki kwa wananchi linalofanyika mkoani Arusha jana Alhamisi Agosti 17, Dk Ndumbaro amehoji kutokamatwa kwa Prof. Anna Tibaijuka na wengine ambao wamekosoa mkataba wa bandari. Ndumbaro amesema kukatwa kwa Dkt. Slaa na...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Apokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa Kikao kilichofanyika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Muda wowote kuanzia sasa Samia ataachana na DP World!

    Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World! Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…