samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

    Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!. Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba. Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu. Mimi binafsi simpendi na si...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki chakula cha Jioni (Africa Food Prize - Gala Dinner) - Ikulu

    https://www.youtube.com/watch?v=J0ZiggITXdI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki chakula cha jioni na Afrika Food Prize - Gala Dinner alichowaandalia wageni waliohudhuria mkutano wa AGRF leo tarehe 07 Septemba, 2023 katika viwannja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni kigogo au fisadi gani papa amewahi kuburuzwa mahakamani tangu Rais Samia ashike usukani?

    Vigogo wako juu ya serikali awamu hii, wanatamba na kufanya wapendavyo. Na hakuna wa kufanya fyoko. Hakuna kigogo yeyote wa serikali, hata waliotajwa na CAG kuwa wamefuja mali za umma ambaye ameburuzwa mahakamani hadi leo. Mama anabakia kusema tu "stupid" lkn hayagusi haya majitu mazito kuliko...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF), leo Septemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF) inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo tarehe 07 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/xAtezYAOGFE?si=qxG0Me86MAnoOkRU...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Viongozi wa Taasisi za Kimataifa wakishiriki kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Afrika Nchini Kenya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 2023) Nairobi- Kenya tarehe 05 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Wakuu wa Nchi na Serikali...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwachekee wanaohujumu juhudi za usambazaji wa mafuta

    Salaam wanabodi, Ndiyo, kumekuwako ukosefu wa mafuta katika baadhi ya vituo vya kuuzia mafuta nchini, ukifika hapo unaambiwa petrol imekwisha. Mtazamo wangu ni kuwa hawa wafanya biashara aidha wanakuwa wakisubiri bei kupanda au wanatengeneza uhitaji wa ziada kwa sababu wanazuia usambazaji na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wapinzani: Je, Samia agombee 2025 au ampe kijiti chuma kingine kama Magufuli?

    Upinzani sasa hivi wanasema Samia ameshindwa uongozi na ni kiongozi mbaya kuwahi kutokea. Yaani ni mbaya kuliko hata Magufuli waliyekuwa wanadai ni kiongozi mbaya zaidi. Tundu Lissu mara kadhaa amesikika akimsifu Magufuli kwa uzalendo wake na kusema ataenda Chato kumwambia jinsi CCM na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bado napokea 'Vikaratasi' vya mnaowabambikia kesi

    Rais Samia ametoa kauli hiyo kwenye ufunguzi wa Kikao cha Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, ambapo amesema amekuwa akipata jumbe zinazoonesha bado kuna Kesi za Kubambikizwa kwenye Vituo vya Polisi Nchini. Rais amelitaka Jeshi la Polisi kulifanyia kazi tatizo hilo ili wanaofikishwa kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kamera za Usalama zitaondoa Rushwa na ulazima wa kutumia 'Matrafiki' kila sehemu

    Akizungumza leo Sept. 4, 2023 wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, Rais Samia amesema wananchi bado wanalalamikia tatizo la Rushwa hasa kwa Askari wa Barabarani. Amesema “Mfano tukiweka Kamera za Barabarani hakutakuwa na sababu ya Askari kusimama Barabarani...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kuteuliwa Kwa Naibu Waziri Mkuu ni ishara ya kuaminiwa kwa majukumu makubwa zaidi kimataifa PM Majaliwa na Rais Samia

    Tofauti na wengi wanaoona ,uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu umekuja kufuatia mamlaka kutomuamini Waziri Mkuu lakini mtazamo huo upo tofauti na mtazamo wangu. Kwa mtazamo wangu, mamlaka imemuamini sana Waziri mkuu na uteuzi huu una lengo la kumuamini zaidi kwa majukumu makubwa ya kimataifa. Sote...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amshangaa Rais Samia kumteua Alexander Mnyeti kuwa Waziri. Asema hana uadilifu

    Ni leo J'pili tarehe 3/9/2023 alipokuwa akiongea na wananchi katika Kijiji cha Kiabakari - Butiama mkoa wa Mara katika mfululizo wa mikutano ya CHADEMA katika OPERESHENI +255 KATIBA MPYA, OKOA BANDARI ZETU - Tanganyika. Video: By Mwananchi Digital -- Rais Samia ameteua Baraza la Mawaziri...
  13. JamiiForums Tanzania Chalamila: Sijaona Rais Samia ukielekeza Ukatoliki au Ulutherani wa mtu kufanya mambo unayoyataka

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Kikao kazi cha Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi, Oystebay, leo Septemba 4, 2023. https://www.youtube.com/live/Ft4BQNhtlHE?si=wnu_34cmAx82c_0X Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watetezi wa Rais Samia wamekosa hoja, inaonesha wamezidiwa

    Mimi binafsi kama raia wa kawaida nilitarajia kusikia watetezi wa Rais Samia wakijibu hoja za Lissu, Mwambukusi na wengineo kwa hoja zenye mantiki. Mfano, kwa nini IGA ni mkatataba tayari kama ibara ya 2 ya IGA inanyosema. Kwa nini IGA iseme migogoro itapelekwa ICSID Kinyume na sheria za ulinzi...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu kumuwakilisha rais Samia uapisho wa Emmerson Mnangagwa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Septemba 03, 2023 ameelekea nchini Zimbabwe kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uapisho wa Rais mteule wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa.
  16. JamiiForums Tanzania Heshima kwa Rais Samia

    Jinsi hali ilivyo mbaya hasa maeneo ya Kijijini na hata mijini pia, Serikali inajaribu kuweka mamba sawa - Unajiuliza utawalipaje watumishi mishahara. Uongeze ajira mpya mana wasio na Ajira ni wengi na hali ni mbaya - Ufanye maendeleo katika uongozi wako -Ujibu matusi unayotukanwa mitandaoni...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Watakaoshindwa kusimamia fedha za TASAF kuondolewa, Rais Samia atoa Bilioni 51

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika mwaka huu wa fedha 2023/24, Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jumla ya Bilioni 51 kwa ajili ya kwenda kunufaisha Watanzania waishio katika mazingira magumu kupitia Mpango wa kuokoa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Maoni: Dira ya Taifa ya maendeleo ya 2050 itakayofungamanishwa na falsafa ya 4R ya Rais Samia na Katiba mpya italeta MATOKEO MAKUBWA KESHO

    "The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotamkwa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi cha pili mwaka 2012. Ilikuwa ni hotuba ya matumaini makubwa kwa Marekani na Wamarekani. Kwa tafsiri...
  19. JamiiForums Tanzania Hili Kundi la 'Vijana na Samia' limebarikiwa na CCM na Serikali, manake si kwa Kujikomba huko

    Na Msemaji wake ni Mtangazaji wa Michezo EFM Radio ambaye hajawahi Kuelewana na Wenzake katika Media anayofanya na Mwenezi wa CCM katika Shina huko Temeke aitwae Twalib Othman Muwa. UVCCM ina maana pamoja na Kujipendekeza na Kujikomba Kwenu kwa Watawala ( Marais ) wa nchi hii Safari hii...
  20. JamiiForums Tanzania Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na Tume Huru ya Uchaguzi? Samia Atabarikiwa Sana!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Hili ni swali la pendekezo uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, usogezwe na kufanyika 2025, ufanyike siku moja na uchaguzi mkuu wa 2025, na usimamiwe na Tume huru ya uchaguzi, by that time pia ile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…