samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mijitu hii iliyoshindikana unaishia kuiambia "STUPID"?

    Ukihitaji salamu soma kwanza hizi nondo, tofauti na hapo utaambulia chuya! Wakazi wa Pemba & Unguja ni wakazi wa jamii ya Kiswahili ambayo hufanya mambo Ki-Goi Goi mnoooo!,Hii imepelekea hata viongozi wanaopatikana kutoka hizo pande mbili kutokuwa na misimamo mikali kama watu wa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hurumia wazee waliolitumikia taifa kwa uaminifu leo wanalipwa Tsh 3,000 kwa siku

    Raisi wangu Samia naandika post hii nikiamini kwa huwa unapitia jukwaa hili kama siku moja ulivyotwambia. kama siyo wewe kuusoma mwenyewe basi naomba wasaidizi wako wakufikishie ujumbe huu. Kuna wazee wastaafu waliolitumikia taifa hili kwa uaminifu, na unajua kuwa huko myuma hapakuwepo ujanja...
  3. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara kuongoza Shirika la Umma Rais Samia unaenda kusiko

    Nilipigwa butwaa, kama si kushangaa, mama Samia akiongea na wateule wa mashirika na nafasi mbali mbali za kiuongozi. Lililonishangaza, eti yule mpendwa wetu Maharage Chande, alipoenguliwa TANESCO na kupelekwa TTCL, "ikagundulika"(mind you baada ya uteuzi) kuwa ana biashara yake inayo gongana...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa miezi 6 Mkurugenzi mpya wa TANESCO kuondoa kero ya kukatika Umeme

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais samia Amekata kiu ya watanzania na kulituliza Taifa ambapo muda mwingi walikuwa wanataka kusikia kauli yake juu ya changamoto ya kukatika kwa umeme. Kwa utulivu ,upole,uthabiti na uimara wa hali ya juu sana amelieleza Taifa sababu ya chagamoto hiyo na mikakati...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuna ‘crisis’ ya umeme, tunafanya ukarabati wa mashine

    Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Maharage ana biashara ndani ya TTCL ndio maana nimemtoa

    https://www.youtube.com/watch?v=JHMCidEdAKY === Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo. "Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi ashiriki kupokea madawati 50, washuhudia mamilioni ya Rais Samia ujenzi wa shule

    Jana Jumatatu Septemba 25, 2023 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Col. Aggrey Magwaza pamoja Mkurugenzi wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi Seka Urio katika mapokezi ya madawati 50 yenye thamani ya milioni tano kutoka...
  9. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Kiintelijensia: Magonjwa 10 yatakayosababisha kifo cha TTCL

    1. Hapo zamani mtaji wa TTCL uliporwa na kina Mwandosya na kupelekwa kampuni mpya ya Airtel, ambayo sasa ni kubwa kuliko TTCL, na mshindani wa TTCL. 2. Kuna wakati, kila mwaka serikali ilikuwa inaleta bilioni 1.8+ kwa ajili ya network operations and maintenance, kazi inayosimamiwa na Head of...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Samizi aungana na wanamichezo kusaidia wenye uhitaji na kumuunga mkono Rais Samia

    Jana Jumapili imekua siku nzuri kwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi kufurahi na wananchi wake wa Jimbo la Muhambwe ambapo alipata mwaliko wa uzinduzi wa tawi la Yanga SC pale Mukabuye. Uzinduzi wa tawi hilo la Yanga SC umekuwa na shangwe na umati mkubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je jopo lililomshauri Magufuli limerudishwa ikulu kumshauri samia?

    Baada ya Sakata la DPW upepo wa siasa umebadilika sana ni dhahiri mama kashagundua alikuwa amezungukwa na ukoo wa panya. Hii pangua pangua. Weka ma meja general kaanza kurudi kwa mtangulizi wake kuna kila dalili timu ya washauri imeshabadilika
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini umeme usimuondoshe Rais Samia madarakani?!

    Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu. Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, wananchi wa Kakonko tunaomba barabara mpya ya Kakonko (Kigoma) kwenda Mambali (Uyui)

    Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Philip Isdory Mpango Nawasalimu sana katika jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA! Baada ya Salaam hizi nachukuwa wasaa huu kuwaombea afya ya siha bora Wewe, Rais wetu kipenzi Samia Suluhu, Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa Kassim na viongozi wote wa nchi hii...
  14. JamiiForums Tanzania Falsafa ya R 4 za Rais Samia inakupa Mtanzania uhuru wako wa kweli

    Toka nilipoanza kuzisoma na kuzifanyia tafiti zangu binafsi R 4 za mama Samia nimeona na nnaendelea kuona kuwa R 4 za mama Samia zimelenga kumpa uhuru wa kweli kila mmoja wetu kivyake na siyo uhuru wa kukusanywa kikundi na kujazwa ujinga na "viongozi". Tatizo kubwa na la kipekee la Watanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Hongera Mama Samia kwa kuvunja genge la Wapigaji, Maharagwe ya January na chemba ya Yakobo

    Iko hivi miradi yote ya upigaji ya Tanesico alikuwa anaifanya Maharagwe na January Kipara,mikataba hiyo ilikuwa inasainiwa kwenye chemba ya Bwana Yakobo,huyu Yakobo ni rafiki sana wa Mzee Kinena,mambo yake mengi ya kisheria yanafanywa kwenye chemba ya Bwana Yakubo, Kwa mara nyingine Mama...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya hadhara sio fursa wala zawadi, Rais Samia lijue hili

    Nilikuwa napitia hotuba mipasho ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Samia Suluhu Hassan kwa vyama vya siasa. Samia anasema, "ndio maana tumetoa fursa hiyo ili vyama viende kwa wananchi mkajijenge mkue. Hatukutoa fursa hiyo ili mkatukane, kukashifu nakadhalika". Samia tambua kuwa mikutano ya hadhara kwa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia weka maDED kutoka taasis zilizofanya vema usimamizi wa Miradi

    Kumekuwa na shida ya kupata MADED waliokuwa na uwezo wa kusimamia Halmashauri hasa upande wa Miradi ambako Fedha zimekuwa zikichotwa hovyo, hii ni kutokana na MADED wengi wamekuwa wakiteuliwa kutoka LUMUMBA, wengi wao wakiwa ni makada na hawana taaluma au uzoefu wa kuendesha ofisi hasa katika...
  18. JamiiForums Tanzania Nashukuru mama Samia amenisikia.

    Nchi ina wizara na idara nyingi sana.Pamoja na umuhimu wa kila moja lakini kuna idara tatu ni muhimu zaidi katika kuitawala nchi.Hizo hizo ndizo zinazotumiwa na wapinzania wanapotaka kumletea matatizo mtawala aliyepo madarakani. Idara hizo ni maji,nishati hasa umeme na chakula ikiwemo sukari...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Umekwishalipa Fadhila Kwa Waasisi wa CCM, Sasa Fanya Kazi Yako Kama Rais

    Halina ubishi teuzi zote za akina Nape Nnauye, Makongoro Nyerere, Januari Makamba, Ridhiwani Kikwette, Halima Bulembo, Maharage Chande, Vita Kawawa na wengineo wengi zilikuwa ni kulipa fadhila kwa wale wanaoitwa "waasisi wa CCM." Wateule wote hao hapo na wengine wengi lazima waepita kwa JK au...
  20. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa Kumtumbua Maharage wa TANESCO. Naomba apelekwe Mahakamani

    Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco. Rais Samia, hapa umeupiga mwingi. Mtumbue na Januari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…