samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha: Maelfu ya wananchi wa Nzega walivyompokea Rais Samia

    Wananchi wa Nzega waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano uliofanyika katika uwanja wa Samora, Nzega Mjini Mkoani Tabora.
  2. JamiiForums Tanzania Kazi nzuri za Rais Samia zituachie Katiba Mpya

    KAZI NZURI YA RAIS DKT SAMIA INAHITAJI KATIBA MPYA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala wa Katiba mpya ambao umekuwa ukiibuka na kufifia. Mjadala umekuwa unaibuka na kufifia kwa kuwa una sura mbili. Sura ya kwanza wanahitaji katiba mpya na sura ya pili hawahitaji katiba mpya...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbe Rais Samia analazimishwa kuitwa sasa Mama wa Taifa kwakuwa kuna huu Mpango Mkakati kabambe nyuma ya Pazia?

    Haya akina Hussein Mwinyi uliyekuwa Unaota kuja Bara 2025, akina January Makamba, Mwigulu Nchemba, Ridhiwani Kikwete na Dotto Biteko mnaohangaika Kujipanga kwa 2030 nawaombeni kuanzia sasa Sahauni huo Mpango. Za uhakika ni kwamba Aliyeko sasa ( Boss Wenu ) anamalizia hii Minne ya Deiwaka (...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua daraja la Msingi na kuzungumzia na wananchi wa Mkalama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua daraja la Msingi na kuzungumza na wananchi wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida leo tarehe 16 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/Sk3eDgwDVE4?si=IVZq6ptc4k0M_NPb Daraja hili ni kiunganishi cha mikoa ya Singida na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Iramba wamsubiri kwa hamu Rais Samia, wamshukuru kwa miradi mingi ya maendeleo

    Kesho Jumanne Oktoba 17, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan atafanya ziara kwenye wilaya ya Iramba mkoani Singida ambapo atakagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali yake. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi wilayani hapa wametoa ya moyoni na kusema wanamsubili kwa hamu kubwa sana...
  6. JamiiForums Tanzania Singida: Rais samia azungumza na wananchi kuhusu uchumi, elimu na afya - uwanja wa Police square

    Video: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi katka mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Police Square Wilayani Manyoni mkoani Singida.leo tarehe 15 Oktoba, 2023 https://youtu.be/JIEFboO2SNY
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeona warembo, kweli maji yapo!

    "Nimeona kina mama warembo kweli, wanang'ara kweli, warembo na wanang'ara hii ni dalili kwamba maji yapo, walikuwa wanapauka kwasababu maji hakuna na yale machache yaliyokuwa yanatafutwa yakifika baba anayasubiri, lakini leo wanang'aa kweli." - Dkt. Samia Suluhu akiwa ziarani mkoani Singida...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe: Karibuni Wana-Singida Katika Mapokezi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoa wa Singida

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe anapenda kuwakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Singida na Wilaya zake katika Mapokezi ya ziara ya kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkoa wa Singida itakayoanza tarehe 15-17 Oktoba, 2023...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Singida ipo tayari kumpokea Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba ameeleza namna ambavyo wananchi wa mkoa huo walivyojipanga kwa mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi mkoani Singida itakayoanza Oktoba 15, 2023. Serukamba amesema...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa milioni 100 kwa ajili ya Ukarabati kanisa la Katoliki Manyara

    Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa kanisa hilo. Kwa niaba ya Rais, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa kauli hiyo katika Misa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya uwezekano wa uwepo wa mvua la El Nino nchini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Mbio za mwenge wa Uhuru na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Baba Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana kitaifa katika Uwanja wa Kwaraa Babati, Mkoani Manyara leo tarehe 14 Oktoba, 2023...
  12. JamiiForums Tanzania Chondechonde: Rais Samia tuondolee Nape kwenye hii Wizara, hana uelewa katika Technologia anadhalilisha Taifa

    Mama shikamoo! Kwanza pole na majukumu mengi ya kitaifa. Mimi ni mdau mkubwa sana kwenye technology mwenye weledi mapana sana. Hutuba nyingi sana za waziri zinaonyesha ana uwelewa mdogo sana katika Technologia hivyo kama kauli za Tunadhalilika sana. Mfano VPN ni njia pekee katika cyber...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaompokea Rais Samia huko Manyara wametokea Dar es Salaam?

    Natambua kwamba Rais Samia Ph.D, anaanza ziara ya kikazi Mkoani Manyara, hongera kwake na kwa Wenyeji wake. Lakini cha kushangaza kwenye ziara hii ni kitendo cha Rais kupokelewa na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam! jambo hili kwangu ni geni mno, Inakuwaje Rais apokelewe na wakazi wa Dar, Je...
  14. JamiiForums Tanzania Biteko: Rais Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi. Mhe. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitaifumua Wizara ya Mambo ya Nje

    Rais Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kuwa ataifumua na kuisuka upya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ili kuirudishia hadhi baada ya kuwa na utendaji usioridhisha kwa muda mrefu. Hatua hiyo imekuja kutokana na wizara hiyo kupoteza ushawishi kwenye medani za...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa kundi tulilopo Tanzania huko AFCON 2024, namshauri haraka Rais Samia asiigharamie 'Mipesa' ya Walipa Kodi kwani haitotoboa na itaburuta mkia tu

    Ni Mwendawazimu ( Mentally Retarded ) na Mpumbavu ( dame Fool ) ndiyo ataamini na atathubutu kusema na kujipa Moyo kuwa Tanzania iliyoko Kundi F huko AFCON 2024 nchini Ivory Coast itaweza kufanya vyema mbele ya Wababe na Wazoefu tukuka wa Soka Afrika akina Morocco, Congo DR na Zambia. Rais...
  17. JamiiForums Tanzania Ni lini Rais Samia atafanya ziara za kushtukiza?

    Every good deed should be hold and preserved. Licha kujinasabu kuwa hakuna tofauti kati yake na aliyetangulia ila bado sijaona jambo zuri kama ziara za kushtukiza. Hayati Magufuli alishuhudia uozo mwingi katika baadhi ya ofisi pia ilichangia moral na heshima kwa watendaj but now days...
  18. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia India: Mambo yanayomtofautisha na wapiga porojo wengine

    Ziara ya Rais Samia Nchini India imekuwa ni ziara yenye mafanikio makubwa kwake binafsi in personal Kwa Kutunukiwa tuzo lakini Kwa Taifa kutokana na kusainiwa Kwa Hati 14 katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi na Kijamii. Nitatoa mfano wa sekta ya Kilimo.Kupitia ziara hiyo Serikali ya Tanzania...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara Mkoa wa Manyara

    Salaam Wakuu, Kulingana na Ratiba ya kazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kesho 13 Oct 2023, anatakiwa afanye ziara Mkoa wa Manyara. Kumbuka Jana ndo amerudi kutoka ziarani India. Nashauri apumzike japo wiki sababu atachoka sana. Nakumbuka alifanya ziara Arusha hadi akaomba...
  20. JamiiForums Tanzania MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

    Lakadiriwa kufikia takribani Trilioni 104 Ni ongezeko la zaidi ya bilioni 600 kwa mwezi Kila Mtanzania anadaiwa karibu milioni 1.7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…