samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dr. Slaa: Ni dhahiri Milioni 150 zilizotolewa na Rais Samia zimeingia kwa sura ya kampeni, anayebisha abishe!

    Kwenda kwenye ujenzi wa kanisa moja na kutoa milioni 150 wakati wananchi wanaishi maisha magumu, milioni 100 ingepelekwa maeneo hayo ya Moshi bei ya chakula ikashuka, ingesaidia maelefu, hii ndio kazi ya fedha za umma. Fedha hizi zinazotapanywa namna hii zinaingia kwa sura ya kampeni kama...
  2. JamiiForums Tanzania Alichosahau kuongelea Rais Samia siku ya mwaka mpya 2024: Fedha za kuendesha Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote zitatoka wapi?

    I. Utangulizi Tayari Muswada wa Bima ya afya kwa wote uliopitishwa bungeni mwezi Novemba umetiwa saini na Rais na kuwa sheria rasmi (imeambatanishwa). Bado tunasubiri kkwa hamu kanuni na taratibu za kuongoza utekelezwaji wake. Sheria hii ni mkakati wa kuipunguzia serikali mzigo wa kugharimia...
  3. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Rais Samia kaelekeza Bonyokwa iongezewe fedha ili maji yatoke Saa 24

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa eneo la Bonyokwa Jijini Dar es Salaam lina kero ya kutopata Huduma ya Maji kwa takriban Wiki 5, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema maelekezo yametolewa kwa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha wakazi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Msimpe Rais Samia Sifa na Utajiri asiokuwa nao, ni hela za serikali sio za Samia. Tuko salama kwa kudra za Mwenyezi Mungu si Samia

    Ninaona vijana wengi machawa wamevuka mipaka na kuanza kusema Samia kafanya hivi kafanya lile mimi ninaweza kusema Samia kawa mpole kupitiliza mpaka kushindwa kusimamia vizuri hela za serikali si za Samia na hatimaye kupelekea kuibiwa hela ovyoovyo. Nchi ya Tanzania ina utajiri wa kutisha sana...
  5. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuivusha salama Tanzania mwaka 2023, hakika unaweza, Tanzania ni Mhimili Mkuu wa Afrika Mashariki

    Hatimaye, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, nahodha Samia Suluhu Hassan amekifikisha chombo mwisho wa mwaka 2023 kikiwa salama, hakuna hata aliyechubuka. Ni safari ndefu yenye mawimbi makali, ambayo, kama si umahiri na weledi wa nahodha, ingetuwia ngumu. Tanzania ndio muhimili wa amani Afrika...
  6. JamiiForums Tanzania Hatimaye Samia amejipata baada ya kujitafuta kwa muda mrefu

    Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji. Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha. Nasubiri...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya madawa ya kulevya chini ya uongozi wa Samia

    Kuna wimbi la ongezeko la biashara na matumizi ya madawa ya kulevya toka Samia angie madarakani. Wanasiasa na wafanyabiashara wanajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya waziwazi. Vijana wanauza na kutumia madawa ya kulevya waziwazi. Miaka miwili ya Samia haina tofauti na miaka 10 ya utawala...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mauaji haya yangefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea sababu sio "dikteta"?

    Utekaji na Mauaji haya vingefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea Kwa sababu sio "dikteta" au hafoki foki jukwaani Soma taarifa hii uone polisi wanavyofanya utekaji na mauaji bila kificho chochote na hawafanywi chochote. ≠============...
  9. JamiiForums Tanzania Ili kuisaidia nchi na kumsaidia Rais Samia, je tumfanyie an honest MTR based on SMART Objectives za tulipotoka, tulipo to determine tunapokwenda?

    Wanabodi, Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo la kuchanganya Lugha JF ilipoanzishwa, it was meant to be an online user generated social forum, mtu una post chochote, kwa lugha yoyote ya public, bila kuvunja kanuni za jf. Kwa kadri jf inavyozidi kukua, inazidi kuimarika na kuzidi kuboreka...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umetukosea sana Watanzania, tunajihisi aibu mbele ya walimwengu

    Bandugu, Nimepokea kwa mshtuko, mshangao na aibu nilipomsikia Rais wa JMT Dk. Samia Suluhu Hassan akiutangazia Dunia kuwa tayari amemaliza kurekodi muvi inayoitwa "Kijiji Cha Milele". Nimejihisi aibu hata kama chawa watakuja kutetea utalii na Kubidhaisha lugha ya Kiswahili duniani. None sense...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wanaomkosoa sana Samia sasa hivi ndio watakaomkumbuka siku Mwigulu au Makonda ndio Rais wa Tanzania

    Tanzania ina matatizo mengi, na Samia anastahili lawama kwa baadhi ya matatizo yanayoikabiki Tanzania kwa sasa kama hili la mgao wa umeme n.k Lakini kama wewe unaamini kama mimi kuwa maendeleo ya watu yanapaswa kuendana na uhuru, umoja na mshikamano wa taifa yafaa tukumbuke tulikotoka na ku...
  12. JamiiForums Tanzania Naongea na Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko. nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku. nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite...
  13. S

    JamiiForums Tanzania BASATA ni lini mtampa tuzo rais Samia kwa uwezo wake mkubwa wa kuigiza?

    Kwa miaka yote ktk harakati zake za kisiasa rais Samia alikuwa hajajipata kipaji chake. Lkn alipoingia ikulu ndipo kipaji chake cha uigizaji kikadhihirika na sasa kimekomaa. Alianza na movie ya "Royal tour" na leo ameweka wazi kuwa movie yake mpya iitwayo "Kijiji cha milele" inakuja sokoni...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia amewahi kuandika Makala au Paper ya utatuzi wa changamoto za jamii?

    Nimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto mtambuka za jamii yetu ya Kitanzania. Mambo haya yanaakisi sana uwezo wa mtu. Nafikiri ana Degree na...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA), leo Desemba 28, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) leo tarehe 28 Desemba, 2023, Zanzibar. https://www.youtube.com/live/3ojgVNt8bpA?si=ipW9NnuOK_nJzT1c Mhe. Rais Samia...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia hapaswi kuitwa Daktari

    Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari. Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba. Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akitaka akumbukwe kwenye utumishi wake basi asiendeshe uchaguzi bila Tume Huru za Uchaguzi Zanzibar na Tanganyika

    Habari wanajamvi, Huyu mama amekuwa anaupiga mwingi mpaka unamwagika, lakini akitaka tumkumbuke katika utumishi wake asithubutu kutumia fedha hata senti 5 kuendesha uchaguzi kiiinimacho bila tume huru ya uchaguzi Zanzibar na Tanganyika. Tukubaliane kabisa na wapinzani mkubali hizo fedha...
  18. JamiiForums Tanzania Igunga: Wazee Wampongeza Rais Dkt. Samia kwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote

    IGUNGA: "WAZEE WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA KWA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE" Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akiwasikiliza Wazee wa Kata ya Isakamaliwa kwenye Kikoa cha Wazee. Mhe. Ngassa (MB) ametumia siku ya Sikukuu ya Noeli (Krismasi) kuongea na Baraza la Wazee wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Tusiache Kumuombea Rais Samia

    Mbunge Cherehani: Tusiache Kumuombea Rais Samia Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani amewahimiza waumini wa dini zote kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassa ili kumpa nguvu zaidi katika kuwatumikia watanzania Wito huo umetolewa...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani raisi Samia amekiweza? Mbeya hakuna maji wiki ya pili hii

    Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q. Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja. Ni kipi Rais anakiweza?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…