Mbwana Samatta arejea GENK

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,462
29,163
#MICHEZO Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amerejea tena katika klabu iliyompa mafanikio barani Ulaya, KRC Genk kwa mkopo wenye kipengele cha kumnunua moja kwa moja akitokea Fenerbahce ya Uturuki.

Samatta aliitumikia Genk katika michezo 191 na kufunga mabao 76 huku akishinda ubingwa wa Ligi Kuu ya Ubelgiji na kufanikiwa kucheza makundi ya Klabu Bingwa Ulaya.

#Samagoal #MbwanaSamatta #EastAfricaTV
FB_IMG_16606602471601262.jpg
 
Mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Ally Samatta amejiunga katika Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji akitokea Fenerbahçe ya Uturuki.

Samatta alipata mafanikio makubwa alipoichezea mwaka 2016 hadi 2020, baada ya hapo alijiunga na Aston Villa ya England.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom