Hivi Samatta yupo kweli?

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,102
36,067
K. Bazil aliwahi kuimba wimbo wa riziki, nadhani alimlenga Mbwana Samatta na yule Majaliwa wa Precission Air Bukoba. Hawa watu wamepata sifa na utukufu wa bure.

Samatta hajui mpira, kiwango chake ni cha kawaida mno, ni maajabu Samatta kupata dili kucheza Ulaya.

Samata anazidiwa na Mayele kwa akili ya kufunga. Samatta anazidiwa na Chama kwa akili za udambwi udambwi. Samatta anazidiwa na Msuva na kisinda kwa spidi. Samatta akija Yanga atakaa benchi. Samatta akija Simba ataingia sub ya Kibu Denis.

Samatta hajui mpira, sema ana bahati!

Dj tuletee wimbo wa K.Bazil unaoitwa Riziki.
 
K Bazil aliwah kuimba wimbo wa riziki nadhani alimlenga Mbwana Samatta na yule Majaliwa wa precission air bukoba

Hawa watu wamepata sifa na utukufu wa bureee

Samatta hajui mpira,kiwango chake ni cha kawaida mno.ni maajabu Samatta kupata dili kucheza ulaya,

Samata anazidiwa na Mayele kwa akili ya kufunga.

Samatta anazidiwa na Chama kwa akili za udambwi udambwi.

Samatta anazidiwa na Msuva na kisinda kwa spidi

Samatta akija Yanga atakaa benchi.

Samatta akija Simba ataingia sub ya Kibu Denis.

Samatta hajui mpira sema ana bahati

Dj tuletee wimbo wa K Bazil unaoitwa Riziki
Sawa ila msamehe tu kwa kumgegeda mkeo
 
Samatta kaenda kutamba huko kongo kwao na mayele hajulikan, samatta kwenye peak yake mayele wawe wa3 nusu na robo.
Kila kitu na muda, samatta anawatoa mafua mabeki wa kongo, katumbi anamchukua kwenda tp mazembe mayele alikuwa wapi?
Ni sawa leo umuulize tressor mputu,
Samatta kafunga huko Belgium pro league mpaka akachoka, akafeli kkwenda Aston villa (hii inatokea kwenye maisha), walifeli kina di maria itakuwa samatta
Mchezaji bora wa africa.

Ni sawa na kumsema cr7 kisa tu saa hizi hana timu.

Wabongo hatupendani, ni kweli akilii ya mpira ya chama inaweza kuwa kubwa kuzidi hata grealish, ila hilo halifanyi samatta aonekane hajui mpira.
 
makaveli10 punguza hasira na usirudie kumfananisha tressor mputu na huyu mpumbavu mwenzio wa mbagala
🖕
Kuna sehemu nimesema tressor ni sawa na samatta?
Mbona nimesema ni sawa kumkosea adabu cr7 kisa hana timu je hapo nimemlimganisha cr7 na mputu au na samatta?

Nimesema ni sawa na kumuulizia mputu leo wakati umri ushasogea kuna mengi kkaishayatenda kwenye soka.

Samatta nae kaishafanya yake hakai daraja moja na mayele akitaka nae afanye yake, hatukuimbi imbi tu, fanya makubwa uimbwe.
 
Samatta kaenda kutamba huko kongo kwao na mayele hajulikan, samatta kwenye peak yake mayele wawe wa3 nusu na robo.
Kila kitu na muda, samatta anawatoa mafua mabeki wa kongo, katumbi anamchukua kwenda tp mazembe mayele alikuwa wapi?
Ni sawa leo umuulize tressor mputu,
Samatta kafunga huko Belgium pro league mpaka akachoka, akafeli kkwenda Aston villa (hii inatokea kwenye maisha), walifeli kina di maria itakuwa samatta
Mchezaji bora wa africa.

Ni sawa na kumsema cr7 kisa tu saa hizi hana timu.

Wabongo hatupendani, ni kweli akilii ya mpira ya chama inaweza kuwa kubwa kuzidi hata grealish, ila hilo halifanyi samatta aonekane hajui mpira.
Well said bro..Bravo
 
Kiukweli ukifikiria kiwango cha samata ndipo unaamini muda mwingine katika maisha bahati ina nafasi yake .........NB sijasema kuwa samata hajui
 
🖕
Kuna sehemu nimesema tressor ni sawa na samatta?
Mbona nimesema ni sawa kumkosea adabu cr7 kisa hana timu je hapo nimemlimganisha cr7 na mputu au na samatta?

Nimesema ni sawa na kumuulizia mputu leo wakati umri ushasogea kuna mengi kkaishayatenda kwenye soka.

Samatta nae kaishafanya yake hakai daraja moja na mayele akitaka nae afanye yake, hatukuimbi imbi tu, fanya makubwa uimbwe.
Hata thomas ulimwengu hakai daraja moja na chama
 
Samata ni mchezaji mwenye bahati sana kuwahi kutokea hapa bongo ila kiwango chake ni cha kawaida tu
 
Sijui kwa nini watanzania hatumuheshimu Samatta. Binafsi naamini Samatta ndio mchezaji bora wa muda wote hapa Tanzania namba hazidanganyi.

1. Samatta mwaka 2015 alikuwa mfungaji bora wa CAF Champions league. Akifunga magoli saba.
2. Samatta mwaka 2015 alichukua tuzo ya mchezaji bora Afrika anayecheza ligi ya ndani.
3. Samatta mwaka 2019 alichukua tuzo ya Ebony Shoe award. Tuzo ambayo hutolewa kwa mchezaji bora Mwafrika au mwenye asili ya Afrika anayecheza ligi kuu ya Ubelgiji.
4. Samatta msimu wa 2018-2019 alikuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Ubelgiji (kumbuka sio ligi ya Tz ni Ubelgiji) akifunga jumla ya magoli 20
5. Samatta anaelekea kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Timu ya taifa ya Tanzania. Mpaka sasa ana magoli 22 akizidiwa na Mrisho Ngasa pekee mwenye magoli 25.
6. Samatta ndiye mtanzania wa Kwanza kucheza UEFA champions league. Ana magoli 3 UEFA amecheza mechi 6.
6. Samatta ndiye mtanzania wa Kwanza kucheza Europa league na ana mabao 9 ya Europa katika mechi 12.
7. Ndiye mtanzania wa Kwanza kucheza ligi kuu ya Uingereza.
8. Samatta ana medali za ubingwa wa ligi ya Kongo, Ubelgiji na Club bingwa Afrika.
9. Usisahau ndio Mtanzania wa Kwanza kuwafunga Liverpool na Manchester city.

Nitajie mchezaji wa Tanzania mwenye profile kama hiyo ya Samatta. Akipatiakana nipo pale nimekaa Uniite mbwa.

Huyo mtikisa Manyonyo hafikii hata robo ya Samatta. Kuhusu kuchemka Aston Villa hata Chama alichemka hapo Berkane.
 
K Bazil aliwah kuimba wimbo wa riziki nadhani alimlenga Mbwana Samatta na yule Majaliwa wa precission air bukoba

Hawa watu wamepata sifa na utukufu wa bureee

Samatta hajui mpira,kiwango chake ni cha kawaida mno.ni maajabu Samatta kupata dili kucheza ulaya,

Samata anazidiwa na Mayele kwa akili ya kufunga.

Samatta anazidiwa na Chama kwa akili za udambwi udambwi.

Samatta anazidiwa na Msuva na kisinda kwa spidi

Samatta akija Yanga atakaa benchi.

Samatta akija Simba ataingia sub ya Kibu Denis.

Samatta hajui mpira sema ana bahati

Dj tuletee wimbo wa K Bazil unaoitwa Riziki
Ukweli Mchungu...ila ni kweli tupu..
 
Samatta kaenda kutamba huko kongo kwao na mayele hajulikan, samatta kwenye peak yake mayele wawe wa3 nusu na robo.
Kila kitu na muda, samatta anawatoa mafua mabeki wa kongo, katumbi anamchukua kwenda tp mazembe mayele alikuwa wapi?
Ni sawa leo umuulize tressor mputu,
Samatta kafunga huko Belgium pro league mpaka akachoka, akafeli kkwenda Aston villa (hii inatokea kwenye maisha), walifeli kina di maria itakuwa samatta
Mchezaji bora wa africa.

Ni sawa na kumsema cr7 kisa tu saa hizi hana timu.

Wabongo hatupendani, ni kweli akilii ya mpira ya chama inaweza kuwa kubwa kuzidi hata grealish, ila hilo halifanyi samatta aonekane hajui mpira.
Ndugu nasikitika umepoteza wako kumjibu.....Kwa maandishi hayo ni dhahiri sio mwanafamilia ya mpira bali ni mtu mwenye chuki na mtu......

Kwa wanafamilia tunawapima ubora wachezaji kwa takwimu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom