Nimekuwa nikijiuliza na kukosa majibu sahihi kuhusu uvaaji wa barakoa kwa kiongozi mkuu wa nchi yetu. Anapokuwa ndani na nje ya nchi.
Mara nyingi akiwa ndani ya nchi huvaa na akiwa nje havai! Pengine wapo wengi wangependa kujua.
Je, inamaanisha nini?
Wakuu lile banda pale Muhimbili Bado lipo la kujifukiza naomba kujua maana naskia mzee wa Chapa ilale mara ya mwisho aliingizwa kwenye banda na ndo ikawa Mwisho wake.
Nipo huku nje ya mji nipeni Update wakuu.
Wakubwa samahani sana ..kama title inavyojieleza hapo juu nilikuwa nataka kujua je kwa aliesoma short course veta mfano ya electronics anaruhusiwa kuendelea kusoma vyuoni kwa ngazi tofauti kama certificate na diploma? Naombeni majibu wakuu
Wakuu Habari za muda huu!
Nimeitwa kwenye interview itakayofanyika Arusha siku ya ijumaa kwa kampuni binafsi.
Sasa siku hizi Kuna Swali common la candidate's salary expectations ambalo ndilo hutumiwa kuwachuja watahiniwa.
Naomba kufahamishwa range ya mshahara wa hii kazi kwa ngazi ya diploma...
Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha...
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Mama Samia
Wengi watatoa maoni yao kuhusu hotuba yako na wahariri wa vyombo vya habari lakini leo sitajiunga nao bali nitakupa zawadi ya kutimiza siku 100 kwa Post hii ya kukuomba msamaha. Sio kwa post zangu ambazo zimekuwa critical bali kwa "Kutokukupa Muda". Mheshimiwa Rais wote walio na...
Salaam kwenu wanabodi wa jukwaa hili kubwa na lenye heshima ndani na nje ya nchi yetu.Sio tu linaheshima lkn pia lina taarifa za kuaminika.
Nimeanza na neno samahani kwa wabunge wetu kwa sababu kelele zimekuwa nyingi sana huko bungeni wengi wa wabunge wanaopata nafasi ya kuchangia wamekuwa...
Habari za masiku?
Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu.
Ni hivi, kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana, lakini inatokea mwenzangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.