salama

Salamá is a city in Guatemala. It is the capital of the department of Baja Verapaz and it is situated at 940 m above sea level. The municipality of Salamá, for which the city of Salamá serves as the administrative centre, covers a total surface area of 764 km² and contains 65,275 people.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia una hii Taarifa muhimu ya Umoja wa Ulaya (EU) kuzuia Ndege za ATCL kutua Ulaya yote kutokana na kutokuwa salama kwa Abiria na mbovu?

    Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
  2. sammosses

    JamiiForums Tanzania Umoja na Mshikamano ndiyo nguzo itakayotuvusha, hakuna aliye salama

    Maisha ni siasa,bila Siasa hakuna maisha. Unapozuia siasa unazuia maisha. Damu ya Maisha ni siasa,unapozuia damu isitembee kwa wiki mbili,unazuia uhai wa maisha yanayoendeshwa kwa misingi ya siasa. Unaweza usione athari kama walivyo wajinga wengi,lakini ulishawahi kufikiri kwanini mtoto mkubwa...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hivi unajihisi uko salama kiasi gani unapokuwa mikononi mwa polisi?

    Hivi unajihisi uko salama kiasi gani unapokuwa mikononi mwa polisi? Je mamlaka hii iliyopewa dhamana ya ulinzi wako na mali yako inakufanya uhisi usalama katikati ya hofu ama wasiwasi?
  4. T

    JamiiForums Tanzania 𝐑𝐀𝐒𝐌𝐈!! 𝗗𝗮𝗵𝗮𝗻𝗲 𝗕𝗲𝗶𝗱𝗮 atua salama 𝗠𝗮𝗿𝗲𝗸𝗮𝗻𝗶 kwa ajili ya 𝗞𝗼𝗺𝗯𝗲 𝗹𝗮 𝗗𝘂𝗻𝗶𝗮 𝗹𝗮 𝗩𝗶𝗹𝗮𝗯𝘂 2025!

    ✈️⚽ Aliyekosolewa sana Tanzania kwa maamuzi yaliyozigharimu klabu kongwe nchini Tanzania Simba vs Yanga sasa amepata heshima ya dunia! Dahane Beida atua Marekani kwa ajili ya Kombe la Dunia la Vilabu 2025! Je, ni refa wa kontoversi au kipaji kisichoeleweka Afrika? 🤔 𝗗𝗮𝗵𝗮𝗻𝗲 𝗕𝗲𝗶𝗱𝗮 🧑🏽‍⚖️ kutoka...
  5. Inside10

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakanusha kumshikilia Sheikh Zuberi Nkokoo Mkoani Singida

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida lakanusha taarifa zinazozambaa kuwa limemkamata na kumshikilia Shekhe Zuberi Nkokoo (53) mwalimu wa dini ya Kiislam kutoka Taasisi ya Islamic Foundation ambaye aliripotiwa kupotea Juni 02, 2025 majira ya saa 5:30 usiku akiwa karibu na Sheli ya Lake Oil iliyopo...
  6. 888I

    JamiiForums Tanzania Nasubiri Tarehe 8 Kwa Shauku... Je, Gwajima Atasema Nini?

    Napenda kusema kwa sauti ya ndani: Ninasubiri kwa hamu siku baada ya tarehe 8 Juni. Kwa ajili ya kumalizika kwa mfungo wa maombi ya siku 7 yaliyoitishwa na Askofu Josephat Gwajima. Siku ya kwanza ya mfungo huo (tarehe 2 Juni), usiku, ilisikika video yake akisema: Tangu hapo: Hakujulikana tena...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sheikh Shafii amtetea Gwajima, asema kama watu wanapotea na kutekwa ni haki kusema tunapoelekea si salama

    Sheikh Shafii alipokuwa akifanya mahojiano na Battle TV ameeleza kuwa alichokisema Askofu Gwajima ni sahihi labda kama amekosea eneo la kusema na kutoa baadhi ya mifano lakini kama watu wanatekwa kweli na kupotea ni haki kusema kuwa tunapolekea si salama. "Ukizungumzia kuhusu Gwajima watu...
  8. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Hustle or Stay Broke Forever – Amka Bro, Toka Kwenye Lala Salama!

    Kila asubuhi tunayofungua macho ni golden opportunity – ni zawadi ya bei ghali mno kutoka kwa Mwenyezi Mungu, ambaye hakutuamsha kwa bahati mbaya, bali kwa sababu kubwa sana. Mungu hakuipeleka pumzi yako leo kwa makosa, kuna jambo anataka ulitimize. Lakini tatizo ni moja tu: watu wengi wanakaa...
  9. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Siku ya hedhi salama

    Leo ni siku ya hedhi salama,tusaidie kulinda binti zetu,wake zetu,dada zetu,mama zetu na shangazi zetu
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Serikali Inacheza na Moto, Tunakoelekea si Salama Tena kwa Wananchi Waliowengi

    Katika nchi inayodai kuongozwa kwa misingi ya utawala bora (good governance), haki za binadamu (human rights), na utawala wa sheria (rule of law), kinachoendelea sasa Tanzania ni kinyume kabisa na misingi hiyo. Hali ya sasa inaonesha taifa linalozidi kuteleza kwenye mtego wa ukandamizaji wa...
  11. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Unatunza mali zako wapi ndani ya nyumba yako? Njoo tukufundishe sehem salama

    Wakuu siku nyingine kwenye chumba chako Chimba weka sehem ya kuwekea vitu vya thaman juu ukubwa wa tiles moja au mbili alafu unarudishia tilesvizuri kwa ajili kutunza mali zako Na pia kuna chumba unaweza kutuambia tukakudesizainia kinakuwa hakionekan pande zote weka mali zako usiklili kila...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama akaunti za serikali zimedukuliwa, Je sisi raia akaunti zetu zipo salama?

    Nimefika mitaa fulani , nisipataje Kuna habari zikawa zinazungumzwa kijiwe cha fundi viatu mmoja maarufu. Kuwa akaunti nyeti za serikali ya Tanzania zilidukuliwa. Je sisi raia?
  13. V

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima vya maji safi na salama

    UTARATIBU WA KUCHIMBA KISIMA. 1. Ukitaka kuchimba kisima unatakiwa kufanya utafiti wa awali ili:- ● Kuangalia jiolojia ya eneo husika ● Kuangalia uwezekano wa kuwepo mikondo ya maji ardhini ● Historia ya eneo husika kuhusiana na suala la maji. 2. Gharama za kuchimba kisima/Visima hutegemea...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaza si sehemu salama kuishi tupeleke Libya-Waandamanaji huko Gaza!!

    Baadhi ya waandamanaji wanaoipinga Hamas wanaelezea kuwa kwa sasa Gaza si sehem salama kuishi hivyo wanaomba wapelekwe Libya au sehemu nyingine kuishi
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Algeria ni salama zaidi kwa Simba kuliko Zanzibar

    Tunaojua Sanaa ya Vita tunajua kamwe usiruhusu adui yako akakuchagulia silaha. Daudi alipoingia uwanja wa vita kumkabili Goliath alikataa kuvaa na kubeba silaha alizopewa, akalazimisha kwenda na vikokoto vyake alivyovizoea kila siku. Watu wakamshangaa huyu vipi, ana akili kweli? Mwisho wa siku...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji safi na salama Marekani!

    Katika pitapita zangu za kisomi nimejikuta natambua kuwa pamoja na uzee wa Taifa la Marekani bado kuna maeneo mengi hayana maji safi na salama
  17. Margaret Winston

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa changamoto na fursa katika ufugaji endelevu na salama kiafya Dodoma

    Habari wanajamii, Mimi ni mdau ninayepanga kuanzisha mradi wa ufugaji endelevu na salama kiafya hapa Dodoma. Lengo kuu la mradi huu ni kuzalisha bidhaa za mifugo kama nyama, maziwa, mayai na kadhalika ambazo ni bora kiafya na salama kwa matumizi ya jamii. Malengo ya mradi huu ni pamoja na...
  18. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Google walipa wamevunja rekodi ya kulipa faini kubwa kwa kukusanya na kufuatilia taarifa za watu bila idhini. Hatupo salama

    Google Yalipa Dola Bilioni 1.375 kwa Jimbo la Texas kwa Kufuatilia na Kukusanya Taarifa za Biometria Bila Idhini Google imekubali kulipa jimbo la Texas nchini Marekani kiasi cha dola bilioni 1.375 ili kumaliza mashitaka mawili yaliyokuwa yanaituhumu kampuni hiyo kwa kufuatilia mahali walipo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hatimae Sherehe za maazimisho ya ushindi wa WWII kwa mwaka 2025 yapita salama huko Urusi

    Maadhimisho ya kusherehekea miaka 80 toka kushindwa kwa majeshi ya NAZI yaliyoshindwa Majeshi ya Urusi, yamefanyika Moscow, huku yakihudhuriwa na Marais wa nchi rafiki wa Urusi bila Marais wa nchi za Magharibi isipokua Marais wawili TU wa Magharibi ndio waliohudhuria. Naandika yamepita salama...
  20. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi: RC Homera na RCO Mbeya, kama mmemdhuru Mdude Nyagali, hakikisheni mnamzaa, kumkuza na kumrudisha nyumbani kwake salama

    https://youtu.be/tfhpaLr7hBc?si=obXDytUPxizyrgqy Advocate Boniface Mwabukusi, Rais wa TLS ameapa kuwa, mwisho wa watu Kutekwa na kuumizwa ni kwa Father Charles Kitima na Mdude Nyagali... Amewataka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bwana Homera, RPC na RCO wahakikishe wanamrudisha Mdude Nyagali nyumbani...
Back
Top Bottom