Kwanini Kassimu Majaliwa kazingua saa za salama?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,373
Reaction score
12,017
Nasema hivi, kasimu hakujiuzuru kwa kupenda la hasha! Huyu alikuwa anautaka ubunge sema cctimu imemtema

Yaani ndani ya miezi miwili kauli mbili tofauti mara ntagombea mara stogombea

Lakini mbona umezingua dadikia za mwisho?šŸ˜

Wajf nisaidieni yule Alima mdee amejiunga ccm?
Je luaga mpina ana mpinzani jimboni mwake?
 
Binafsi kule kisesa sijajua hata kama mpina kachukua fomu au laah na wala sijajua kama kuna kada mwingine aliyejitokeza labda mwenye kujua atujuze
 
Mpina karudisha fomu jana,ila sijasikia wengine waliochukua kwenye jimbo hilo
 
Nasema hivi, kasimu hakujiuzuru kwa kupenda la hasha! Huyu alikuwa anautaka ubunge sema cctimu imemtema

Yaani ndani ya miezi miwili kauli mbili tofauti mara ntagombea mara stogombea

Lakini mbona umezingua dadikia za mwisho?šŸ˜

Wajf nisaidieni yule Alima mdee amejiunga ccm?
Je luaga mpina ana mpinzani jimboni mwake?
Sasa kauli zake zinakushangaza kitu gani?
Haukumbuki kipindi kile tukaaminishwa kwamba JPM anafanya kazi na na ana nguvu tuachane na maneno ya mtaani wakati mwamba anaumwa?
Mm sijashangaa kauli hii; ila ningeshangaa zaidi kama Lisu angesema atashiriki uchaguzi bila reforms
 
Binafsi kule kisesa sijajua hata kama mpina kachukua fomu au laah na wala sijajua kama kuna kada mwingine aliyejitokeza labda mwenye kujua atujuze
Ashachukua Ile siku ya mwisho na kurudisha siku Ile Ile, na ni yeye pekƩe tuu
 
Sasa kauli zake zinakushangaza kitu gani?
Haukumbuki kipindi kile tukaaminishwa kwamba JPM anafanya kazi na na ana nguvu tuachane na maneno ya mtaani wakati mwamba anaumwa?
Mm sijashangaa kauli hii; ila ningeshangaa zaidi kama Lisu angesema atashiriki uchaguzi bila reforms
hili nalo mbona si la kushangaza mjuba!, Lissu anaweza kushiriki uchaguzi hata bila reforms where is necessary
 
Back
Top Bottom