salama

Salamá is a city in Guatemala. It is the capital of the department of Baja Verapaz and it is situated at 940 m above sea level. The municipality of Salamá, for which the city of Salamá serves as the administrative centre, covers a total surface area of 764 km² and contains 65,275 people.

View More On Wikipedia.org
  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Watu wa TCRA wakikata Internet nchi nzima hadi masaa mawili je huduma muhimu yaani Critical Services huwa salama kwa kiasi gani?

    Katika nchi yoyote ile huduma za internet ni huduma nyeti sana kwa maana kwamba mahospitali, miundombinu kama usafiri, njia za reli na sehemu zingine nyeti hii ni huduma muhimu isohitaji hata nukta ya sekunde kuhujumiwa. Kitendo cha TCTA kukata mtandao wa internet nchi eti kwasababu ya kuzuia...
  2. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua miradi minne ndani ya wiki moja, adhihirisha kwamba Tanzania ni salama kwa uwekezaji

    Ndani ya wiki moja, Rais Samia Suluhu amezindua miradi minne ya uwekezaji yenye tija kwa taifa na wananchi kwa ujumla. 1. Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited 2. Uzinduzi wa usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR 3. Uzinduzi wa...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Sababu Nyingine Nzito ya Kuacha Kutumia WinRAR—Ni 2025, Uko Salama?

    Sababu Nyingine Nzito ya Kuacha Kutumia WinRAR—Ni 2025, Uko Salama? Katika ulimwengu wa teknolojia unaobadilika kwa kasi, usalama wa mfumo wako wa kompyuta hauna nafasi ya kutegemea programu ambazo zimepitwa na wakati na WinRAR sasa ni mfano halisi wa hilo. Kwa mara nyingine tena, programu hii...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima vya maji vya kisasa

    Karibuni Sana wells technology wachimbaji wa visima vya maji safi na salama borehole gharama za uchimbaji kisima ni kwa mita Dar es salaam na pwani mita moja 90,000 Mikoani mita moja 140000 Gharama zinacover uchimbaji mpk kufunga pump mawasiliano 0657710078 . 0769509666
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa

    Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Serikali kwa gharama ya Dola za Marekani 15.7. Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amefanya ziara ya kukagua mradi huo ambao ni moja wapo...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025. Maandalizi/Kampeni,mchakato na matokeo yake. Fujo, Hatari na Vifo. Tutokeje Salama?

    Tutaendelea kujulishana yanayojiri hapa. Kuanzia Kampeni na hadi kutangazwa kwa mshindi na mwitikio.
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji kufanya majaribio Rais Samia ameweza kuivusha salama Tanzania hatuna budi kumuamini muda mwingine tena

    Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena. Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni CCM pekee itakayoweza kuwavusha vijana wa rika la Gen Z salama

    Watazame vijana waliolelewa na CCM na namna wanavyoenenda kisiasa utaona tofauti kubwa sana hii ikimaanisha program ya ulezi ya CCM imefanikiwa mno. Nawatafuta vijana waliolelewa kidini pia nitakuja kuweka mifano
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndio meli ipite salama maeneo ya Houthi, lazima itangaze kwamba kila mhudumu humo ni Muislamu

    Kuepuka kushambuliwa na magaidi wa Waislamu maarufu kama Houthi, meli zinatangaza kwa herufi kubwa kwamba kila abiria au mhudumu ni muislamu. Hii dini ya muarabu ikiendelea kuchekewa itaangamiza dunia, bora hivyo kubwa lao Iran limekalishwa. ============================= 'All Crew Muslim'...
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je simu tunazonunua madukani zenye kaneno"powered by android,ni salama na za kudumu?

    Naomba kujuzwa juu ya hili?, Tulizoea ukininua Nokia,au Tecno,au Samsung, wakati wa kuiwasha ,kwenye main screen ya simu lilikuja neno moja tu, TECNO!.
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kassimu Majaliwa kazingua saa za salama?

    Nasema hivi, kasimu hakujiuzuru kwa kupenda la hasha! Huyu alikuwa anautaka ubunge sema cctimu imemtema Yaani ndani ya miezi miwili kauli mbili tofauti mara ntagombea mara stogombea Lakini mbona umezingua dadikia za mwisho?😝 Wajf nisaidieni yule Alima mdee amejiunga ccm? Je luaga mpina ana...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Hakuna aliye Salama

    HAKUNA ALIYE SALAMA  Mtunzi: Robert Heriel 0693322300 Chungu cha 01 Kinu alikuwa ameketi kwenye wheelchair, akitingisha kichwa chake kwa taratibu, udenda ukimtoka mdomoni. Macho yake yalikuwa matupu kwa nje, lakini kwa ndani yakiwa kama rada ya kijeshi. Nyuma yake alikuwa amesimama Moreen...
  13. MUWHWELA

    JamiiForums Tanzania Nani yupo salama? Tupo kwenye nyakati zinazohitaji akili kubwa kuliko Moyo mkubwa(Moyo mzuri)

    Niwaslimu ndugu zangu hapa!! Kama Bado unayo pumzi basi vuta pumzi Kisha ipe akili kazi. Nani yupo salama??? Tupo kwenye nyakati zinazohitaji akili kubwa kuliko Moyo mkubwa(Moyo mzuri) 1-Nyuma ya Kila technology IPO dhana fiche ambayo inatumika kama Silaha ya kupata muda,nguvu, UWEPO na akili...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Picha za satelite na wataalamu inaonesha Marekani haikufanikiwa katika pigo lake.Vinu vya nyuklia vya Iran viko salama

    Kwa kutumia ndege za kivita za mwisho katika hazina yake za Doomsday,Marekani ilitarajia kuvunja vinu vya nyuklia vya Iran ambavyo Israel ilishindwa wiki moja nyuma. Kwa mujibu wa wataalamu wa IAEA na wataalamu wa ndani wa Iran mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya mionzi kuongezeka kutoka vinu...
  15. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Amani aliyoipigania Nyerere imevurugwa, ila Nina Imani hizi zama zitapita na Tanzania yetu Itarudi Salama na Kusimama tena

    Wakuu kwema? Leo hii, moyo wa taifa letu unapitia majaribu. Kumekuwa na ongezeko la matukio ya utekaji, mateso na mauaji ya raia hasa wale wanaotoa maoni tofauti au kusimamia haki. Hali hii inaleta hofu, giza, na ukimya wa kulazimishwa. Matukio haya yameipaka doa nchi yetu ambayo kwa muda...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT na Operation LINDA KURA wakati umesaini 'Ukishapiga Kura Nenda Nyumbani Kalale'

    Kwa mujibu wa kanuni za maadili ya uchaguzi ambazo ACT Wazalendo wamesaini na kuridhia ni kuwa, ukishapiga kura rudi nyumbani kasubiri matokeo, na hata wakala wako haruhusiwi kuingia na simu kukujulisha kinachoendelea hata kama mabox ya kura feki yanaingizwa, sasa utalindaje kura ukiwa chumbani...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Debora Tluway: Jimbo la Nsimbo CCM na Jumuiya Zake Tuko Salama

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea kuendelea kujiandaa Kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuhakikisha wanakipa Chama Cha Mapinduzi kura za kishindo. Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tazama midege ya Israeli ilivyopaa na kurudi salama bila kumwamsha Ayatola

    Oparesheni iliyopewa jina la "amsha Simba" imekuwa gumzo duniani kote jinsi ilivyotekelezwa kwa ufundi wa Hali ya juu huku ikiepusha vifo vingi vya raia Ayatollah kabaki mdomo wazi na midoli yake aliyopewa na Mrusi.
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Drones zote za Iran zimepigwa chini, anga ya Israel salama

    Iran licha kupigwa na mindege ya Israel kwa awamu nne, 4 waves, ilishindwa kuangusha hata ndege moja, au hata kuzuia makombora, imepigika haswa, sasa Iran ikajibu kwa kutuma drones, zimepigwa zote chini.... IDF rescinds order to stay near shelter after intercepting Iranian drones ByAMICHAI...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia una hii Taarifa muhimu ya Umoja wa Ulaya (EU) kuzuia Ndege za ATCL kutua Ulaya yote kutokana na kutokuwa salama kwa Abiria na mbovu?

    Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
Back
Top Bottom