sakata

Sakata (酒田市, Sakata-shi) is a city located in Yamagata Prefecture, Japan. As of 1 October 2015, the city has an estimated population of 106,244 in 39320 households, and a population density of 180 people per km². The total area of the city is 602.97 square kilometres (232.81 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kati ya TEC na BAKWATA, nani kasimamia vyema maslahi ya nchi katika sakata la DP WORLD?

    Hello JF. Katika purukushani za kusimamia ulinzi na usalama wa maliasili za nchi yetu, tulisikia hoja nyingi kutoka kila kona ya nchi. Mojawapo ni ni mchapano wa Mabaraza haya mawili, Baraza la Maaskofu, TEC lililoleta hoja kali kinzani kwa serikali. Pili, Baraza Kuu kabisa la Waislamu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson azuia Mjadala wa Sakata la Bandari Bungeni, asema Bunge lilishatoa maamuzi

    Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa. Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge...
  3. JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania Nchini India Ametoa Ufafanuzi Sakata la Binti Wa Kitanzaia Anayedaiwa Kufukuzwa Ubalozini

    Ubalozi wa Tanzania nchini India umetoa ufafanuzi kuhusu Mtanzania, Sayuni Eliakim aliyedaiwa kushindwa kusaidiwa ubalozini hapo kupata hati ya kusafiria ili arudi Tanzania. Ubalozi huo umetoa ufafanuzi ikiwa ni siku mbili tangu taarifa hizo zilizodai Sayuni aliyedaiwa kunyanyang’anywa hati ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Sioni uwezekano wa Raisi Samia kupata asilimia 30 ya kura zote, na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 mwaka 2025

    Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025. Kashifa...
  5. JamiiForums Tanzania Tangu sakata la Bandari liamuke Mods wa Jf wanashuguli pevu sana.

    Hawa jamaa ngoje nitumie fursa hii kuwapa pole. Maana wana wakati mgumu sana kuchuja habari. Watu tunaandika kwa mihemko. Kongole kwenu na pole kwa kupitia mefu ya nyuzi bila kucboka... I
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la mkataba wa bandari: Kuna kila dalili (kuna asilimia kubwa) kuwa Viongozi wetu wamekuwa "Blackmailed"

    Maana si kwa kukomaa huko! Hivi mtu ukiwa blackmailed unafanyaje kujinasua? Tufanyeje tuweze kuwanasua? Maana kwa kweli naanza kuwaonea huruma na inabidi tuwaombee sana!!
  7. JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari linaenda kuongeza mpasuko wa kidini. Tukosoe kwa tahadhari

    Ni haki na wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha rasilimali za nchi yake hazichezewi hovyo.Nawapongeza nyote munaotoa maoni yenu ya kuukosoa huu mkataba ila chonde chonde, tujitahidi kuongeza umakini tunapokosoa. Kikawaida,imani ina nguvu sana kwenye suala la ushawishi. Unaweza kushangaa mtu...
  8. JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Hekima na busara itatuvusha, historia ni Mwalimu mzuri, tujikumbushe haya

    Mwaka 2014 Tamko la Maaskofu Wakatoliki TEC,Tasisi ya Waadventist Wasabato na Baraza la Kikrito Tanzania lilisitisha Bunge la Katiba Mpya baada ya kuona CCM imepora mjadala na kutaka kufanya wanavyotaka wao huku wakipuuza maoni ya wananchi. Rais Kikwete akatumia hekima na busara za Walaka ule...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

    Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu. Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

    Profesa Tibaijuka alipeleka sakata la bandari kidunia
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais avunje baraza la mawaziri sakata la bandari

    Serikali ya mhe Ndugu dkt Samia naishauri kwa wazi! isikamate watu na badala yake afumue Baraza lote la Mawaziri na pale ndipo kuna shida. Unajua Wananchi wakipiga kelele sana nadhani hekima pekee ni kuwapa majibu hata kama majibu hayo yana uchungu. Jaribio la kuwakamata watu wanaopinga swala...
  12. JamiiForums Tanzania Sina imani na Kamati Huru iliyoundwa na Ummy Mwalimu kufuatilia sakata la Madaktari Watarajali

    Nianze kwa kupongeza uamuzi wa Serikali kuamua kuitikia wito wa kuunda Tume ya kufuatilia suala la Madaktari Wahitimu Watarajali Nchini. Uamuzi huo unaonesha wazi Serikali ipo kazini na ina nia ya kweli ya kuwasaidia Wananchi wake kwa kuwa ukifuatilia hoja za Wanataaluma hao wa Udaktari zina...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko wapi?

    Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais? Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wamachinga na mgambo Mwanza lilishia wapi? Walipewa maeneo au walirudi barabarani?

    Wakuu, Mwezi wa 2 mwaka huu 2023, kulizuka taharuki maeneo ya Mtaa wa Makoroboi, jijini Mwanza, ambapo mgambo walikuwa na zoezi la kuwatoa wafanyabiashara hao kwenye eneo walilokuwa wanafanyia kazi. Nini kilifata, wamachinga walipewa maeneo au wamerudi kuendelea kufanya kazi bararani...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Baraza la Mawaziri halichukui hatua hizi juu ya mkataba wa bandari wakati waliujadili na kuupitisha kabla hata ya Bunge?

    Kwa ufupi Baraza la Mawaziri ni chombo cha serikali kinachosaidia Rais katika kutekeleza majukumu na kufanya maamuzi ya kitaifa. Jukumu la Baraza la Mawaziri linahusisha mambo mengi, ikiwa ni pamoja na kujadili na kufanya maamuzi kuhusu masuala muhimu ya serikali, mipango ya kitaifa, sera, na...
  16. JamiiForums Tanzania 2025 hamuwezi kuchukua nchi ila sakata hili limewafanya mtikise

  17. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari limezika Nyota ya Rais Samia kabisa!

    Wanawake wengi walikuwa ukiongea nao walikuwa hawampendi kabisa huyu Mama yetu! Nilikuwa najiuliza why? Lakini sasa Mama ametutibua hata na sisi wagawa urithi (Wanaume)! Yaani anataka watoto, Wajukuu na vitukuu wetu wazaliwe wakute wao tayari ni manamba kwenye Nchi yao! Wananchi tusikubali...
  18. F

    JamiiForums Tanzania "Dot connecting Intelligence" na Sakata la Bandari zetu!

    1st Dot: DP World Foundation hata kabla Watanzania hatujajua mkataba uliosainiwa wa kupora Bandari zetu wakakimbilia Mbeya kugawa Futari mwezi mtukufu wa ramadhani uliopita. 2nd Dot: DP World Foundation wamekiri wazi kuwa specifically walichagua mikoa miwili ya kugawa "Futari" zao, kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la kuuzwa bandari za Tanganyika limeipasua nchi kwa udini. Waislamu walalamikia Chadema kwa udini

  20. S

    JamiiForums Tanzania Kutumbuliwa Balozi Katanga na Diwani Athumani kuna uhusiano wowote na mkataba wa Bandari

    Nimekuta mahali mjadala mkubwa kuhusiana na kuondolewa kwenye nafasi zao Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Katanga na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Kamishna Diwani Athumani ikidaiwa kuwa kuna uhusiano na misimamo waliyokuwa wameweka kuhusu mkataba wa Bandari. Baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…