sahihi

  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA hawajali protocol, yeyote aweza hutubia taifa. Duni Haji alikuwa sahihi CHADEMA kila mtu ana sharubu

    Chama makini huwa na protocol mfano kuongea na taifa nani anatakiwa kuongea. Ni mwenyekiti wa chama taifa. Lakini CHADEMA hata mbunge aweza ibuka akaita vyombo vya habari kuongea na taifa hata diwani aweza jiibukia tu na kuongea na taifa. Mfano mtu anayeomba kuteuliwa na CHADEMA kugombea...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Ni wajibu wa Serikali kutupa majibu sahihi

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Itifaki yote imezingatiwa. Serikali ni chombo cha wananchi chenye dhamana ya kuwaongoza wananchi wake. Katika dhamana hiyo serikali haiwezi kuukwepa wajibu wake wa kutoa taarifa zilizo sahihi katika jambo lolote lile kwa wananchi wake. Ni vivyo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Elimu kwa Umma juu ya matumizi sahihi ya alama barabarani na uzingatiaji wa sheria

    Hongereni sana Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia kitengo chenu cha usalama barabarani kwa kazi mnayofanya kupambana na waharifu wa barabara,pia hongereni wizara ya afya kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ahabari nchini, mitandao ya kijamii n.k. katika kutoa elimu juu ya madhara ,namna ya...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli kumuagiza Waziri wa Fedha atoe pesa shilingi bilioni mbili toka Hazina ni sahihi?

    Wananchi wote tumemsikia Rais Magufuli akimuagiza waziri wa Fedha, Dkt Philipo Mpango "achote" pesa kiasi cha shilingi bilioni mbili kwenye Hazina ya Taifa, ndani ya saa 24 na awaletee wakandarasi ili zikamilishe ujenzi wa Ikulu wa Chamwino na akaendelea kumpiga mkwara mzito waziri huyo kuwa ole...
  5. JamiiForums Tanzania Je, wakati tunajiandaa kuingia katika Uchaguzi Mkuu, CHADEMA Ikiwa katika vipande vipande Mbowe bado Mtu sahihi?

    Wakuu tumebakiwa na mda mchache kabla ya kipyenga cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kupulizwa, Tumeshuhudia CHADEMA ikigawanyika katika vipande vipande na kusababisha vijana makini waliowanoa kwa miaka mingi kukihama chama hiki. CHADEMA iliundwa na Vijana makini waliokua wamejengeka kisiasa na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kama taarifa ya janga la korona haina umuhimu Tanzania kwanini vyombo vyetu vya habari viendelee kutoa taarifa za mataifa mengine?

    Baadhi ya vyombo vya habari kama ITV na UTV hapa nchini kila baada ya taarifa ya habari hutoa summary ya mwenendo wa maambukizi ya korona duniani. Je kuna faida au madhara gani kwa wananchi kusikia taarifa ya mwenendo wa Korona kwa mataifa ya nje tu bila kujua kinachoendelea nchini? Je...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mwenyekiti wa chama kinachotegemea kushika Dola anaposhauri chama chake kukwepa kodi?

    Tumemsikia mbunge Lijualikali akisema kuwa Mbowe alishauri wabunge ambao hawajatumia exemption kwa kununua magari basi watumie mwanya huo kwa kupitisha gari la chama bila kulipa kodi. Namkumbuka jambo hilo lilileta maswali kipindi cha CAG aliyepita lakini hakukuwa na majibu sahihi. Sasa je...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Virusi vya corona: Rais wa Tanzania anasema wagonjwa wanapungua, je yuko sahihi?

    Ukitaka kuwafurahisha wajinga, wape habari nzuri kuhusu habari mbaya, hata kama si ukweli na baada ya kuwarubuni wakuamini wewe tu. Je, ni kweli maambukizi ya corona yamepungua Tanzania? Na Peter Mwai na Christopher GilesBBC Reality Check Ibada ikiendelea kanisani Tanzania - waumini wakiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tusaidiane Kuchagua Jibu lililo sahihi tu hapa kuhusiana na CORONA kufanyiwa Mzaha nchini Tanzania tafadhali

    Je, Tanzania haina wasiwasi / hofu na CORONA kama nchi zingine hivyo imeamua kufanya yafuatayo...? A. Kutokuweka Mkazo wowote wa Curfew ( Lock down ) ili Waathirike wengi Uchaguzi usifanyike 2020 B. Kuruhusu Kundi la Waelewa na Wanaohoji Mitandaoni Form Six na Vyuo warudi ili wazingatie Elimu...
  10. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kabisa kuwa na Mpenzi ( Mume / Mke ) anayefanana Jina ama la Baba au Mama yako Mzazi?

    Binafsi nimewakataa Wanawake kadhaa wenye Majina yafananayo na la Mama yangu Mzazi kwa Hisia zangu tu ambazo sina uhakika kama zitakuwa sahihi au si sahihi kwamba pale nikiwa nafanya nae Ngono naweza Kujisikia vibaya na kuhisi kuwa labda ni kama nimelala nae Mzazi wangu ( Mama ) Je, imekaaje...
  11. JamiiForums Tanzania Huawe walipokataa dili la kuunda simu za pixel walikuwa sahihi?

    Google wamiliki wa android wana simu ambazo ni nadra kuzikuta huku kwetu zinaitwa pixel. Pixel zinadizainiwa na kufanyiwa promotion na google wenyewe lakini wanaozalisha simu za pixel ni HTC kampuni ya taiwan. Kabla ya htc kupata tenda google walijaribu kufanya dili na huawei. Huawei...
  12. JamiiForums Tanzania Sio kila mfanyabiashara ni Mfanyabiashara,Chagua mtu sahihi wa kumshirikisha mawazo yako

    Unajua kuna watu huwa nawakutaga wanasema mimi mpira wa BONGO siangaliii kabisa,ukimuuliza kwanini haangaliii Atakupa sababu za ajabu ajabu tena za kijinga jinga zisizo hata na maana yeyote Huwa nawambia watu wa namna hiyo kuwa "nyie mpira sio fani yenu na wala haupo kwenye damu" hivyo...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni sahihi bajeti ya kampeni CCM kuelekezwa kwenye huduma za Afya ya Jamii

    Ni dhahiri kwamba kampeni za uchaguzi mkuu huambatana na gharama kubwa sana. Vyama vya siasa vimekuwa vikitumia gharama kubwa kuandaa mikutano, fulana, kofia, vipeperushi, takrima za hapa na pale n.k. Kufuatia janga la Covid19, ambalo linaonekana kuendelea kuwepo katika jamii, napendekeza, kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali iko sahihi kutoruhusu lockdown kila ugonjwa wa kuua ukija Kuna wanaokufa na kuna wanaobaki sembuse corona?

    Migonjwa ya kuua kibao imeshatokea kiwe kipindupindu,malaria ,degedege ,ukimwi no lakini hiyo.migonjwa inaua lakini kina inaowrsa kuua na wengine wanabaki imeshindwa kuua wote sembuse corona? Siku ya kifommtu Kama umeandikiwa kufa ikifika siku yako hata uvae barakoa kuikwepa corona isikuue...
  15. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Hakuna Mbunge aliyefukuzwa Ubunge. Vikao vya majungu havifanyi kazi hapa, Msajili tazama vyama vya namna hii

    Baada ya Kamati Kuu ya CHADEMA kukaa na kuamua kuwafukuza uanachama Wabunge wanne waliokiuka taratibu za chama hicho kwa kuhudhuria vikao vya Bunge tofauti na kilivyoamua Spika Ndugai awataka waliofukuzwa kutokuwa na hofu Spika Ndugai amesema "Wabunge mnaapishwa na Spika na karibia wote humu...
  16. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo litachimbwa shimo kubwa kutokea upande wa pili wa dunia?

    Tukiachana na layer na sifa zake kwa kuongezeka joto kadri mtu unavyo zidi teremka chini ya ardhi Layer zenyewe zikiwa zinajulikana kama, -mantle(2) -crust(1) -core(3) Je unaisi itakuaje mtu akichimba shimo kutoka pande moja ya dunia shimo litokee upande wapili je akiruka kudumbukia kutoka...
  17. JamiiForums Tanzania Msando si chaguo sahihi kwa Arusha na wana Arusha, namshauri afunge breki

    Hapo vip!! Huyu Msando anayejipendekeza kwa wana Arusha na mshauri aache kutafuta publicity kwa vyombo vya habari na kujipendekeza kulamba lamba miguu wakubwa. Arusha kwa sasa haimtaki mtu kama Msando au Lema. Wana Arusha wanataka kiongozi Mzalendo anayeipenda Arusha na kuwapenda wana Arusha...
  18. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kutohudhuria Bunge na kujiweka karantini ni sahihi kabisa

    Wiki iliyopita Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Freeman Mbowe, alilitangazia Taifa kuwa wabunge wa Chadema, hawataendelea tena na vikao vya Bunge na wameamua kujiweka karantini kwa siku 14, ili kuangalia afya zao kama wameambukizwa ugonjwa huu wa COVID 19 au laa Ni uamuzi wa busara kabisa...
  19. JamiiForums Tanzania Vita Janga la Corona, Rais Magufuli Aanza Kusifiwa Duniani!, Jarida la The Economist 'Lamsifu' JPM Kumtegemea Mungu!, Ni Uamuzi Sahihi?, Utatuokoa?

    Wanabodi, Asubuhi ya leo, nimepata tena fursa, kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni makala za kuhamasisha uzalendo na huendeshwa kwa mtindo wa maswali, yakifuatiwa na hoja, kisha majibu uyatoe wewe msomaji mwenyewe. Mada ya leo ni kuhusu hatua mbalimbali...
  20. JamiiForums Tanzania Kuhusu lockdown Rais Magufuli yupo sahihi

    Salamu wanaJF katika strategies za kupambana na COVID 19 hakuna expert duniani.kila mmoja wetu ameweza kuwa na ushauri wake ambao ni valid kwa muktadha wa uelewa,taarifa,uzoefu,elimu n.k Rais Magufuli alichagua NO LOCKDOWN ..!! Baada ya msimamo huu hata mimi big fan wa Jembe Magufuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…