sahihi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa BBC, makubaliano na Barrick ni ushindi kwa Tanzania, Rais Magufuli yupo mstari sahihi!

    Na David KAFULILA. Septemba21,2020. Awali sikutaka kuandika chochote kufuatia makubaliano yenye faida za pande mbili kati ya Serikali yetu chini ya Mhe.Rais. Dr John Pombe Magufuli na Kampuni ya Madini ya Barrick. Hata hivyo, baada ya kusikiliza mahojiano ya BBC kuhusu tathimini ya...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Kama una mtoto Sekondari na unataka asome hadi Chuo Kikuu na huna uwezo kumlipia, linganisha sera uchague sahihi usije baadaye kujilaumu

    Vijana wengi wanaacha masomo ya Chuo Kikuu kwa sababu asilimia ndogo sana ndio hupata mikopo. Sera ya CCM ni kuwapa mikopo mayatima tu. Soma sera hii ya CHADEMA halafu fanya chaguo sahihi kwa ajili ya mwanao. "Ugharamiaji wa elimu ya juu ndio changamoto kubwa kwenye elimu ya juu na hivyo...
  3. JamiiForums Tanzania Kipimo sahihi cha mapenzi ni kuvumilia mapungufu

    Mapenzi ukitaka kuyapima basi angalia tu kuhusu mabaya kama unaweza/anaweza kuyabeba na kuyavumilia. Asili yetu binadamu tumeumbwa na mambo mazuri na kupenda mazuri,hivyo mtu akikupenda kwa mazuri tu huyo hajakupenda bali ndio asili yake tokea kuumbwa. Kuna watu wanadhani mfano mwanaume...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

    SEPTEMBA 5: CHAUMA KUFUNGUA RASMI KAMPENI MANZESE, DAR Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe ametangaza kufungua rasmi kampeni za chama chake viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese Dar es Salaam, Septemba 5 Awali chama hiko kilipanga kufungua kampeni zake mkoani Mara, zoezi ambalo...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kwa mke mwenye mshahara wa 'Six Figures' kumuomba mumewe elfu 20 ya kusukia?

    Habari JF. Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 Million but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Familia za viongozi wakubwa kujimilikisha keki ya taifa sio sahihi, koo nyingine zinakuwa maskini milele

    Habari wadau, Nawaza hii tabia ya koo za viongozi kushikilia wenyewe nafasi za ubunge kwenye majimbo mengi, mfano familia ya Kikwete. Mzee Kikwete amekuwa mbunge Chalinze miaka zaidi ya 15 na Uwaziri na Urais juu. Ukoo wa Kikwete umeshapata nafasi yao hapa ya kula cake ya taifa. Mtoto wake...
  7. JamiiForums Tanzania Ancestral Curse: Ujerumani iliwaua Wayahudi zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye nguvu zaidi Ulaya. Je, hii dhana ya laana ya asili ipo sahihi?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania; Ujerumani iliwahi kuwaua binadamu zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya (European...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

    Wanabodi, Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa vipindi viwili mfululizo, na sasa anaomba tena tumchague, hivyo nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hali aliyonayo Bernard Membe, Kikwete alikuwa sahihi huyu hakustahili kupeperusha bendera ya CCM hata kidogo

    Mhe. Kikwete alikuwa sahihi kukata jina la Membe 2015 kuwa mgombea urais kupitia CCM kwa kweli hana ushawishi wala mvuto wowote kwa watanzania, Kama kikwete angefanya kosa la kumpitisha huyu mtu 2015 Kisha apambane na Lowasa leo tungekuwa tunazungumza Lugha nyingine kabisa kwenye siasa za...
  10. JamiiForums Tanzania Kanisa liko sahihi kukataa padre wa Bukoba kugombea ubunge

    Kwa wiki mbili sasa mitandaoni inazunguka barua inayoonyesha ni ya askofu Desiderius Rwoma wa jimbo katoliki la Bukoba. Barua hiyo inahusu padre aliyeandika barua ya kuacha upadre akaenda kusikojulikana. Barua hiyo inaonyesha kwamba padre huyo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Nkenge...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Uongozi wa CHADEMA ulikuwa sahihi "kuwatimua" TBC katika uzinduzi wa kampeni zake

    Nianze mada yangu kwa kunukuu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 18(1) nayo inasema hivi "Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila kujali mipaka ya nchi na pia uhuru...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa NEC, yanayoendelea Morogoro Mjini ni sahihi kwako? Kwanini wapinzani wanyanyaswe na wasaidizi wako?

    Kwanini tume yako ya uchaguzi wanakuwa wazito hivyo kushughulikia uhuni wanaofanya wagombea wa CCM? Je, hiyo ndiyo inayoitwa tume huru? Unataka kila jimbo lenye mgogoro afe mtu ndipo uone kuna tatizo? Tafadhali sana, huu ni uchaguzi mkuu wa vyama vyote na siyo uchaguzi mkuu wa CCM, tunakutaka...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti na Rais wangu Magufuli lazima 'asemwe binafsi' kwakuwa 'aliongoza binafsi'. Lissu na wengineo wako sahihi katika kumtajataja

    Kuanzia kwenye Kampeni zake mwaka 2015, Dr. Magufuli alijipambanua kuwa ataongoza Serikali ya Magufuli na si Serikali ya CCM. Na akayasimamia maneno yake ya kwenye kampeni, baada ya ushindi wake, kwa maneno na vitendo. Aliita Serikali ni ya Magufuli na si vingine. Mbunge Mstaafu wa Kilwa Kusini...
  14. JamiiForums Tanzania Hekima, busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageni

    MADA YA LEO: NI MUHIMU SANA MTU KUWA NA NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI) Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala...
  15. JamiiForums Tanzania Utafiti: Je, ni umri gani sahihi wa mtu kuitwa mzee?

    Kutoka wikipedia, Mzee ni mtu aliyeishi miaka mingi baada ya kuzaliwa.Katika jamii za Kiafrika, sawa na jamii nyingi duniani, neno “mzee” linatumiwa pia kama cheo cha heshima kwa kumtaja mtu mwenye mamlaka fulani. Hapo kuna hoja ya kuwa mtu aliyeendelea katika umri anawazidi vijana kwa hekima na...
  16. JamiiForums Tanzania Mbinu ipi sahihi kuwasaidia ndugu? Ukiwasaidia "anatunyanyasa", ukiwanyima "hatujali"

    Ndivyo hali ilivyo kwa wengi wanaotwgemewa, Usidhani ya kwamba ukisaidia basi ndugu hufurahi, baadhi hujenga picha ya kwamba unawanyanyasa kwasababu wewe ndie mtoaji. Pia ukikata msaada kabisa tegemea vituko zaidi maana utaonekan ahuna ushirikiano. Haya mambo yanatokea sana kwenye koo ambazo...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

    Jamani wadau nisaidieni mwenye kujua haya mambo, ni umri upi unaoshauriwa kitaalamu kumtahiri mtoto wa kiume, na je kuna njia ngapi za kufanya hiyo kitu. Maana kuna maneno yanasema eti ukimfanyia akiwa bado mdogo kuanzia miaka 0 hadi mmoja eti atakuja kuwa dhaifu katika ile shughuli ya kikubwa...
  18. JamiiForums Tanzania George Ambangile aliamua kubaki na heshima na matumizi sahihi ya Elimu. Jamaa ni kichwa kizuri

    Katika sakata la Yanga na Morrison mwandishi ambaye nitaendelea kumheshimu ni Geoge Ambangile. Huyu bwana alisimamia kanuni za uandishi pasipo kupendelea upande wowote. Tofauti na wale vilaza waliokuwa wakitafuta kwa nguvu followers akina Oscar Oscar na Maulid Kitenge. Kitenge ametuuza sana...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

    Habari za asubuhi, wanajamiiforums. Niko hapa kuomba msaada kwa haya yanayonisibu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka30 kamili. Ni mwajiriwa serikalini. Niko hapa kuwataka msaada wa kimawazo kwa hali ninayopitia ambapo naona kama kuna kitu hakiko sawa kwangu. Niliwahi kuishi kwenye ndoa kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni Rais wa awamu ya nane, siyo ya tano!

    Tukisoma historia, utaona kuwa nchi yetu imepita katika vipindi kadhaa vya uongozi baada ya uhuru 1. Kuna Serikali huru chini ya waziri mkuu Nyerere iliyodumu kwa miezi mitatu baada ya kupata uhuru 2.Kuna serikali iliyofuata baada ya Nyerere kujiuzulu kwenda kuimarisha TANU iliyoongozwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…