WA MAMNDENII
JF-Expert Member
- Jun 5, 2010
- 344
- 57
Naomba kujuzwa kama ni sahihi kutumia neno tajwa kwenye lugha yetu adhimu ya Kiswahili, mfano " Barua ilipotelea ofisini kwako "
Ilipotea sio ilipoteleailipotelea
Mimi sio mtaalam wa lugha kwamba sikuwahi kusoma kitaalam shuleni, ila nimwongeaji nimezaliwa naongea kiswahili hivyo nitakujibu kama mswahili hasa na sio mtaalam wa lugha ya KiswahiliNaomba kujuzwa kama ni sahihi kutumia neno tajwa kwenye lugha yetu adhimu ya Kiswahili, mfano " Barua ilipotelea ofisini kwako "
Asante mkuu kwa ufafanuziMimi sio mtaalam wa lugha kwamba sikuwahi kusoma kitaalam shuleni, ila nimwongeaji nimezaliwa naongea kiswahili hivyo nitakujibu kama mswahili hasa na sio mtaalam wa lugha ya Kiswahili
Mfano #1 "Barua ilipotelea ofisini kwako"
Ni neno sahihi kabisa na dhamira ya kutumia neno "ilipotelea" na sio "ilipotea" ni kutaka kuonesha eneo ambapo hiyo barua ilipotea hivyo uzito haupo tena kwenye barua iliyopetea bali eneo ambalo hiyo barua ilipotea
Mfano #2 "Barua ilipotelea nyumbani kwako"
Itakuwa sio sahihi sana kutumia neno "ilipotea" wakati dhumuni lako ni kusisitiza eneo ambalo hiyo barua ilipotea na asio kupotea kwa barua
Kwa kuunga mkono hoja, ' mtu huyo alipotelea kusikojulikana', yaani, alipotea mahali kusikojulika.Mimi sio mtaalam wa lugha kwamba sikuwahi kusoma kitaalam shuleni, ila nimwongeaji nimezaliwa naongea kiswahili hivyo nitakujibu kama mswahili hasa na sio mtaalam wa lugha ya Kiswahili