sahihi

  1. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TAMISEMI: Ujasiriamali ni kazi halali, si sahihi kuwaengua Wagombea kwa kigezo hicho

    Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imesema ujasiriamali ni kazi halali inayotambulika kiserikali, si sawa kutumika kuwaengua wagombea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Hayo yamesemwa leo Jumanne, Novemba 12, 2024 na Mwanasheria wa Tamisemi, Mihayo Kadete wakati...
  2. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Ipi njia sahihi ya kushukuru (kutoa shukrani)

    Wasalaam, Hakika Mungu wetu ni mwema nyakati zote, niseme tu mimi Mla Bata si miongoni mwa wafia dini yeyote, wala mwenye kuyajua mengi yahusuyo dini hizi mbili za (ukristo & uislamu), lakini ni mwenye imani ya kuamini kuna nguvu kubwa inayozidi nguvu zote, viumbe vyote na yote yaliyomo ndani...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa haya tunayofanyiana Waafrika nakuja kuona hotuba ya P.W. Botha ilikuwa ina mashiko kwa kiasi fulani

    Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake. Baadhi ya vipengele vya hotuba yake: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa...
  4. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wakati sahihi makabila ya nyanda za juu kusini tunahitaji heshima yetu

    KINGABOY on the wheel.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za biashara

    Namna sahihi ya kupata wateja na kukuza biashara yako
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Watu wanaosali muda huo kisha baada ya hapo anafanya ufusika hiyo ni sahihi?

    Jamaa mmoja bwana ana swali karibia kila siku, ifikapo mchana na hata jioni uwa namuona anaswali katika msikiti mmoja, Huyu jamaa ana familia na watoto ila anachonishangaza ni, anatongoza mabinti wadogo wazuri bila kujali wameolewa au raha. Alafu mchana na jioni anaenda kuswali msikitini...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mama mjamzito kubagua vyakula?

    Huyu dada tangu amepata ujauzito wangu, amekuwa ni mtu wa kubagua vyakula; hataki kula mchicha, chainizi, tembele, bamia, nyanya chungu, yaani mboga za kuota shambani hataki. Yeye anataka kitimoto, nyama ya mbuzi, kuku, samaki sato; kwa ujumla anataka kula vizuri vizuri tu, mbaya zaidi anataka...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kishki yupo sahihi ila huyu Bwana Mdogo Shareef Firdaus ana nyota kubwa sana

    Kaka angu sheikh Kishki upo sahihi sana kuhusu sakata la huyu Bwana mdogo " Abdul Dunya" almaarufu " Shareef Firdaus". Dogo ana karama sana ana nyota sana na anakubalika sana. Bora umpotezee tu. Raia mitaani jijini Darusalama wanamkubali ile kinomanoma. Kwa Raia mitaani, Kishki vs Shareef...
  9. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mke kutubu kwa mumewe baada ya kuchepuka?

    Nawasalimu. Ama baada ya salamu. Nimekuja hapa nikiwa nimevaa viatu vya mwalimu wangu aliyenisomesha baadhi ya vitu katika maisha. Huyu jamaa ni muislamu. Kama inavofahamika kuwa uislamu unaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja. Miezi kadhaa nyuma aliamua kuongeza mke wa pili. Tukio lile lilileta...
  10. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Kituo cha Polisi na Polisi kuwa Chombo cha Usuluhishi wa migogoro ya kijamii?

    Kum-radhi kama bandiko langu litakuwa na maana/maudhui ya tofauti na kuhitaji kufahamishwa na kuelimishwa. Ni mimi wako UWESUTANZANIA. Katika jamii nyingi na maeneo tofauti tofauti hapa nchini kwetu kumekuwa na desturi ya watu kukimbilia polisi na polisi kupokea na kusikiliza kesi hata...
  11. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mwanaume kugugumia/kulia kimahaba wakati wa sex??

    Kuna huyu jamaa jirani na nyumba niliyopanga, aisee nimeshindwa kumwelewa, akiwa huko faragha na mpenzi wako anagugumia/kulia kimahaba MPAKA kero....yaani wakigegedana huko yeye ndio anatoa makelele kupita hata huyo demu wake. Sasa nimejiuliza hii ni kawaida kweli??, kikawaida na uzoefu wangu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je, ni sahihi Jamhuri kukata rufaa baada ya miaka miwili ya hukumu kupita?

    Wakuu naomba kueleweshwa, nilishtakuwa Kwa kesi ya jinai na Jamhuri miaka miwili imepita sasa toka hukumu ilipotolewa na mahakama iliniachia huru baada ya kujiridhisha na ushahidi. Imepita sasa miaka miwili, Jamhuri wamekata rufaa. Naomba mnieleweshe imekaaje hii ya rufaa imepita miaka miwili
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kujidhuru au kumdhuru mwingine na kudhulumu uhai wake au wako mwenyewe kwa sababu ya mapenzi?

    Mathalani kujiua kwa kunywa sumu au kumdhuru mwingine kwa sumu, kujinyonga, kumdunga mtu au kujidunga kisu mwenyewe kwajili tu ya mapenzi. Kumpiga mtu rungu au kumpiga mwingine kwa kitu kizito au risasi.. Ni ngumu kuvumilia changamoto za kwenye mapenzi lakini inawezekana kuziepuka na kuishi...
  14. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Je kuna ulazima wa kupiga ribiti kwenye gari?

    Wakuu kuna jamaa yangu ameingiza mkweche (gari) kutoka kwa mjapani. Sasa kuna wananzengo wanampiga saundi eti apige ribiti kwenye maeneo mbalimbali ya gari kama vile kwenye taa na maeneo mengine yaliyo loose eti ili wajuvi wasipate tamaa ya kuvikwapua vitu ivo. ivi wakuu kuna ukweli ktk hili...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Football Club Investments ni sehemu sahihi ya uwekezaji?

    Habari, nimeona taarifa nyingi sana na watu kujiunga katika uwekezaji wa kampuni inayoitwa F.I.C football Club Investments. Je, ni sehemu sahihi au ndo Kalynda mpya na Mr. Kuku Tena!
  16. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Nauliza dawa nzuri na sahihi Kwa ajili ya kuuwa nyasi kwenye shamba lakahawa

    Salaam wanajamvi,mm nauliza dawa nzuri yakuua nyasi kwenye shamba la kahawa bila kuathiri Miche ya kahawa.naomba kwa walionauzoefu au utaalam juu ya hili suala wanisaidie.nawasilisha
  17. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hii post nimeikuta instagram, nimecheka saana! Sijui nilikuwa sahihi??

  18. Naju23

    JamiiForums Tanzania Msaada tafsiri sahihi ya hii sentensi

    "X" and "y" are both favored to "z" on the right wing.
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil yuko sahihi, kwanini Waziri Jr Shemtembo hakucheza?

    Tumefika hapo tulipofika kwa kuwatumia wachezaji wetu wa ndani akina Shemtembo, kwanini kocha alibadili gear angani akaacha kuwatumia? Wachezaji wa nje wana miguu ya pesa, wanawaza timu zao zinazowapa fedha. Wachezaji wa ndani wanajituma sana ili waende kucheza nje, lakini wale wa nje...
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je, kwa sababu hizi Wizara ya Mawasiliano ilikuwa sahihi kumtimua Elon Musk na intaneti yake?

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake. 1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya...
Back
Top Bottom