sahihi

  1. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Je, ni Sahihi kuwasiliana na ex wako?

    Je, ni sahihi kuwasiliana na ex wako au kuwa na namba yake kama upo kwenye ndoa Au mahusiano?
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi binadamu wa karne hii kuishi hivi?

  3. U

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

    Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali. Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama...
  4. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Waafrika kujikuta tunaishi Afrika Wala si Bahati mbaya,ni sahihi kabisa na tena tushukuru

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo inapaswa Tushukuru usiku na mchana! Bara la Afrika ni bara ambalo linaendana sawia na akili ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kubeba majeruhi kwenye gari za wazi (Pickup) badala ya gari za wagonjwa (ambulance) kwenye tukio la kuanguka ghorofa K/Koo ni sahihi?

    Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance Sasa najiuliza Kariakoo...
  6. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua sehemu ama taasisi zinazotoa mafunzo ya matumizi sahihi ya silaha

    Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa Dar
  7. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TAMISEMI: Ujasiriamali ni kazi halali, si sahihi kuwaengua Wagombea kwa kigezo hicho

    Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imesema ujasiriamali ni kazi halali inayotambulika kiserikali, si sawa kutumika kuwaengua wagombea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Hayo yamesemwa leo Jumanne, Novemba 12, 2024 na Mwanasheria wa Tamisemi, Mihayo Kadete wakati...
  8. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Ipi njia sahihi ya kushukuru (kutoa shukrani)

    Wasalaam, Hakika Mungu wetu ni mwema nyakati zote, niseme tu mimi Mla Bata si miongoni mwa wafia dini yeyote, wala mwenye kuyajua mengi yahusuyo dini hizi mbili za (ukristo & uislamu), lakini ni mwenye imani ya kuamini kuna nguvu kubwa inayozidi nguvu zote, viumbe vyote na yote yaliyomo ndani...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa haya tunayofanyiana Waafrika nakuja kuona hotuba ya P.W. Botha ilikuwa ina mashiko kwa kiasi fulani

    Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake. Baadhi ya vipengele vya hotuba yake: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa...
  10. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wakati sahihi makabila ya nyanda za juu kusini tunahitaji heshima yetu

    KINGABOY on the wheel.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za biashara

    Namna sahihi ya kupata wateja na kukuza biashara yako
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Watu wanaosali muda huo kisha baada ya hapo anafanya ufusika hiyo ni sahihi?

    Jamaa mmoja bwana ana swali karibia kila siku, ifikapo mchana na hata jioni uwa namuona anaswali katika msikiti mmoja, Huyu jamaa ana familia na watoto ila anachonishangaza ni, anatongoza mabinti wadogo wazuri bila kujali wameolewa au raha. Alafu mchana na jioni anaenda kuswali msikitini...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mama mjamzito kubagua vyakula?

    Huyu dada tangu amepata ujauzito wangu, amekuwa ni mtu wa kubagua vyakula; hataki kula mchicha, chainizi, tembele, bamia, nyanya chungu, yaani mboga za kuota shambani hataki. Yeye anataka kitimoto, nyama ya mbuzi, kuku, samaki sato; kwa ujumla anataka kula vizuri vizuri tu, mbaya zaidi anataka...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kishki yupo sahihi ila huyu Bwana Mdogo Shareef Firdaus ana nyota kubwa sana

    Kaka angu sheikh Kishki upo sahihi sana kuhusu sakata la huyu Bwana mdogo " Abdul Dunya" almaarufu " Shareef Firdaus". Dogo ana karama sana ana nyota sana na anakubalika sana. Bora umpotezee tu. Raia mitaani jijini Darusalama wanamkubali ile kinomanoma. Kwa Raia mitaani, Kishki vs Shareef...
  15. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mke kutubu kwa mumewe baada ya kuchepuka?

    Nawasalimu. Ama baada ya salamu. Nimekuja hapa nikiwa nimevaa viatu vya mwalimu wangu aliyenisomesha baadhi ya vitu katika maisha. Huyu jamaa ni muislamu. Kama inavofahamika kuwa uislamu unaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja. Miezi kadhaa nyuma aliamua kuongeza mke wa pili. Tukio lile lilileta...
  16. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Kituo cha Polisi na Polisi kuwa Chombo cha Usuluhishi wa migogoro ya kijamii?

    Kum-radhi kama bandiko langu litakuwa na maana/maudhui ya tofauti na kuhitaji kufahamishwa na kuelimishwa. Ni mimi wako UWESUTANZANIA. Katika jamii nyingi na maeneo tofauti tofauti hapa nchini kwetu kumekuwa na desturi ya watu kukimbilia polisi na polisi kupokea na kusikiliza kesi hata...
  17. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mwanaume kugugumia/kulia kimahaba wakati wa sex??

    Kuna huyu jamaa jirani na nyumba niliyopanga, aisee nimeshindwa kumwelewa, akiwa huko faragha na mpenzi wako anagugumia/kulia kimahaba MPAKA kero....yaani wakigegedana huko yeye ndio anatoa makelele kupita hata huyo demu wake. Sasa nimejiuliza hii ni kawaida kweli??, kikawaida na uzoefu wangu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je, ni sahihi Jamhuri kukata rufaa baada ya miaka miwili ya hukumu kupita?

    Wakuu naomba kueleweshwa, nilishtakuwa Kwa kesi ya jinai na Jamhuri miaka miwili imepita sasa toka hukumu ilipotolewa na mahakama iliniachia huru baada ya kujiridhisha na ushahidi. Imepita sasa miaka miwili, Jamhuri wamekata rufaa. Naomba mnieleweshe imekaaje hii ya rufaa imepita miaka miwili
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kujidhuru au kumdhuru mwingine na kudhulumu uhai wake au wako mwenyewe kwa sababu ya mapenzi?

    Mathalani kujiua kwa kunywa sumu au kumdhuru mwingine kwa sumu, kujinyonga, kumdunga mtu au kujidunga kisu mwenyewe kwajili tu ya mapenzi. Kumpiga mtu rungu au kumpiga mwingine kwa kitu kizito au risasi.. Ni ngumu kuvumilia changamoto za kwenye mapenzi lakini inawezekana kuziepuka na kuishi...
  20. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Je kuna ulazima wa kupiga ribiti kwenye gari?

    Wakuu kuna jamaa yangu ameingiza mkweche (gari) kutoka kwa mjapani. Sasa kuna wananzengo wanampiga saundi eti apige ribiti kwenye maeneo mbalimbali ya gari kama vile kwenye taa na maeneo mengine yaliyo loose eti ili wajuvi wasipate tamaa ya kuvikwapua vitu ivo. ivi wakuu kuna ukweli ktk hili...
Back
Top Bottom