sahihi

  1. Trainee

    JamiiForums Tanzania Upi ni upande sahihi wa kukaa picha kwenye kitambulisho?

    Kulia au kushoto? Au inategemea na aina ya kitambulisho? Kwa mfano vyangu mimi; Cha kazi, cha NIDA na cha... picha ipo upande wa kulia ukiwa unavitazama Cha bima ya afya na vya shule vyote picha ipo kushoto ukiwa unavitazama
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Dini zinatuchanganya sana. Ni yapi ni mazishi sahihi kati ya Dini zote na madhehebu yote,Ikiwa lengo ni kwenda peponi/Mbinguni?

    Wakuu Mimi Bado Kuna vitu Huwa najiuliza na mara zote sijawahi kupata majibu! Hapa Duniani tuna dini aina tofauti tofauti na madhehebu Hali kadharika. Na dini zote/Imani zote na madhehebu yote Yana hubiri uzima wa milele baada ya kifo hii hata Mimi naamini kuwa Kuna maisha baada ya kifo/ufufuo...
  3. Richard

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Ushauri wangu kuhusu upinzani kujitambua umesikika. Tundu Lissu ndiye kiongozi sahihi wa upinzani. Vyombo vya usalama vimuache afanye siasa

    Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA. Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza CCM kwenye siasa tangia mwaka 1992 upinzani ulipozaliwa rasmi kwa maana ya vyama vingi vya siasa...
  4. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuomba maombi yako ya kawaida kwa sauti kubwa?

    Kwa nijuavyo kuna aina tofauti za maombi. Maombi binafsi yanayohusu haja zako binafsi. Kuna maombi ya jumla kuombea watu wengine mfano uponyaji na kuna maombi ya vita kama vile kukemea hali fulani. Swali langu kwa waombaji, je ni sahihi kutumia kipaza sauti wakati wa kuomba maombi binafsi?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: CHADEMA ni taasisi imara, hata mimi naiogopa kwa ukubwa wake, nikiwa na jambo langu naenda kuongea kwa mke wangu

    Boniface Jacob Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani; "CHADEMA ni Taasisi imara ambayo imejikamilisha, (mimi) CHADEMA ilivyokubwa mpaka naiogopa, nikiwa na jambo langu naenda kuongea kwa mke wangu, kwasababu najua wana CHADEMA sina cha kuwatisha wa kuwababaisha"
  6. pet geo pet

    JamiiForums Tanzania Refa alikuwa sahihi katika mchezo wa Simba vs mwarabu ..

    Nimejaribu kupitia sheria kuhusu dakika za nyongeza lakini ki uharisia na sheria refa yupo sahihi kwa 100% .someni na nyie kanuni za fifa nimeweka hapa chini
  7. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Chadema mnamachaguo mawili: Unite or Die

    Tundu Lissu alipewa nafasi ya kugombea Urais wa JMT! kuna nafasi kubwa kama hiyo ndani ya nchi? Then Unaponiambia kuwa Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama ambacho hakina hata wanachama 3M active countrywide, chama ambacho hakina hata 1/3 ya wabunge wa bunge zima…::ila tulikua tayari awe Rais...
  8. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Urusi haina maendeleo makubwa. Je, Margaret Thatcher yupo sahihi ?

    Video fupi Je, pia ni sababu kwa nini nchi nyingine zenye rasilimali ni masikini wa kutupwa ?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutangaza kugombea u/kiti CDM, ni kosa TAL kuendelea kuwepo nchini. Wakati sahihi kuwepo ni siku ya uchaguzi wenyewe. Sababu hizi hapa.

    Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru. 1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala. 2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake. 3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
  10. Big L

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya vipaza sauti ( microphones)

    Habari zenu wanajamvi, Leo nimekuja na suala hili la matumizi sahihi ya vipaza sauti nikiwa naomba mawazo yenu na hoja zenu kuhusiana na hili. Makanisani, Mikutanoni, kwenye sherehe mbalimbali na sehemu nyingine nyingi tumekuwa tukitumia vipaza sauti tena kwa kupokezana yaani unakuta kipaza...
  11. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, pesa za vipimo zinazolipiwa Maabara bila stakabadhi zinaenda sehemu sahihi?

    Picha: Ubungo Manispaa Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya. Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za msingi kuanzia huduma ya mama na mtoto, kujifungua, hadi upasuaji. Licha ya kuwa hospitali hii yenye...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mayahudi waambiwe ukweli tu,Kama wana uchungu wa mababu zao kuuliwa na Hitler, basi kama ni sahihi hasira zao wakazitolee kwa wajerumani.

    Wapalestina wote hawakuhusika na chochote katika madhila ya mayahudi kule Ujerumani, Watoto na wagonjwa wanaouliwa kwa makombora kila siku kwa kweli hawakuwepo muda huo na hata hao askari wa IDF nao pia wengi wao wanasoma historia tu sawa na wenzao wa Palestina. Sasa chuki za kijinga na...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Basi la Wabunge Ilivyoibua Changamoto za Uandishi Sahihi wa Habari Katika Vyombo Vyetu

    Leo, Disemba 6, 2024, basi lililokuwa limebeba wabunge waliokuwa wakielekea kwenye mashindano ya michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali katika eneo la Mbande, Kongwa, mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa Polisi mkoani Dodoma, ajali hiyo ilitokea baada ya dereva wa basi kujaribu...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

    Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
  15. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Narudi tena! Kati ya Mpanda na Morogoro wapi sehemu sahihi kwa hustle?

    Wakuu hivi sehemu sahihi ya kiutafutaji katika ya Morogoro na Katavi ipi ni sahihi? Kwa maana ya biashara ya mazao na maduka ya dawa Morogoro maeneo ya Ifakara, Mvomero, Malinyi, Kilombero na Mlimba?
  16. sameer0220

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kulipia kibali kwaajili ya marekebisho ya kupaka rangi nyingine nyumba yangu?

    Je, ni sahihi kulipia kibali kwaajili ya marekebisho ya kupaka rangi nyingine nyumba yangu? Nimeikuta huku Songea mkoa wa Ruvuma, ikiwa mwenye nyumba anataka kurekebisha rangi au kubomoa na kujenga vyumba vya kisasa inahitajika alipe pesa serikalini Ili apate kibali je ni sahihi? Au ni sheria...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kufanya vikao vya kiutendaji kabla ya kuapishwa, nchini Marekani?

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump, bado kuapishwa kwa ajili ya kuanza kazi yake ya urais katika nchi hiyo; lakini kuna vikao huwa vinafanyika kati ya yeye na viongozi mbali mbali kutoka nchi tofauti tofauti, kuhusu maazimio ya kiutendaji wa nchi hizo na Marekani. Swali langu, ni sahihi...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Nawekeza milioni 100 baada ya miaka 10 nipewe milioni 300 Yani 200 faida, je hii ni sahihi kama ntaiweka kwenye Biashara faida inakuwaje after 10 yrs

    Ndio wadau wawekezaji nimeona hii fursa je ni positive au negative ? Wataalamu wa biashara na masoko ya hisa njooni
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke yupi sahihi kati ya hawa wawili? USHAURI WAKO NI MUHIMU

    Naomba ushauri wako kati ya hawa wanawake wawili yupi anaweza kuwa sahihi kwangu? MWANAMKE WA KWANZA Ana elimu ya darasa la saba lakini ni mjanja sana maana hata text za kiingereza anajua kusoma na kuandika baadhi ya maneno, amezaliwa 1988 (miaka 36), ana watoto wawili wote wa kike - sio watoto...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC wa Dar es Salaam Albert Chalamila hakuna Kiingereza cha Thank you for Organization bali kuna Kiingereza sahihi cha Thank you for Organizing

    Na kilichoniumiza zaidi baada ya kutoa Boko hilo ni kwamba kila mara nimekuwa nikikusikia ukisema (tena ukitamba) kuwa una Masters Degree (Shahada ya Uzamili) na kwamba ulishakuwa Mkufunzi (Teaching / Tutorial Assistant) na kusema pia kuwa una Exposure Kubwa na hata huko Ulaya / Marekani...
Back
Top Bottom