sahihi

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanaotangaza wanatafuta wachumba mitandaoni wajaona njia ambayo sahihi kama hizi:

    kama muislamu au mkristo ukifika eneo lako la ibada ukitangaza kuwa unataka kuoa au kuolewa watajitokeza wengi na utafanya kuchagua. Kama unaangaishwa nenda kijijini kwenu huko kuna watu wapo tayari kuoa au kuolewa wakisubiri. Kwenye maharusi,misibani na sheree za ccm mnaweza kuwapata kibao...
  2. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua muda sahihi wa Wakristo kufuturu

    Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima. Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi??? Nipo kariakooo pale...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Lilian Mwasha nae ni Mchungaji? Haya wale Wanawake ambao bado hamjatupata wa Kuwaoeni mwenzenu kasema Umri sahihi wa Kuolewa ni miaka 40

    Mchungaji lilian_mwasha alipoulizwa kuhusu umri sahihi wa binti kuolewa ni umri gani. Kwa upande wake amesema kuwa umri sahihi wa mwanamke kuolewa ni miaka 40. Chanzo Taarifa: officialmkaliwenu Ninavyojua tu ni kwamba Wanawake wa huu Umri wa 40 Idara zao zote huwa tayari zimeanza Kuchoka na...
  4. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Kwa Kauli ya Manara Je alikuwa sahihi au atupwe rumande ya Michezo?

    Wote tumesikia jinsi Manara alivyomvaa Rais wa TFF Ndugu W.Karia kwa lugha ambazo kimtizamo hazina staha ukilinganisha na alicho kisema Rais wa TFF ukweli kwa sasa kumekuwepo baadhi ya watu wanaleta sanaa katika mpira wa nchi hii! Hivyo lazima yeye kama kiongozi wa mpira wa nchii lazima akemee...
  5. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Je, Ni sahihi mwananchi kukamatwa/kulipa faini kwa kutohudhuria mikutano Serikali za mitaa,Kuchangia ujenzi madarasa?

    Nimegongewa mlango asubuhi ya leo, na watu waliojitambulisha kuwa ni balozi, mwenyekiti na askari mgambo, Wakieleza kwamba natakiwa kulipa faini jumla sh 12,500/= ambapo 10,000/= ni kwa kushindwa kuhudhuria mkutano walioutangaza hivyo nilipaswa niwepo au nitoe sababu za dharura ya...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE nikisema kuwa unahitaji Akili ya kama ya Mwendawazimu kuhangaika kufuatilia Siasa za Afrika, kuumizwa nazo na kuzipenda huwa nakuwa sahihi

    Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amewajibu wakosoaji wa Serikali ya Rais William Ruto wanaotaka aondoke madarakani huku akisema wanataka atoke aende wapi. Kauli ya Odinga inakuja zikiwa zimepita siku chache tangu asaini makubaliano ya kufanya kazi na Rais Ruto nchini Kenya...
  7. nipo online

    JamiiForums Tanzania kwa uwekezaji huu nlioufanya, Je niendelee na ajira nilipoajiriwa?

    kama kichwa cha habari hapo juu, nimekomaa toka mwaka jana nimebahatika kuunda izo kitu na mwote humo wako watu wanapiga kazi, salon ya kiume mwenyewe pia ni fundi kunyoa jioni na wikiend nakaa kupiga kazi, duka ni la mangi tu la kawaida, je no sahihi au niachane na kufundisha nije kusimamia...
  8. Intricate

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuwaita TFF matapeli na walaghai

    Ikiwa wanaruhusu kughairishwa kwa match na kuchukua pesa za viingilio kwa wale waliokata ticket na kutoweka njia yeyote ya kufidia, basi ni sahihi kuwaita matapeli tu. Na kudhihirisha ulaghai wao, walitoa tangazo kabisa la kuhakikishia watu uwepo wa match na kuwa waendelee kukata ticket...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mtu kujiita Kiboko ya Wachawi?

    Kimaandiko, kujiita "Kiboko ya Wachawi" sio sahihi kwa sababu inahamasisha kiburi na kujitwalia mamlaka ambayo ni ya Mungu pekee. Sababu za Kimaandiko: Yesu ndiye anayeangamiza kazi za shetani 1 Yohana 3:8 – "Kwa sababu hii Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Shetani." Yesu...
  10. petro matei

    JamiiForums Tanzania Ushauri. Ni muda sahihi Bagamoyo ipewe hadhi ya mkoa

    Kwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone – BSEZ), Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa Wilaya Bagamoyo Wilaya kibaha Wilaya chalize...
  11. MR BINGO

    JamiiForums Tanzania Je, uwekezaji UTT ni mbadala sahihi wa Real Estate Tanzania?

    kipi ni bora kwa uwekezaji TANZANIA kati ya kuwekeza katika biashara ya nyumba au kuwekeza katika mfuko wa hifadhi wa UTT?? Let's say una milion 30 ni bora ujengee nyumba in which utapata kodi labda ya 250k au ni bora uwekeze kwenye UTT in which ina return ya labda 1% per month ambayo ni kama...
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani?

    Je ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani? Maana miongoni mwa watu waliomchangia pesa ya harusi ni waislamu na waislamu muda huu wapo kipindi cha mfungo na hata baadhi ya wakristo nao wanawasindikiza waislamu katika ibada hii ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Hivyo kufunga...
  13. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ni Sahihi kwa mwanaume kuoa Hali ya kuwa ndani Hana assets yoyote?

    Jambo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi?

    Naombeni Majibu Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi pamoja na -kupata mtoto Nimeshajipata ,now Nina miaka 23 ,Nina kazi Serikalini, Nyumba, Elimu Japo kwa Msaada wa Wazazi
  15. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Ipi ni namna sahihi ya kusema kwa kingereza hii kauli "NINAUMWA MALARIA"

    1: I am sick of malaria 2: I am suffering from malaria 3: I have malaria 4: I am sick malaria 5: I am sick with malaria 6: none of the above (iandike)
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Evelyn Salt, after 10+ years, ni muda sahihi sasa wa kutuambia kweli

    Evelyn Salt You comment like a dude. You post masculine. Unabishana kibabe Simaanishi kwamba wanawake ni weak ila kwa macho yetu ya kiJF unatiki kila box za kuwa boyish Are u a dude, stud or just a tough lady 😂😂 Ila Pia haituhusu mambo private ya watu
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Ujenzi wa matanki ya Maji kwa Wananchi umeanza ili maeneo ya milimani yapate maji kwa uwiano sahihi

    Baada ya hoja za Wanachama kadhaa wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji katika baadhi ya maeneo Jijini Mwanza, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka husika... Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama

    Katika kile kinachoonekana kuendelea kwa mivutano ya makundi ndani ya Chadema, kada mmoja wa chama hicho, amepinga uteuzi wa viongozi watendaji wa juu wa sekretarieti na wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho uliofanywa na Mwenyekiti Tundu Lissu Januari 22, 2025, akidai umekiuka katiba ya chama...
  19. kbosho

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mtoto wa miezi mitatu (3) kua na uzito wa kilo saba? (7)....

    Wakuu naombeni ushauri, ni sahihi kwa mtoto wa kike wa miezi mitatu kua na uzito wa kilo 7? ......
  20. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia "Wanawake tunataka pesa"! Je, ni Sahihi?

    Katika maongezi na shemeji yenu amefunguka kuniambia "Yaani wanawake tunataka hela, twende mbele turudi nyuma tunataka hapa huku akipigisha vidole kama anahesabu hela" Maoni Yangu Naona ni sawa kumuhudumia mwanamke ila si sawa yeye kusema wanawake tunataka hela Naona kama ni makosa makubwa...
Back
Top Bottom