Habari za jioni, kwa maisha yangu yote ya kuwa mkristo nimeaminoshwa kuwa Biblia ni uvuvio wa Roho mtakatifu/Mungu mwenyewe so Mungu huyu ni mkamilifuBinafsi napata contradiction through kuhusu imani hii based on Biblia husika inabishana naomba wana maandiko "Wasabato" na walokole mnosaidie hili...