"Nataka mwanaume sahihi" - "sahihi ni Pesa"

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
16,979
Reaction score
26,083
Ewe kijana , ukiwa una mahusiano unayotaka yawe ndoa, mwanamke anakuzungusha kila siku , anakwmbia subiri na anawaambia marafiki zake anasubiria "mwanaume sahihi" basi zingatia neno "sahihi" maana yake ni "pesa"

Huna hela kaa pembeni , Ndoto ya kila mwanamke ni kuishi maisha ya kwenye tamdhilia za kikorea, Cinderela and four nights, La Mujar le mivida.

Usidanganywe na mwanamke wako eti ooh tutanzia chini, baba ,...baba... baba... akija mwenye kisu kishajipata yupo juu anapit naye kama kipanga.

Handsome boy "dayamondi pletinamz" amekula mademu wengi wazuri kuanzia juu mpaka chini, wanamhonga, wanataka hela hawajali mdomo wala kucha.
 
Ewe kijana , ukiwa una mahusiano unayotaka yawe ndoa, mwanamke anakuzungusha kila siku , anakwmbia subiri na anawaambia marafiki zake anasubiria "mwanaume sahihi" basi zingatia neno "sahihi" maana yake ni "pesa"

Huna hela kaa pembeni , Ndoto ya kila mwanamke ni kuishi maisha ya kwenye tamdhilia za kikorea, Cinderela and four nights, La Mujar lemivida,
Sio kweli, mwanaume sahihi ni mwanaume mwenye malengo ya kudumu kimahusiano na huyo Mwanamke, unaweza kuwa na pesa lakini kumbe lengo ni kipusa tu, sasa kwa mwanamke anayehitaji mume wewe sio sahihi kwake
 
Malengo ni hela , short of which ni hekaya za alfu ulela lela.
 
Sio kweli, mwanaume sahihi ni mwanaume mwenye malengo ya kudumu kimahusiano na huyo Mwanamke, unaweza kuwa na pesa lakini kumbe lengo ni kipusa tu, sasa kwa mwanamke anayehitaji mume wewe sio sahihi kwake
acha kujifariji broo, tafuta pesa

hayn maisha unayoyazungumza ni ya miaka ya nyuma sana...

hv vi genez ambavyo vikiwa vinagongwa vinatoa sauti kama vinauliwa, vipo after money!

hatujui aliyeficha hela lakini jitahidi sana kutafuta pesa!
 
Tafuta pesa, utachapiwa na pesa zako mkuu, nakushauri tu tafuta pesa kwa maendeleo na mipango yako, si kwa sababu ya mwanamke
 
Kuchapiwa ni swala lingine
Tafuta pesa mkuu

Huwa nikiwatazama wanangu, sijui wa kiume wataoa nani na sijui wa kike wataolewa na nani..elimu wamepga hatuaa na umri tayar.

Mungu saidia

tafadhali sana mzee wa kusikitika Mbaga Jr na mzee wa kono la nyani secretarybird wasije ona huu uzi.
 
Isiwe tu kwa ajili ya kumridhisha mwanamke Mkuu, pesa tunatafuta

Nikikumbuka sakata la mtangazaji wa habari wa ITV la mwaka 2013 some body ufoo saro yule mwamba alizutafuta pesa kwa ajili ya Mwanamke akaishia kujipiga bastola pamoja na mama wa binti
 
Out of topic
Huyu bimdada alienda wapi baada ya kutwangwa risasi(hakufa) na mama yake
 
Zamani nilikuwa nakuwa na maskini sana niliwavumilia mmoja akaoa mzungu ,mwingine alioa dada wakijijini sasa hivi sitaki tena wakinga mimi nahitaji mwanaume handsome mwenye pesa .....
Wenye pesa wenye pesaaaaaaa.

Nipo juuuu kama simbA
 
Back
Top Bottom