safi

Sāfī (Pashto: ساپی‎ Sāpai; plur. ساپي Sāpī) is a major branch of the greater Ghurghakhti Pashtun tribe. The Safi tribe comprises a majority in the Pech Valley of Kunar and are present in significant numbers in Parwan Province (Kohi Safi), Kapisa Province, Kabul Province, Laghman Province, Nuristan Province and the whole of Kunar Province. A reasonable majority also resides in different urban and rural areas of Khyber Pakhtunkhwa, particularly Peshawar, Charsadda, Mardan, Nowshehra, Swabi. A large number also settled in Rawalpindi, Tarnol, Karachi,Lahore, Multan. They are also present in large number in Mohmand, Bajaur Agency, Federally Administered Tribal Areas and in Zhob District, Balochistan, Pakistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania SoC01 RC Makalla na Uongozi wa Dar: Fuateni ushauri huu Dar es Salaam itakuwa na mazingira safi kuliko Moshi

    Kwanza kabisa kuondolewa kwa mifuko ya plastiki bado hakujafanya mazingira kuwa safi. Nini tatizo kwa mkoa wa Dar es Salaam? Jibu ni rahisi tu, tatizo ni msongamano wa watu pamoja na wafanyabishara wadogo (machinga) huu ndio ukweli. Japo ili kufanya mkoa huu kuwa safi si lazma uwatoe ila...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania MATAGA tunaomba radhi kwa kupotosha watanzania kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi safi kabisa

    Tunaomba radhi, tulipotoshwa na watu wenye chuki zao kwa sababu za kisiasa. Kenya wamemaliza Lamu, sisi bado, tinaomba radhi sana maana tulifanya haya mambo kwa kulipwa matokeo yake tukakwamisha nchi. Tunaomba radhi kwa Mama Samia, watanzania wote pia #matege Code-SSH-2025
  3. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tufuate utaratibu huu; jiji la Dar es Salaam litakuwa safi kila siku

    Nasema irudiwe na irudiwe tena na tena. Huyu mtalaam lazima atakuwa mwanaCCM kindakindaki maana haya ndo mawazo chanya ya wana CCM. Twende pamoja. CCM CCM CCM nimewaita mara tatu. Mpeni usajili huyu mwamba tena jezi namba 9 striker kabisa tumalize mechi zetu mapemaaaaa. ========= USAFI...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna bora ya kuweka majiji yetu safi

    Naandika haya nikiwa katika Jiji la Dar es Salaam, moja ya sehemu chafu kimazingira katika nchi yetu. Najaribu kuwaza uhusiano uliopo kati ya umaskini na uchafu lakini bado sijaona sababu ya msingi ya umaskini wetu kutufanya tuishi katika mazingira machafu. Nimwaza njia zifuatazo zinaweza...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

    Kanda ya Serengeti KARATU BUNDA MJINI SERENGETI NJOMBE MAKAMBAKO
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mtihani: CAG mstaafu azitaka kamati za bunge PAC na LAAC zitembelee taasisi zenye hati chafu badala ya kukimbilia kwenye hati Safi!

    CAG mstaafu mh Uttoh amezitaka kamati za bunge za PAC na LAAC kuwa strategic zinapoenda kukagua taasisi za serikali badala ya kujiendea tu kimazoea. Uttoh amesema ni vema bunge likatembelea taasisi zenye hati chafu na zile ambazo CAG ameshindwa kutoa hati ( disclaimer) au zile ambazo CAG...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Nimewasili Mkoani Iringa na muda huu napata supu safi kwa bei ya sh. 1,500 tu

    Wadau wa JF Nimeingia Iringa muda huu kikazi Nimeagiza supu nzuri, tamu, ya kutosha na tena yenye ladha ya kipekee kabisa Furaha yangu ilizidi zaidi nilipoambiwa na mhudumu kuwa bei yake shs 1,500 tu. Nafurahi sana kuwa Mkoani Iringa
Back
Top Bottom