Sāfī (Pashto: ساپی Sāpai; plur. ساپي Sāpī) is a major branch of the greater Ghurghakhti Pashtun tribe. The Safi tribe comprises a majority in the Pech Valley of Kunar and are present in significant numbers in Parwan Province (Kohi Safi), Kapisa Province, Kabul Province, Laghman Province, Nuristan Province and the whole of Kunar Province. A reasonable majority also resides in different urban and rural areas of Khyber Pakhtunkhwa, particularly Peshawar, Charsadda, Mardan, Nowshehra, Swabi. A large number also settled in Rawalpindi, Tarnol, Karachi,Lahore, Multan. They are also present in large number in Mohmand, Bajaur Agency, Federally Administered Tribal Areas and in Zhob District, Balochistan, Pakistan.
Naibu katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na nishati Jadidifu, Dkt Khatibu Kazungu leo 04 Julai, 2025 amepokea magari mawili yatakayotumika kwa ajili ya kampeni ya kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia chini ya kampeni ya nishati safi...
Watu Huwa wanasema malipo ni hapa hapa Duniani
Kwa Sasa kati ya Gaza na Israel hakuna anayemchaka mweziwe
Na ndio kwanza mashambulizi Yana wiki Moja ikifika mwezi mmoja sijui itakuwaje
Habari wanajamii,
Jamani naulizia ni godoro la aina gan ambalo ni zuri sana (OG) na bei zake na yanapatikana wap kwa ajili ya watu wazima hasa wa wazee. Mama yangu anakuja mjini kutibiwa nahitaji kununua godoro zuri kwa ajili yake.. Naomba mapendekezo tafadhari lakin wandugu.
UTARATIBU WA KUCHIMBA KISIMA.
1. Ukitaka kuchimba kisima unatakiwa kufanya utafiti wa awali ili:-
● Kuangalia jiolojia ya eneo husika
● Kuangalia uwezekano wa kuwepo mikondo ya maji ardhini
● Historia ya eneo husika kuhusiana na suala la maji.
2. Gharama za kuchimba kisima/Visima hutegemea...
Lissu na timu yake wasipokaa vizuri na Mbowe, ni wazi kuwa CDM itawafia mikononi mchana kweupe. Chadema kimefika kuwa chama kikuu cha siasa kuwahi kutokea Tanzania sio kwa majungu na ubaguzi, bali kwa hekima na bidii kubwa zikiambatana na kujitolea mali nyingi. Wamuulize Mbowe amepoteza...
familia, ma-savage wote wa hii game ya utalii — kama uko field kama tour guide, operator, dereva wa safari, au hata uko chuo unasomea tourism — hii ndo time yako ya kuamka kichwa baridi. Sahau story za kusubiri ajira serikalini au NGO, hizo ndo zile za watu wanaishi kwa matarajio na kuamka kila...
Kama Kuna mdau yupo dar anahitaji Mchele mzuri kutoka Mororogo anicheki.Mchele upo Dar maeneo ya masaki Kuna kilo zaidi ya 300 ..Bei ni makubaliano karibuni( Au piga 0756203792)
Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi yatawasili Aprili mwaka huu, lengo ni kuongeza matumizi ya nishati safi.
Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART), imesema kuanzia Aprili mwaka huu watapokea mabasi mapya yanayotumia gesi asilia iliyosindikwa (CNG).
Aidha, hatua hiyo ni mkakati wa...
Mamlaka ya maji safi na salama Moshi - MUWSA, Sasa wanafanya kazi kwa mazoea kama sio kufuru na kudharau wateja wa maji safi na salama.
Kauli inayosema "mteja ni mfalme" imegeuka na sasa mteja anajisikia kama mtumwa.
Tabia mliyoanzisha ya kutuma bill za maji leo na kuwakatia wateja maji leo...
Asikwambie mtu bhana, Simba na Yanga ndizo timu zinazoendesha biashara ya mpira nchini; hata timu nyingine na Dar na mikoani mapato yao yanazitegemea Simba na Yanga; wadhamini wooote wanadhamini mpira kwasababu ya Simba na Yanga. Hivyo, nisingeona ajabu kama mechi zoooote zinazozihusisha Simba...
Tukashuhudie mechi ya ligi kuu NBC kweli isiyo na mipango twendeni tukaone mechi kikosi vikipangwa bila maelekezo toka kwa wamiliki wa timu ....Hata simba akishinda huwa anapata point halali za jasho na damu wachezaji wana henyeka hii inawasaidia sana simba kwenye mashindano ya caf ,kufanya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Sasa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania jasiri Muongoza Njia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ndio Kinara wa kupigania Nishati Safi ya kupikia Barani Afrika Na Duniani Kwote.
Ndio Sauti ya Wanawake wote ,ndio mkombozi wa wanawake...
Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa.
Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba...
FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA!
Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania.
SIFA ZA MKOPO:
✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
Nimesikia Porojo nyingi juu ya Ajenda ambayo imepata umaarufu duniani na Africa kiujumla, Ajenda ya Nishati safi ya kupikia, iliyoasisiwa na January Makamba na hata utekelezaji wake ulianzia kwake personnel. Najua wanasema dont outshine your Boss, lakini wewe nenda kakae na Makamba sasa hivi na...
Kuwa Mmojawapo wa Kuchukua Mkopo wa Bilioni 100 kwa ajili ya Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia ya gesi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, ameongoza uzinduzi wa mpango mkubwa wa mikopo ya Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya kusaidia biashara na miradi ya kusambaza Nishati...
Hii shule ya Safi (Safi School) iliyopo makabe imekua shule ya hovyo sana kwa sasa kwenye utoaji huduma. Kwanza nikiri kilichonisukuma kuleta huu uzi ni upuuzi wao waliotufanyia wazazi hii January kutopokea watoto ambao hawajalipa ada yote.
Hapa ndio wametukera wazazi, hivi kweli mzazi unalipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.