Siasa Safi Na Fedha

Siasa Safi Na Fedha

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
14,468
Reaction score
20,576
Habari Wana Jf,Nimetafakari Sana juu ya Maisha yetu wanadamu hapa Dunia!

_Fedha inaweza kununua chakula sio hamu ya kula
_Fedha inaweza kununua Dawa sio Afya!
_Fedha inaweza kununua vitu vya Anasa sio Furaha!
_Fedha inaweza kununua vifaa vya vita vya Kila aina sio Amani!

Kusingiziana wanadamu Kwa ajili upate Fedha ni kujidhalilisha Mwenyewe pia ni kuidhalilisha Familia na ukoo wa Mtu Kwa ujumla.

Tenda Haki,Penda wenzako kama vile Wewe unavyotaka kupendwa.

Heshimu watu Kwa matendo,Nawe utaheshimishwa,Fanya Mambo Kwa kiasi Kama vile nawe unakufa Leo.
Hayo ndio yangu na yaujazayo moyo wangu Kwa Leo.

Ahsanteni sana.
 
Back
Top Bottom