safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Faana

    JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wa magari makubwa ya masafa marefu huambatana na wanawake kwenye safari zao

  2. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Office Administrator at Safari Automotive Africa April 2025

    POSITION: OFFICE ADMINISTRATOR Location: Tanzania Industry: Automotive Company: Safari Automotive Africa Employment Type: Full-time Remote work opportunities Date: 07th April 2025 – 12th April 2025 About Us: Safari Automotive Africa is a trusted company, with...
  3. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Bado Trump yupo nao wachina jino kwa jino safari hii kazi wanayo

    Rais wa marekani Donald Trump bado anaendeleza msimamo wake juu ya nchi ya China katika suala zima la kuiwekea ushuru. Pia Trump amehitaji usaidizi wa haraka wa Federal Reserve kuondoa interest rates. kwa kipindi cha karibuni Trump amekuwa akihishutumu Fed chini ya mwenyekiti Jerome Powell...
  4. Crimea

    JamiiForums Tanzania Safari za mabasi kwenda mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya ni za hovyo sana

    Mtu unatoka Dar hadi Iringa hamna hotel ya maana yenye chakula cha maana shida ni nini wakuu au ni ubahili wa watu wa hii mikoa? Mbona wenzetu njia ya Kaskazini kuna hotel na vyakula vya maana, nyama choma kila mahali sie wa nyanda za juu tunafeli wapi?
  5. refan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber 😀

    Wakuu salama? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilitaka sana kua youtuber, hivyo nikasema lazima nijaribu nikifeli ni sawa. Basi nikafungua gmail hatimae channel, safari ya gaming content ikaanza Octoba 2022, Sina ujuzi wowote, muda kidogo nikapigwa strike kadhaa, Nikajifunza...
  6. Taribo West

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Orlando Pirates watashangaza watu au safari yao ya kutoka inanukia?

  7. Stroke

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kwenda Dar ndio safari fupi zaidi ya Ndege , kwa dakika 16 tu

    Heppi Iddi. Yaani mpaka sasa sijapata mualiko popote pamoja na kukariri aya za Koran wiki nzima. Mpaka mchepuko wangu haujanialika. Anyways. Ukiachana na hayo safari toka Zanzibar kwenda Dar ndio inatambulika kama fupi zaidi kwa ndege ambapo abiria anaweza kufanya booking moja kwa moja. Kwa...
  8. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Picha X-rays kali za kutisha ambazo ni ngumu kuamini

    Maisha ni safari ya ajabu, Hizi picha hapa chini sio za kuchora, ni matukio halisi yaliyotokea. 1. Mwaka 2020, msichana mmoja alipata ajali mbaya akiwa ndani ya gari huku miguu yake ikiwa juu ya dashboard. Ajali ilipotokea, mguu wake ulisukumwa kwenda nyuma vibaya na hii ni picha ya X-ray...
  9. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania ATCL mmejichanganya ! Hizi safari nitazipangua moja hadi nyingine! Mlioko tayari mjoini

    Naona safari za bei rahisi nyingi sana Nianze zipi wakuu
  10. Strong and Fearless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safari Yangu ya Mapenzi: Kutapeliwa, Kuchezewa, na Hatimaye Kupata Mume wa KwelI.

    Sehemu ya Kwanza: Mchezo wa Mapenzi na Mume wa Mtu. Nilipofikisha miaka 27, nilianza kuhisi shinikizo kubwa la kupata mume. Marafiki zangu wengi walikuwa tayari wameolewa na baadhi yao walikuwa na watoto. Nilihisi kama muda wangu ulikuwa unaisha. Kwa hiyo, nilianza kujaribu njia mbalimbali za...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Trump sasa kuachia mafaili ya safari ya kwenda mwezini

    Mamilioni ya mafaili kuhusiana na kifo cha aliyekuwa raisi wa nchi hiyo,John F. Kennedy sasa rasmi yameachiwa kwa walimwengu waweze kupekua wapendavyo kupata jawabu ya kifo hicho. Yapo matumaini kuwa kabla ya muhula wa uraisi Donald Trump yale mafaili ya siri juu ya safari ya mwezini nayo...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Safari za usiku za ma bus ni kama zimepunguza ajali

    Tokea safari za usiku zishamiri naona kwa sasa ajali zimepungua.unadhani ni kwanini?
  13. Sauti ya Umma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 SAU: CHADEMA, ACT Wazalendo wanatukwamisha na kutuchelewesha katika safari yetu ya kuingia ikulu

    Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma (SAU) ndugu MAJALIO KYARA, akiwa katika kipindi cha front page cha global tv amesema kuna vyama vinasababisha watanzania tuchelewe kufika katika nchi ya ahadi nchi ya maziwa na asali --- Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kupitia Katibu Mkuu wake, Majaliwa...
  14. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mpango mzuri na mawazo kwaajili ya safari za utalii wa ndani kwa wana JF

    Wana jamvi, Planning a successful tour requires ushirikiano na makubaliano ili kuhakikisha kila mtu anafurahia safari. You have the freedom to organize any travel adventure, select the best destination, and set a budget inayokidhi mahitaji ya kila mmoja. It's very important to support domestic...
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tanzania Safari Channel hacheni kupotosha umma

    Nilikuwa Naangalia Makala Ya Utalii Kwenye Tanzania Safari Chanel, Wakawa Wanasimulia Kwamba Mlima Kilimanjaro Umeanzishwa Mwaka 1973. Nikajiuliza Kwani Kabla Ya Mwaka 1973 Hakukuwa Na Mlima Kilimanjaro Mpaka Uanzishwe Mwaka 1973? Kwa Uelewa Wangu Mlima Huu Ulikuwepo Tangu Kuumbwa Kwa Dunia...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtangazaji na Mchambuzi Hans Rafae wa CROWN FM jiangalie sana kwani Wewe bado ni Kijana na una Safari ndefu utajiharibia

    Haiwezekani kila uwapo Kipindini Wewe 95% ya Majadiliano yako / Uwasilishaji wako ni kuisema tu vibaya Simba SC ila Yanga SC ambao Mdhamini wao anakulipa Kisiri huku Rais wa Klabu hiyo akiwa ni Rafiki yako kutokana na Kujipendekeza Kwako Kwake wala huisemi. Umejaa tu Unafiki, Wivu na Chuki kwa...
  17. nimechafukwa

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa kufufua mradi wa safari City Arusha

    Habari Wakuu, Safari City ni mradi wa Satellite City uliobuniwa na NHC mwaka 2016 ni miaka 10 imepita bila mradi kuendelezwa ukienda sasa hivi unakutana na mapori, barabara zimefunikwa na nyasi, ni muda sasa wa kufufua mradi huu muhimu kwani uko pembezoni panapojengwa uwanja wa Afcon nashauri...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Maono: Mpaka uchaguzi ninaziona kama bilioni 5 hivi zikikusanywa; 2 'zitatumika' katika uchaguzi; 3 zitawezesha safari ya Ulaya na Marekani!

    Siasa achana nayo tu jamani.......siasa ni nyoko. Kila nikiwasikiliza na kuwaona na kurejea taarifa ya 'kusanyaji' kadhaa huko nyuma, naona kabisa hapa hii miamba inatafuta au imelenga bilioni kama tano Hadi sita hivi kufikia uchaguzi. Hiyo ni kutoka kwa tone-tone na wafadhili wengine. Mbili...
  19. nipo online

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa uzi wa Mpwayungu ''Sitosahu Safari yangu ya Lindi''

    Wakuu ama mods naomba ule uzi wa Mpwayungu Village nina shida nao sana labda kama kuna link yake , asanteni
  20. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Safari ya rais wa Burundi Kinshaza, yazua gumzo

    Rais wa Burundi, Mhe Evariste NDAYISHIMIYE, alifunga safari kisiri siri na kwenda Kinshasa. Kinshasa huko, alikutana na Rais wa DRC, Tshisekedi, na dhumuni la safari likiwa kudai deni la serikali ya Burundi. Inasemekana, kila mwanajeshi wa Burundi alitakiwa kulipwa dolla za kimarekani elfu 5...
Back
Top Bottom