Nisizunguke sana, acha niende kwenye mada..
Hii story niya kweli kumuhusu binti mmoja nilie mtongoza. Kawaida yangu huwa story zangu niza back story nani mambo ya kweli.
Napenda sana drama ndio maana huwa nakua na msukumo sana wa kuja kuandika hapa JF.
Matukio yalikua hivi.. kuna kipindi...