safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Matumizi ya ndege za kukodi kwenye safari za serikali za viongozi ni kwa faida ya nani?

    Mwaka mmoja uliopita Sasa anatumia za kukodisha Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi ukiacha wahandisi na wahudumu! Huu ndo uzalendo kweli? MY TAKE Mishahara ya wafanyakazi wa shirika la ndege la serikali...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wataalam wa Safari za Dubai

    Habari wakuu, Naplan kwenda Dubai December, tuko watu 3. Naitaji msaada wa watu ambao wanauzoefu na safari za Dubai Napenda kujua ishu za nauli, Visa, Malazi na kwenda kule kwenye jangwa. Kwa yeyote ambae anajua hizi mambo please naomba msaada wa information zote.
  3. JamiiForums Tanzania Uzalendo wa Rais Samia kwa Taifa

    Wakati Rais Samia anakwepa gharama ya mafuta ya TZS 270M kwa kupanda usafiri wa Umma || Rais Joao wa Angola yeye ametumia TZS 9.5B kwenye Safari hiyo hiyo ya UN Gen Assembly, Wonders shall never end in Africa hongera sana Rais wangu Samia ==== Tunapoambiwa Tanzania imempata Rais Mzalendo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa la watu, kwenda nchini Marekani, na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA. Ombi ni kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Waliochanjwa kuruhusiwa kuingia Marekani kuanzia Novemba

    Taifa hilo linalegeza kanuni za kusafiri na kufungua Mipaka yake kwa Wasafiri kutoka Uingereza, Umoja wa Ulaya (EU) na Mataifa mengine Kuanzia Novemba Wasafiri ambao wamepata Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona kikamilifu wataruhusiwa. Vizuizi vya kusafiri Nchini Marekani vimekuwepo tangu mapema...
  6. JamiiForums Tanzania Safari ya Rais Samia Suluhu Hassan Jijini New York ni ya muhimu kiuchumi

    KWANINI SAFARI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NEW YORK NI YA MUHIMU KIUCHUMI. BILA shaka aliposema “Ili ufike haraka nenda peke yako, ili ufike mbali nenda na wenzako,” alimaanisha. Rais Samia ameanza safari kuelekea New York Marekani kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, na...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Kagame 2019 tu alisafiri nje mara 59. Leo safari 9 tu za nje za Rais Samia kelele kila kona. Je, ni Ushamba?

    Rais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59 | Rais Samia wa Tanzania Safari 9 tu nje Wazalendo kelele kila kona, Je, Ni ushamba, Uzalendo, Wivu au roho Mbaya Tu. ______ Minong'ona inayoendelea juu ya Safari za Rais Samia nje si za kupuuzwa zinahitaji Ufafanuzi zaidi tena kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Safari ya astral, safari ya kwenda kwenye nyota

    SOMO LA TISA Katika somo la mwisho tulishughulikia katika hatua za kumaliza na mawazo. Tulisema "mawazo ni wapi unataka yawe." Hiyo ni fomula ambayo kwa kweli inaweza kutusaidia kutoka nje ya mwili, kufanya safari ya astral. Wacha tuirudie. Mawazo ni wapi unapotaka ywe. Nje yako, ikiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Safari ya Bulicheka na mke wake katika nchi ya Wagagagigikoko.

    Unaweza kusoma bure hadithi hii na nyingine nyingi ndani ya maktaba app(by pictuss). unaweza tembelea hii thread kwa habari zaidi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Updates: Yanayojili Safari ya wanakawe kuelekea mji wa Birmingham Marekani

    Habari za kazi pia poleni na majukumu wapendwa, Itakumbukwa katika kampeni za uchaguzi jimbo la kawe, mgombea wa Chama cha mapinduzi ambaye ndiye mbunge wa sasa wa Kawe mh Askofu Gwajima, alituhaidi vijana wa kawe kwenda mji wa Birmingham na Vijana wa Birmingham kuja huku kawe, Kumekua na...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

    Ndugu zangu wana JF, Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani (New York) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya. So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu safari ya Dar kwenda Dodoma kwa pikipiki

    Habari za leo wakuu, Ninafikiria kati ya njia mbili za kusafiri, aidha kwa pikipiki au kuisafirisha chombo yangu used kwa malori ya mizigo. Kwa wale wenye uzoefu na route hii kwa pikipiki mnaweza kunipa muongozo wa sehemu za kupumzika, kufanya service nikiwa njiani, muda wa safari kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Picha hii ni somo kubwa kuwa maisha ni safari ndefu sana inayoandikwa ikifika ukomo

  14. JamiiForums Tanzania Safari za mabasi usiku kusitishwa: Changamoto ni nini?

    Habari wanabodi! Hivi karibuni tumeona baadhi ya watoa huduma za usafirishaji abiria kuendelea kutatuna huduma zao na kuwa wabunifu kwa kuanza safari za usiku na kufika asubuhi. Lakini ghafla tukaona safari zimesitishwa kwa taarifa wamezuiwa na mamlaka husika. Tumeona kampuni ya KAPRICON...
  15. JamiiForums Tanzania Wanasimba tuanze safari pasina kutegemea hamasa ya msemaji, hata Mwijaku hatufai

    Uongozi wa Simba wekezeni nguvu katika benchi la ufundi na maslahi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba. Tusianze kutafuta mtu wa kuanza kushindana na Haji Manara, era yake ishapita. Tumpe mkataba wa muda mrefu Ezekiel Kamwaga. Kutafuta mtu dizaini ya Haji Manara kama Mwijaku au Dr Kumbuka ni...
  16. JamiiForums Tanzania SoC01 Safari ya Maisha yangu

    Nimezaliwa mwanzoni mwa miaka ya themanini katika hospitali ya Mwananyala iliyopo wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salam.Mimi ni mtoto wa kwanza na pekee wa kiume kwa mama mwenye watoto 3. Baada ya wazazi wangu kutofautiana waliachana na mama akaanzisha maisha yake Kurasini na baba akabaki...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19 Tanzania: Mwelekeo mzuri, bado safari ni ndefu

    Hivi karibuni wizara ya afya ya Tanzania ilitoa takwimu za idadi ya watu waliopatiwa chanjo ya COVID-19 nchini humo imefikia laki 2.07, ikiwa ni moja ya hatua za kupambana na janga la virusi vya Corona. Chanjo ya COVID-19 ilianza kutolewa nchini Tanzania baada ya Rais Samia Suluhu kuzindua kazi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anatumia ndege za ATCL kwa safari zake hata fupi badala ya ndege ya Rais?

    Nimeona katika picha Rais Samia alitumia ndege ya ATCL Airbus 220 5H-TCH (Dodoma - Hapa Kazi Tu) kwenda Malawi kwenye mkutano wa SADC. Ndege hii ina uwezo wa kubeba abiria kama 120 hivi. Sio kwamba ninataka tu kumkosoa Rais Samia, lakini najiuliza sana, kwamba ni kwa nini anapofanya safari kama...
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Safari ya miaka 7 katika uraibu wa filamu za ngono

    Habari Natumaini upo na Uzima. Basi tumshukuru Mungu kwa hilo. Lakini kama Pia haupo sawa amini kwamba wakati wako Utafika tu. Bila kupoteza wakati acha nikushirikishe mkasa huu ulionipata na namna nilifanikiwa kujitoa Katika Uraibu wa Machapisho, Picha na Video za Ngono kwa Miaka 7. Nikiwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

    Wadau nina demu wangu tuna kama miez 6 sasa alisafiri kwenda mkoa kikazi! Siku moja kabla ya kuja mjini alinipa taarifa kuwa anakuja na kuniomba nimfate stend nikampokee. Ila alipokuwa njiani tuliwasiliana kama mara 2 Tatizo ni kwamba muda aliokaribia kufika simu yake kila ukimpigia inatumika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…