safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi aliyefariki kwenye ajali Mbeya alionywa asiendelee na safari akadai ana haraka

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera amesema Askari waliokuwepo eneo la Inyala Mbeya waliwashauri Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga Fatma Omary na Dereva wake kutoondoa gari leo eneo hilo kusubiria Malori yapite ili magari madogo yaruhusiwe kama utaratibu unavyotaka lakini wawili hao...
  2. U

    JamiiForums Tanzania SoC02 Safari ya kijani kibichi

    Hakika lilikuwa taifa la kushangaza, ilikuwa ni nchi ya kuvutia macho na kupendea kwa kutazamwa kwa macho. Ilikuwa ni sehemu ambayo yeyote angependa kuitembelea, eneo lenye mapori ya kipekee, misitu minene, na savana yenye wanyama wengi mno. Mwenyezi Mungu ali iipendelea kwa kuimwagilia kwa mvua...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania tumepigika tena, safari hii 3-0, Uganda haooooo wamefuzu CHAN 2023

    Safari ya timu ya taifa ya Tanzania kufuzu kucheza Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN 2023) imefikia tamati baada ya kupata kipigo cha magoli 3-0 dhidi ya Uganda, leo Jumamosi Septemba 3, 2022. Kwa matokeo ya mechi hiyo iliyochezwa Uganda, Tanzania imetolewa kwa jumla ya...
  4. JamiiForums Tanzania Pamoja na safari nyingi za JK lakini tulikula bata

    JK alisafiri kila leo, alijenga Shule nyingi za Kata, aliajiri Watumishi wengi kila mwaka, alipandisha Mishahara na pia alilipa hadi Watumishi hewa bila TOZO, kitaa Maisha yalikuwa mazuri dola 1 ilikuwa 1,600 tu.
  5. JamiiForums Tanzania Ya Bamkwe yangalipo: Safari yangu ya gerezani bila kupitia polisi wala mahakamani

    Na; Ahmed Omar UTANGULIZI Kwa takriban miaka kumi hivi tokea kufanyika kwa Mapinduzi ya 1964 palikuwa pakifanywa uhalifu mkubwa hapa Zanzibar kwa jina la Mapinduzi hayo. Moja ya eneo maarufu ambalo lilikuwa limeshtadi kwa mateso na ukaltili ni gereza la Kwa Bamkwe. Huku gerezani Kwa Bmkwe...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Qantas airline kuanza safari Sydney - Zanzibar

    Katika kuunga mkono mafanikio shirika la ndege la Qantas (Australia), wamekusudia kuanza safari za Sydney -Zanzibar kupitia Kilimanjaro ili kukuza utalii na Uchumi wa buluu.
  7. JamiiForums Tanzania Nasa artemis 1: Kesho kuanza safari ya kuelekea katika mwezi

    ROCKET YA MWEZINI KURUSHWA SIKU YA KESHO 29 AUGUST Shirika la uchunguzi na tafiti zinazohusu anga za juu kwa ujumla NASA kufanya majaribio ya rocket itakayoweza kutumika katika safari za kuwapeleka wanaanga na vifaa mwezini katika masiku yajayo kwenye mission mbalimbali za kwenda kwenye gimba...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Safari ya Dar es Salaam

    Safari Ya Dar es Salaam Dar es Salaam ni moja mkoa kati ya mikoa 33 na moja ya jiji kati ya majiji 5 katika nchi ya Tanzania. Dar es salaam ina wilaya 4 ambazo ni Kinondoni, Ilala, Temeke na Kigamboni. Dar es Salaam ni jiji mashughuli linalozungumziwa Zaidi katika mikoa mingine kuwa ni jiji la...
  9. JamiiForums Tanzania NI Ujinga uliopitiliza kuongeza Posho za safari mpaka Tsh 250,000 kwa siku huku mkitujazia matozo kila sehemu sie walalahoi.

    Rejea Gazeti la Mwananchi la May 27, 2022 Serikali imetoa kibali cha kurekebishwa kwa posho ya kujikimu safarini kutosha Sh120,000 hadi Sh250,000 kwa daraja la juu na Sh80,000 hadi Sh100,000 kwa daraja la chini. Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa Mei 27, 2022 na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais...
  10. JamiiForums Tanzania SoC02 Busara za Babu na Safari ya mjukuu

    Nilimkuta amejikunyata ndani ya blanketi lake lililokuwa na rangi ya udhurungi, macho yake hafifu yalikua yakilitazama jua, ambalo lilikuwa likitoka huko mafichoni lilikokuwa ili kuja kuungaza ulimwengu, katikati ya mapengo yake ya mbele, alikua amekibananisha kiko chake vilivyo ili moshi wa...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Maisha ni Safari

    Nilipohitimu shahada yangu ya kwanza ya elimu mwezi wa saba mwaka 2014 kule Mtwara kwenye chuo cha STAMUCO nikaamua kurejea nyumbani Dar-es-Salaam, nikaona nisibweteke na kungojea ajira za Serikali, nikaamua kujiunga na shughuli za hapa na pale angalau niwe napata hata fedha za kuweza kununua...
  12. JamiiForums Tanzania Desert Boots tuliziita Safari Boots

    https://www.zappos.com/p/clarks-desert-boot-sand-suede-1/product/105990/color/227296?PID=100039162&AID=14044464&utm_source=Skimlinks&splash=none&utm_medium=affiliate&cjevent=989dda15173111ed836c119e0a180514&utm_campaign=5370367&utm_term=100039162&utm_content=14044464&zap_placement=74968X1525077Xb...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Safari ya Mwanafunzi

    Utangulizi Elimu ni ufunguo wa Maisha ni neno ambalo limekua likizungumzwa sana katika jamii yetu. Neno hili limekuwa likitumika kuhamasisha wanafunzi kupenda shule na kuongeza juhudi zaidi katika masomo yao. Wazazi wengi wamekua wakiamini na kuwaaminisha watoto wao kuwa bila ya kuwa na elimu...
  14. JamiiForums Tanzania Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie

    Wanabodi, Ukiwa na jambo lako, ukaomba msaada wa usaidizi kwa public ili usaidiwe, the public ulioomba msaada ika respond positive, ukasaidiwa kwa michango ya hali na mali, baadhi yetu ni huwa wanyenyekevu wakati wa kuomba tuu, lakini tukisha fanikiwa, tunatabia ya kujisahau. Haturejei...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hatimae Ndege kubwa (Air Bus) yaanza safari zake Uwanja wa Songwe Airport Viongozi wafunguka mazito

    03 August 2022 Kuna Uhitaji Mkubwa wa Huduma za ndege kubwa nyada za juu kusini Ndege kubwa ya ATCL aina ya Airbus A220-300 yaanza safari zake uwanja wa Songwe. Viongozi wafunguka kigugumizi kilichokuwepo cha ndege kutua usiku kutokana na kukosekana taa za uwanjani, ambapo sasa tayari...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China yafanya safari ya majaribio ili kupata hati

    Julai 31 ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China ilifanya safari ya majaribio kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing kwenda mji wa Guilin, ili kupata hati itakayotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya China.
  17. JamiiForums Tanzania Je, Shule kufungiwa safari za mafunzo nchini baada ya ajali ya gari la shule Mtwara?

    Badda ya ajali ya leo 26-07-2022 huko Mtwara Shule nyingi sana zimepanga kuwapeleka wanafunzi study tour mikoa tofauti tofauti. Maandalizi na usafiri wanataka kutumia ni school bus ect Binafsi nazipinga hizi safari maana madereva wa magari ya shule hawaja zoea long safari Ni hatari hizi sa...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali imeondoa Posho za Safari Mpya kimyakimya?

    Barua ya Tanroad wakikataa Posho za Safari hii hapa. Mambo yanazidi kugeuka? Yamekuwa Makumu?
  19. JamiiForums Tanzania Kulikoni ATCL Safari za Ndani?

    Haya madaraja ya ATCL safari za ndani yana tofauti gani? TWiga Basic, Twiga Gain, Twiga Comfort, Twiga Business. Inakuwaje ndege moja inakuwa na madaraja mengi kiasi hicho? Nimezowea kuona ndege nyingi zikiwa na Business Class na Economy Class tu, ila hapa kwa ATCL ninashindwa kuelewa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Treni ya Mwendokasi kuanza safari Juni 21, 2022 kutoka Dar kwenda Morogoro

    Kanusho la taarifa ya kuanza kwa huduma za safari za treni za kisasa Dar es Salaam - Morogoro.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…