safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hongera Mwanangu Jihan Kwa Kuipeperusha Vyema Bendera Ya Tanzania. Nakutakia kila La heri katika Safari Yako.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia na nuru ya Wanyonge. Amempongeza sana Jihan Binti yetu Watanzania aliyeliletea Heshima Taifa Letu...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania safari channel :Nani msimuliaji bora kati ya Ezekiel vs Mwavindi?

    Kusimulia tabia za wanyama Eneo la kihistoria kwa undani hawa watu wameshindikana kwa kuwa mm ni dume la mbegu basi sauti ya Mwavundi huwa inanipa utulivu wa ajabu . Kama ww ni mtazamaji wa channel hii pendant basi lazima kukubaliana nami kuwa hawa wameshindikana USSR
  3. M

    JamiiForums Tanzania Marekani Hajakurupuka ! Iran akishambuliwa huwa anajibu kwa kuzilenga Meli za Mafuta, Je, Atathubutu Kuzigusa Meli za Putin ?

    🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️ Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano. Hali hii inapoongezeka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania David Jumbe adai Abdul, kupitia Sumai, anamtafuta ili amteke na kumuua. Asema hajakaa kizembe…

    Nimepata Taarifa toka chanzo ninachokiamini kwamba, Abdul kwa kumtumia Sumai wameamua kunitafuta tena na kuniteka ili waniue. Nilishasema niko wapi wanajua, ila wajue sijakaa kizembe, safari hii wajiandae kuacha utumbo. Siwezi kurudi nyuma kwenye mapambano ya kutafuta haki kwa sababu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Responded Rais wa FEMATA, John Bina: Tutawashtaki Waliohusika Kula Hela za Wachimbaji Waliolipia Safari ya Canada

    Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina, amesema viongozi wote ndani ya Shirikisho hilo wanaodaiwa kutapeli fedha za Wachimbaji wadogo watafikishwa Mahakamani na kuhakikisha wanarejesha fedha hizo. Wachimbaji hao walilipa zaidi ya Shilingi Milioni 11 kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Rais Samia Suluhu, anadaiwa kufika nchini Zimbabwe pamoja na msafara wake nyumbani kwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho (kuhani msiba)/ Kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa Zimbabwe, Hopewell Chin’ono, Rais Samia na msafara wake wamewasili katika makazi ya...
  7. JamiiForums Tanzania 3 days shared Small group budget safari in Tanzania

    3 days shared group budget safari in Tanzania | 3 Days / 2 Nights | Shared Group Safari | Budget Safari Join our 3 Days Tanzania Shared Group Budget Safari and explore Tarangire, Ngorongoro Crater and Lake Manyara. Enjoy affordable wildlife game drives, budget accommodation, meals and...
  8. JamiiForums Tanzania DP world kwenye mikataba yao upo pia ya kujenga misikiti mikubwa kwenye safari ya islamization of Tanganyika

    Makonda aache kusema anatafuta pesa za kujenga msikiti mkubwa Arusha awe mkweli aseme ametumwa na Rais ajenge msikiti mkubwa Arusha na mfadhili ni dp world waliozawadiwa bandari mikoa lengwa phase ya kwanza kujenga misikiti mikubwa ni Iringa nadhan apa umekamilika morogoro umekamilika...
  9. JamiiForums Tanzania 'Adriz the Goat ' nimerejea rasmi JF baada ya safari yangu meditation

    Moja kwa moja .. Mwezi wa saba mwaka huu nilichukua umamuzi wa kuondoka Jf kwa muda , malengo ya kuondoka ni mwendelezo wa utamaduni wangu wa mara kwa mara ikifika kipindi fulani nakuwa nje kabisa na mitandao ya kijamii kwa muda wa miezi kadhaa kabla ya kurudi tena . Vitu ambavyo nakuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndo safari ngumu kuliko zote Duniani

    Kuna mahali kwenye uso wa dunia ambapo mfumo wa GPS haupo, barabara zote zinatokomea, na sheria pekee iliyobaki ni ile ya kinyama: mwenye nguvu ndiye anayeishi, na mdhaifu anazikwa na matope. Amini usiamini, eneo hili si la kufikirika lipo. Linalojulikana kama Darién Gap, msitu huu wa kutisha...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Madini, Tusaidie Wachimbaji: Tulilipia Safari ya Canada, Hatujasafiri Wala Kurejeshewa Fedha

    Naomba kupaza sauti kuhusu suala linalotukabili baadhi ya wachimbaji walioshiriki katika mchakato wa safari ya Canada kupitia Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA) kwa lengo la kwenda kujifunza, wamekula fedha zetu na hawataki kuzirejesha. Washiriki tulitoa fedha...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa?

    Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa? Je, Mtakatifu Paulo, ambaye alidai kuwa mzaliwa wa Tarso na raia wa Roma, kweli alifanya safari ambazo anaelezwa kuwa alifanya? Au safari hizo zilitungwa tu ili kutoa msingi wa kuweka barua zake...
  13. JamiiForums Tanzania Usisafiri na familia yako yote kwenye usafiri mmoja, ni hatari sana

    kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
  14. JamiiForums Tanzania 4 days Tanzania group joining safari package 2026/2027

    4 days Tanzania group joining safari package 2026/2027 Tarangire • Serengeti • Ngorongoro Crater Join our 4 Days Tanzania Group Joining Safari and explore Tarangire, Serengeti and Ngorongoro Crater at an affordable price. Share a 4x4 safari vehicle with fellow travelers, enjoy professional...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Katika safari yangu ya kuishi maisha bila stress niliamini pesa itazipunguza lakini sioni dalili, Je ni hadi uwe bilionea kuishi maisha bila stress ?

    Najua pesa haiwezi kutatua kila kitu wala kununua kila kitu lakini kwa kiasi kikubwa niliamini ingepunguza stres nilizokuwa nazo. Nimepambana sana, siwezi hata kidogo kujiita tajiri lakini angalau kiuchumi kwa kijana ambae bado sijafika 40 Nimeshajenga kwangu, gari zipo, watoto wanasoma private...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni Safari

    Ndoa ni safari Kama safari ilivyo kuna mteremko, milima. mabonde, mashimo, lami na vumbi. Ndivyo ndoa ilivyo kuna raha na kuna huzuni. Maisha ya ndoa yanaitaji uvumilivu na kusamehena. Wakati nimeingia kwenye ndoa, sikujua kwamba ukiwa kwenye ndoa kunatabia lazima ziondoke ili uweze kuishi kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

    Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu! Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Riwaya ya safari ya nchi ya kufikirika (ugagagigikoko) inayoongozwa na malkia huihui

    ⚠️ ANGALIZO LA MWANDISHI (DISCLAIMER) Makala hii ni kazi ya sanaa ya kubuni (Fiction Story/Creative Writing). Mtunzi amebuni majina ya wahusika, matukio, na maeneo (ikiwemo nchi ya kufikirika ya Ugagagigikoko na mtawala Malkia Huihui) akivuta kumbukumbu zake za utotoni wakati akisoma vitabu vya...
  19. JamiiForums Tanzania Wazoefu wa hii njia: Nina safari ya Dar - Kahama, sasa Nina Maswali hapa Msaada

    Nina safari ya Dar - Kahama, Kikazi, ila nitafanya kazi siku 2 tu then narudi Dar. Sasa nilipenda nitumie hii chance kutembelea mikoa/wilaya nyingine za Kanda ya ziwa, wakati narudi. Mahitaji yangu: Kwenda nisiendeshe zaidi ya 500 km kwa siku, kwahiyo Njiani nilale 2 nights. Njia gani ni...
  20. JamiiForums Tanzania 7 days Ndutu Serengeti migration safari package in Tanzania

    7 days Ndutu Serengeti migration safari package in Tanzania A 7-day Ndutu and Serengeti migration safari in Tanzania typically costs between $2,100 and $5,500+ USD per person, depending on whether you choose budget camping, mid-range tented camps, or luxury lodges. The safari combines...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…