Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.
Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya
Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana
Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana
Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe...
Part 01
Nilipofika Congo, kila kitu kilikuwa kipya machoni mwangu. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufika huko, hivyo kila nilichokiona kilinifanya nishangae. Kadiri siku zilivyokwenda, nilianza kuzoeana na watu wa huko na kuishi nao kama nilivyozoea kuishi na watu Tanzania.
Ukaribu wangu na...
Looking for an affordable way to experience an authentic African safari? Our 3 Days Tanzania Budget Sharing Safari Package is perfect for solo travelers, couples, friends, and adventure seekers who want to discover Tanzania's spectacular national parks while sharing the experience with other...
The 2-day Tanzania sharing group joining safari by Widerange African Safaris is a budget-friendly way to explore the Northern Circuit. Priced at roughly $400 to $850 per person, the package usually departs from Moshi or Arusha and includes shared 4x4 transport, park fees, daily meals, and lodge...
Leo ilikuwa nisafiri kuelekea Dar, siwezi kutaja kutoka mkoa gani, maana nitakuwa namweka wazi aliyenishauri.
Mkuu huyu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ngazi ya mkoa, aliniambia kuwa siyo salama kusafiri leo. Nilimwuliza, mbona tumetangaziwa hali ni shwari, tuendelee na kazi za kawaida...
Bado nina malalamiko dhidi ya Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya. Kutokana na ucheleweshaji wa utoaji wa pasipoti, hatimaye nimeshindwa kufanya safari yangu iliyokuwa imepangwa kwa mwaka huu wa 2026.
Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba, pamoja na kufuatilia mara kwa mara, sijapewa maelezo ya...
Anonymous
Thread
mbeya
passport
safarisafari yangu
sana
uchungu
uhamiaji
yangu
Inadaiwa inamilikiwa na Mtanzania Patel. Lakini nimeongea na Mwarabu rafiki yangu, nilimuuliza kwanini Tangu Januari 2026 hii hotel inapokea Watu wengi kutoka Uarabuni hasa Oman?
Gharama ya kulala pale usiku mmoja, inaanzia milioni 4 hadi Milioni 7 na kuendelea kutegemeana na Msimu.
Akanijibu...
Hii ni serikali ni wizi mtupu tena kwa kutumia mfumo rasmi ikiwemo Bunge..
Kinachogonga vichwa vya watu sana ktk bajeti hii ya 2026/2027 ambayo hawa hayawani waliookotana huko na kukutana Dodoma wakijiita "Wabunge" wamepitisha/wametia muhuri kuwapa idhini viongozi wa serikali hii haramu, ya...
Ukiachana na mambo ya siasa, Sugu ni genius kwenye mambo ya biashara ya burudani. Fast toward, mwaka 2004 Sugu aliandaa / aliratibu tamasha maalumu la kutoa elimu ya na malaria na UKIMWI kwa vijana kwa njia ya tamasha la muziki. Sugu alienda hadi Marekani zaidi ya mara moja katika harakati za...
Daa hii nchi sijui kama itatulia, serikali inazidi kukaza kichwa.
Nimeongea na mtu wa Tourism sector Arusha, alikuwa analia kilio Cha kusaga meno. Wageni wengi kutoka ubeberuni walikuwa wamefanya booking za kuja Tanzania, ila kutokana na hofu ya maandamano ya July 07, wame-cancel safari zao...
Naombeni msaada ndugu zangu,
Nahitaji passport kwa matumizi ya Baadae je nani anaweza kunisaidia kupata uthibitisho wa safari.
Au huwa mnatumia njia gani kupata pasipoti?
Nikisema nataka kujifunza udereva kwa kuwa Tingo hivyo nina safari za mara kwa mara za nje ya nchi...
Sababu hii inaweza kuwa sehemu ya mimi kupata hati ya kusafiria?
ATCL YAZINDUA SAFARI ZA MWANZA - DODOMA, ABIRIA 1300 KWA SIKU
Shirika la Ndege Tanzania(ATCL), limezindua safari zake za utoaji huduma kati ya Mwanza -Dodoma ikiwa ni kurahisisha safari kwa watumiaji kwa njia ya anga.
Safari hizo zilianza Juni 5,2026, ikitajwa kusaidia wafanyabiashara na...
Jamani hii ni noma! Wakati wananchi wanaambiwa kubana matumizi na kukaza mkanda, ripoti ya Controller of Budget imefichua kuwa serikali ilitumia Ksh.17.3 billion kwa safari za ndani na nje ya nchi kati ya Julai 2025 na Machi 2026.
Bunge liliongoza matumizi makubwa ya safari huku State House...
HISTORIA INAANDIKWA!
Kuanzia 2 Julai2026, Air Tanzania itaanza safari za moja kwa moja kati ya Tanzania na Moscow mara 3 kwa wiki kwa kutumia Boeing 787 Dreamliner.
Tanzania imefungua njia mpya na fursa za biashara, utalii, uwekezaji na ushirikiano wa watu kwa watu kati ya Tanzania na Urusi...
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya usafiri wa anga na utalii baada ya Shirika la Ndege la Brussels Airlines kuzindua rasmi safari zake za moja kwa moja kati ya Brussels, Ubelgiji na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) katika hafla iliyofanyika Juni 3, 2026.
Kuanza...
Katika mtazamo wa kiroho wa Kikristo, mapigo kumi ya Misri yanaweza kuonekana kama mfano wa hatua ambazo Mungu humpitisha mwamini ili kumwondoa katika utumwa wa dhambi na kumfanya afanane na Kristo.
Misri inawakilisha ulimwengu wa dhambi, mwili, na utumwa wa shetani. Kwa Mkristo, mapigo haya...
Maisha ni kama hadithi
Pindi tu unapozaliwa, ukurasa mpya wa hadithi hufunguliwa
Unajikuta kwenye dunia ukiwa mgeni kabisa, na jambo la ajabu zaidi ni kwamba hujui ulipotoka
Ukiachana na simulizi za Biblia na Qur’an, bado huna uhakika mkubwa kuhusu safari yako ya kuja hapa
duniani wewe ni...
Tanzania y Zanzíbar representan una de las combinaciones de viaje más completas y espectaculares de África. Cada año, miles de viajeros internacionales visitan Tanzania para descubrir la increíble vida salvaje de sus parques nacionales y después relajarse en las playas paradisíacas de Zanzíbar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.