Chrysalis: Safari ya Miaka 400 Kwenda Angani

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
7,283
Reaction score
21,541
HABARI MPYA🚨: Wahandisi wamependekeza chombo kikubwa cha angani chenye urefu wa maili 36 kinachoitwa 'Chrysalis'. Chombo hiki kinaweza kubeba watu 2,400 kwenda sayari ya Alpha Centauri, ambayo ipo umbali wa miaka ya mwanga 4 (yaani 4 light years) kutoka hapa kwetu. Safari hii ni ya kwenda tu na itachukua miaka 400!
Watu watakaopanda chombo hicho hawataiona tena Dunia maishani mwao. Hata watoto wao na wajukuu zao hawatakuwa na nafasi hiyo.

Vipi je ungependa kuwa mmoja wa abiria?

IMG_5841.jpeg
 
Hakuna ushahidi wa binadamu aliyewahi kuishi angalau miaka 200, sasa hiyo safari si watafika wamekufa wote?

Labda hujaelewa concept yao, ni kwamba hao 2400 ni vijana jinsia ke na me ambao watasafiri na kuishi kwenye hicho chombo ambapo wataishi kama jamii ambayo itakuwa na kila ktu ikiwemo kuzalisha chakula chao wenyewe kupitia miundombinu ya chombo hiko. Na kubwa zaidi watakuwa wakizaliana kama duniani. Hivyo hawataisha watakufa na kuzaliana kizazi na kizazi hadi safari Yao itapofika huko Alpha Centauri. Ukitazama series ya The 100 utapata idea.
 
HABARI MPYA🚨: Wahandisi wamependekeza chombo kikubwa cha angani chenye urefu wa maili 36 kinachoitwa 'Chrysalis'. Chombo hiki kinaweza kubeba watu 2,400 kwenda sayari ya Alpha Centauri, ambayo ipo umbali wa miaka ya mwanga 4 (yaani 4 light years) kutoka hapa kwetu. Safari hii ni ya kwenda tu na itachukua miaka 400!
Watu watakaopanda chombo hicho hawataiona tena Dunia maishani mwao. Hata watoto wao na wajukuu zao hawatakuwa na nafasi hiyo.

Vipi je ungependa kuwa mmoja wa abiria?

View attachment 3649170
Hizi ni dhana za kufikirika tu bado, kwa sasa hakuna teknolojia ya kupata nishati ya kufika huko kwa miaka 400.

Chombo kama Voyager 1 kimeondoka duniani takriban miaka 50 iliyopita, na bado hakijafikisha hata 1 light day, nafikiri kitafikisha 1 light day baadaye mwaka huu, November kama sikosei.

Sasa kama 1 light day imechukua roughly miaka 50, 1 light year itachujua miaka mingapi?

Fanya hesabu 60 × 366. Roughly.

That is 18,300 years by using Voyager 1 as an example.

Maana yake hata ukiongeza ufanisi na speed mara 10 zaidi ya Voyager 1, you are talking about 1830 years.
 
Labda hujaelewa concept yao, ni kwamba hao 2400 ni vijana jinsia ke na me ambao watasafiri na kuishi kwenye hicho chombo ambapo wataishi kama jamii ambayo itakuwa na kila ktu ikiwemo kuzalisha chakula chao wenyewe kupitia miundombinu ya chombo hiko. Na kubwa zaidi watakuwa wakizaliana kama duniani. Hivyo hawataisha watakufa na kuzaliana kizazi na kizazi hadi safari Yao itapofika huko Alpha Centauri. Ukitazama series ya The 100 utapata idea.
👍👍
 
Hizi ni dhana za kufikirika tu bado, kwa sasa hakuna teknolojia ya kupata nishati ya kufika huko kwa miaka 400.

Chombo kama Voyager 1 kimeondoka duniani takriban miaka 50 iliyopita, na bado hakijafikisha hata 1 light day, nafikiri kitafikisha 1 light day baadaye mwaka huu, November kama sikosei.

Sasa kama 1 light day imechukua roughly miaka 50, 1 light year itachujua miaka mingapi?

Fanya hesabu 60 × 366. Roughly.

That is 18,300 years by using Voyager 1 as an example.

Maana yake hata ukiongeza ufanisi na speed mara 10 zaidi ya Voyager 1, you are talking about 1830 years.
Hiki kitakuwa kinatembea kwa 10% ya spidi ya umeme. Hivo kupunguza huo muda wa kufika huko. Kwa teknolojia ya sasa upo sahihi bado ni ngumu sana ila wanahisabati na wanasayansi kila siku wako kazini kutushangaza zaidi.
 
Hiyo ni idea ambayo nimeiona kwenye movie ila siikumbuki jina.
Kuna interstellar, kuna wandering earth na passengers na voyagers. Inawezekana ni kati ya hizo tatu maana interstellar jamaa walifika millers planet.
 
Hiki kitakuwa kinatembea kwa 10% ya spidi ya umeme. Hivo kupunguza huo muda wa kufika huko. Kwa teknolojia ya sasa upo sahihi bado ni ngumu sana ila wanahisabati na wanasayansi kila siku wako kazini kutushangaza zaidi.
Kwanza kabisa hesabu za kusafiri kwa 10% ya spidi ya umeme hazikufikishi huko Alpha Centauri in 400 years, check your math.

Pili, ukiondoka kwenye fantasy, maana hata science fiction inatakiwa kuwa na a feasible technology, unajua teknolojia gani itatumika?

Unajua mass ya hicho chombo?

Unajua kuwa by relativity speed ikiongezeka, mass nayo inaongezeka?

Umeshapiga hesabu za mass kuongezeka na energy itakayohitajika kutokana na si mass at rest tu, bali pia mass kuongezeka kutokana na relativistic effects?

Unajua kuwa at relativistic speeds, ukikutana na projectile ndogo tu italipua spaceship kama a nuclear bomb?

Utaikinga vipi hiyo spaceship? Utaikinga na shiled gani wakati kila shield itaongeza uzito na kila uzito unaoongezeka utahitaji energy zaidi kuusafirisha?

What about radiation, utawakinga vipi hao watu na radiation?

Usijibu "wanasayansi wanafanyia kazi" tu.
 
1- hiyo 10% ni sahihi haiwezi kuwa miaka 400 bali ni chini yani 40 years. Calculations zinazotumika ni za kawaida time=distance/speed. Hivo huwo muda wa 10% tunasema nibegining speed ambayo itasaidia kuaccelerate chombo, kama vile voyager ilivo kuwa boosted na zile gas planets. Baada ya hapo chombo kitatembea kwa spidi ya 1%.

2-nucleur fusion

3- chombo ni 58km urefu na 6km diameters, uzito wake ni tani 2.4bil

4- inategemea pia na hio spidi ikiwa ni ya umeme kabisa basi uko sawa. Ila kama haijafika spidi ya umeme mass inaweza isiongezeke.

5- uko sawa mkuu ila kumbuka chombo kitakuwa na mifumo ya ulinzi kama ngao na laser ili pia kujilinda.
 
Hizi ni hadithi za science fantasy kwa sasa.

Hata kwenye science fiction hazijafika.

Na ulivyonijbu hapo namba 4 inaonesha huelewi relativity na mass inavyoongezeka.

Huelewi hata vitu vya msingi kabisa katika relativity na hivyo inakuwa vigumu kujadiliana nawe.

Jifunze upya time dilation, kinetic energy increase (basically mass) na lenght contraction inavyofanya kazi with relation to velocity.

Mchango wangu ni kukuambia jifunze Lorentz transformation kwanza. Halafu rejea jibu lako namba 4 hapo juu. Angalia Lorentz matrix ya energy and momentum.
 
Hapa wameielezea vizuri hii.

Hapa ndipo nilikuwa nawekea mkazo mimi, ila kuna watu walikuwa hawaelewi.

"The team imagined assembling Chrysalis near an Earth-Moon Lagrange point in 20 to 25 years, drawing on space-derived materials and automated manufacturing. That schedule begins only after an industrial capacity that does not exist has been created. No current launch system could lift the structure from Earth, and no existing orbital yard can build at this scale."
 
Back
Top Bottom