Tukiwaita matapeli au wezi tutakuwa tunakosea?

Tukiwaita matapeli au wezi tutakuwa tunakosea?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,491
Reaction score
62,884
Kumekuwa na wimbi la watu kutuonyesha pesa, dhahabu, majengo, magari n.k bila kutuonyesha njia zilizotumika kupata hivyo vitu.

Wanakuwa wanatuonyeshea matokea, badala ya mchakato mzima uliotumika katika kufanikisha hayo matokeo.

Lengo lao ni kutaka nini kutoka kwetu? Au wana ajenda gani katika kututamanisha hivyo vitu?

Watu wa namna hiyo, tukiwaita matapeli au wezi tutakuwa tunakosea?​
 
Back
Top Bottom