Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.
Experience the Great Migration and witness the spectacular Ndutu Calving Season on a 5-day Tanzania budget safari through the Serengeti ecosystem and Ngorongoro Conservation Area.
The Ndutu Calving Season is one of the most fascinating periods of the annual wildebeest migration. During this...
Jenerali Jacob John Mkunda alizaliwa tarehe 2 Aprili mwaka 1968 katika Kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kwaru iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara, Mwaka 1979 hadi 1985. Akajiunga na Elimu ya Sekondari katika Shule ya...
JE SUMMONS ZA MASHAHIDI IGP, DCI NA CDF ZIMEKUWA SERVED KWA WAHUSIKA DODOMA/DSM?
Mrejesho wa Msajili unaonyesha summons zilitumwa Dodoma, lakini hazikuweza kuwasilishwa kwa sababu mashahidi wote wako nje ya nchi.
Naweza kusema sasa tatizo sio tena relevance ya mashahidi, ila ni service na...
Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
7 Days Tanzania Private Safari Experience with Widerange African Safaris
This carefully designed 7 Days Tanzania Private Safari Experience combines spectacular wildlife, breathtaking landscapes, authentic African culture, and unforgettable game drives. It is ideal for couples, families...
Discover the unforgettable beauty of Tanzania on a 5-day African holiday safari with Widerange African Safaris. Explore some of Northern Tanzania’s most iconic wildlife destinations, including Tarangire National Park, Serengeti National Park, and the Ngorongoro Conservation Area.
This 5 Days...
Mkutano huu unatoa fursa ya tafakari ya pamoja katika safari yetu kama Taifa, Afrika na dunia kwa ujumla katika kufikia malengo ya Maendeleo Endelevu- Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Arusha-Tanzania
🗓️Septemba 09, 2026
———————————————-
Ameyasema hayo wakati alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
Ndugu zangu..
Ni najiona kabisa, baada ya mwaka 1 au 2 ni taanza kuingia rasmi kwenye purpose yangu..
I was made to become the GOAT yaani kwenye field yangu, au kile nikifanyacho.
I'm highly favored by the most high na niseme tu ya kuwa nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa karama hii kuu...
MIMI SIO MIMI...
Kuna swali ambalo mwanadamu huliepuka kwa sababu likiulizwa kwa umakini linavuruga kila kitu alichodhani anakijua kuhusu yeye mwenyewe: “Wewe ni nani?” Ukijibu, “Mimi ni mwili,” swali linarudi: mwili upi - ule wa utotoni, wa ujana au huu wa leo ambao kila siku unabadilika...
Wakuu, kama tunavyofahamu, hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa katika uongozi wa juu wa nchi yetu baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais, na Bunge kumthibitisha Mhe. Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati, kuwa Makamu mpya wa Rais.
Ndejembi...
PUBLIC NOTICE
TEMPORARY SUSPENSION OF FLIGHTS TO MOSCOW
3rd September 2026, Dar es Salaam
Air Tanzania Company Limited (ATCL) wishes to inform its valued customers and the general public that flights TC422 and TC423 between Dar es Salaam and Moscow are temporarily suspended with effect from 4th...
Usimdharau mtu anae nyamaza kimya baada ya kudhalilishwa, usifikiri kimya chake ni udhaifu,
huenda kimya hicho kinaandaa ushindi wake.
My friends, ladies and gentleman, kukata tamaa ni dhambi. Ni muhimu sana kuzibadili changamoto unazopitia maishani ili kua fursa ya kujisahihisha...
Abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) wamejikuta wakisubiri kwa saa kadhaa huku safari za ndege zikichelewa kutokana na go-slow ya wafanyakazi wa anga.
Video inayosambaa mitandaoni inaonyesha abiria wakiwa na hasira na kuchanganyikiwa, huku baadhi yao wakidai...
Takribani miaka 30 ya muziki wa Bongofleva, imekuwa wazi kwamba muziki, maisha na safari huenda sambamba. Nyimbo hutengeneza kumbukumbu za kipekee zinazohusishwa na maeneo, hali ya hewa, mandhari na matukio tuliyokutana nayo safarini. Zinapounganishwa na hisia zetu za kuona na kunusa, huacha...
Tumeongeza idadi ya safari kati ya Dar es Salaam na Dodoma ili kukupa urahisi zaidi wa kupanga Safari zako kila siku.
Sasa una fursa ya kuchagua muda unaokufaa, kagua ratiba kuona muda wa kuondoka na kuwasili wa treni zetu.
Kampuni ya kichina iliyowekeza kwenye mradi huu imemaliza upembuzi. Inatarajia kuanza kazi serious mwishoni mwa mwaka huu.
Mchuchuma kuna makaa ya mawe tani milioni 428. Mradi unategemea kuzalisha tani milioni 3 kwa mwaka na kuwa na mradi wa umeme wa makaa wa 600MW
Huko Liganga kuna madini...
Kwa wanao mfahamu HOPETYGA TZ ni mchambuzi wa mambo ya BURUDANI, Jana nika fanikiwa kukutana nae maeneo ya jaws corner, zenji lakini hatukuzungumza chochote, niliona kama ana mgeni japo nilifarijika sana, nilimtafta insta akadai ndio yeye.
Kuelekea safari yangu ya mziki inahitaji promo, online...
Si kila gari linapopata pancha linapaswa kurudi lilipotoka. Wakati mwingine kinachohitajika ni kusimama kidogo, kubadilisha tairi na kuendelea na safari.
Maishani, kuna nyakati watu hubadilika, nafasi hubadilika na majukumu hubadilika. Mwenye hekima haangalii kilichobadilika pekee, bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.