sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Sababu za ndani kabisa 'nilizopenyezewa' ambazo ndizo 'zimemfukuzisha' Kazi Kocha wa Yanga SC Zlatko ni hizi hapa....

    1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo 2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo 3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma...
  2. M

    GE2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

    KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais. Wajumbe 15...
  3. Sababu kubwa zinazo pelekea sisi wa mikoani kufanikiwa Dar es Salaam

    Habari zenu ndugu zangu wa JF kwa utafiti wangu niliofanya kwa nini sisi wa mikoani tunafanikiwa sana hapa Dar ni kama zifuatazo.. Wenyeji wavivu hawapendi kazi ngumu sisi wa mikoani kazi ngumu kwetu ni kama kumsukuma mlevi. Malezi imara sisi wa mikoani tuna malezi imara na kuheshimu jamii...
  4. Hakuna sababu inayozuia mwanamke asichepuke

    Ni hivi wanaume wengi tunafikiri mwanamke akikubali kuolewa na wewe ndio anakupenda koo sio rahisi kukucheat kitu ambacho si kweli. Ukweli mchungu ni kua wanawake wengi wanakubali kuolewa na wewe ili tu apate heshima kwene jamii inayomzunguka ila anakua hana hisia na wewe ata robo wengi wao...
  5. J

    Watu wanamhurumia Tundu Lisu kwa sababu alifukuzwa ubunge baada ya kushambuliwa kwa risasi !

    Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu. Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu. Na wengine wanaweza kumpigia...
  6. J

    GE2020 Zitto Kabwe atoa sababu 5 za Kigoma kuikataa CCM

    ..sina uhakika kama baada ya hotuba hii ya Zitto Kabwe wananchi wa Kigoma wataipigia kura CCM.
  7. J

    GE2020 Dkt. Magufuli: Mchagueni Jah people kwa sababu hatuchagui digrii, mkiniletea wale wa alama ya "manati" sitawaelewa!

    Dkt. Magufuli amewataka wananchi wa Makambako wamchague Mgombea Ubunge wa CCM Jah people kwa sababu kwenye ubunge hatuchagui degree bali mtu. Dkt. Magufuli amesema Jah people salamu yake ni Kidumu chama cha mapinduzi hivyo wakimleta bungeni wataelewana ila wakimleta yule anayesalimia kwa alama...
  8. Hizi ndizo sababu kubwa...

    Jana nlienda mtembelea jamaa yangu alikuwa na issue ya kumtandika kisawasawa mke wake. Nlishangaa sababu jamaa alikuwa kiukweli ni mpole sana. Mara nyingi ukienda home kwake yeye ndo utamwona anahangaika kukuhudumia vinywaji chakula n.k mkewe anacheck tu movie au anachezea simu. Nisiwachoshe...
  9. Tanzania upole na unafiki wetu ndiyo sababu ya Umaskini wetu

    Ndugu zangu miaka ya 1960s kipindi tunapata uhuru wetu, Uchumi wetu in terms of GNP tulikuwa sawa kabisa na nchi kama Vietnam, Thailand, Singapore, Malysia, Uchina na Korea Kusini. Kwa kipindi chote hicho hakuna chama chochote cha upinzani kilichoingia madarakani na either tukakitupia lawama...
  10. GE2020 Sababu ni kwanini Rais Magufuli atashindwa sana uchaguzi huu

    Hili tumekua tukilisema sana humu mara nyingi. Sababu kubwa Rais Magufuli kushindwa na Wapinzani tena kwa kura nyingi sana ni Ugumu wa maisha aliousababisha yeye na serikali yake. Watu wote nchi nzima wanalia na maisha magumu mzee hasikii kabisa. Mzee amekimbilia kuanzisha miradi mikubwa...
  11. Bi Zahla Ali Hamad: Sababu ya kutoendelea Zanzibar ni udhalimu

    Aliyekuwa Naibu Waziri kwenye serikali ya Dk Ali Mohamed Shein, Bi Zahra Ali Hamad, amesema kushindwa kuendelea kwa Zanzibar kunatokana na dhulma ambazo zimetendwa na rais anayemaliza muda wake, Dk Shein. Hayo ameyasema katika mkutano wa hadhara jimbo la Amani leo. ======== Kwakweli...
  12. Z

    Wapinzani wanapinga miradi ya Awamu ya Tano na kuwalisha sumu watu kwamba haina maana

    Kwanza: Wao sera yao ni ya majimbo .hivyo miradi mikubwa ya kitaifa kwao haina maana maana miradi mikubwa ya kitaifa ni kwa ajiri ya taifa na siyo jimbo.Hivyo mtu kutoka majimbo ya sera ya chadema anaona wivu mkubwa kwa sababu anahisi kodi yake ingebaki jimboni Kwake ili inufaishe watu wake...
  13. GE2020 Meneja Kampeni CUF: Adui wa CUF ni adui wa CHADEMA na adui wa CHADEMA ni adui wa CUF hivyo hakuna sababu ya kuhitilafiana

    Akizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano, Meneja Kampeni wa CUF, Miraji Mtibwiriko katika viwanja vya viwanja vya Fatuma Mkoani Kagera aliwataka wanachama kuwa watulivu kwa kuwa bado wanahitaji kuwa kitu kimoja. Meneja kampeni huyo alitumia nafasi hiyo kuwaeleza wafuasi hao kuwa adui wa CUF ni...
  14. Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

  15. C

    GE2020 Kaliua, Tabora: Dkt. Magufuli aeleza sababu za Kapuya "kukatwa" na Kamati kuu ya CCM, asema amechoka amuachie kijana. Kaliua inahitaji spidi mpya

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Magufuli ameweka bayana sababu za aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Juma Kapuya kukatwa na Kamati Kuu ya CCM ingawa aliongoza kwenye kura za maoni za ndani ya chama na badala yake akapewa nafasi ndugu Aloyce Kwezi. "Kwenye mchakato...
  16. Utapeli Kariakoo: Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la saba (7) tu kwa sababu ya umasikini

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la (7) tu kwa sababu ya umasikini wa nyumbani kwao wakashindwa kuendelea na masomo. Kuna watu hawajasoma sana (unakuta mtu...
  17. S

    Sababu gani zimesababisha anguko kuu la CCM mwaka huu wa Uchaguzi ambazo zimepelekea kupoteza dira

    Sasa si siri tena anatafutwa mchawi ndani ya CCM,kila uchwao utasikia Chakubanga na Bushiri wanalalamika ,wakipiga makelele kila kona ya Tanzania kuwaonya CCM wasiojulikana. Jamani hivi yupo asiezielewa sababu ya CCM kukataliwa na wananchi walio wengi, Chakubanga na Bushiri wanajikuta wanazidi...
  18. Rais Magufuli anzisha television ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa sababu kuu tatu au nne muhimu zifuatazo ..

    Utangulizi;kuna Mali za Serikali na Mali za chama,Chanel ten na TBC In Mali ya serikali. 1.itakuwa inaonyesha hotuba mbalimbali za marais waliotangulia na viongozi wengine. 2.Maisha binafsi ya viongozi baada ya kustaafu. 3.Mambo mbalimbali yaliyofanywa na viongozi ktk kuleta maendeleo. 4.Nyimbo...
  19. GE2020 Wanufaika na wanufaika watarajiwa wa bodi ya mikopo mnayo kila sababu ya kuikataa CCM na kumchagua Lissu

    Miongoni mwa mambo ya kustaajabisha ya awamu ya tano ni sheria mpya zilizotungwa pamoja na marekebisho ya sheria za zamani waliyoyafanya. Kuna muda ukikaa utafakari unashindwa hata kuelewa hawa watu wanafanya haya kwa lengo la kumkomoa nani? Kuna baadhi ya sheria ni za ajabu kwelikweli hadi wao...
  20. M

    GE2020 Hii ndo sababu CCM wanakwepa kuzungumzia Dhahabu kwenye kampeni zao

    Baada ya kuingia madarakani serikali ya awamu ya tano mwaka 2017 ililitangazia Taifa na dunia azma yake ya kurekebisha sekta ya madini nchini hususan dhahabu. Ikaunda tume Mbili za Osoro na Mruma, zikaja na matokeo ya kitafiti na maazimio yaliyotikisa nchi. Miongoni mwa matokeo hayo ni amoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…