sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama unaomba hivi, imani yako itashuka na utamchoka Mungu mapema

    Maombi ni moja ya njia ya kuondoa wasiwasi na kuongeza imani katikati ya changamoto na sintofahamu za maisha. Lakini kama hujui kuomba vizuri unaweza kujikuta yanakuongezea stress, wasiwasi, hata kushusha imani yako kwa Mungu. Na hii imepelekea watu kucheza miguu miwili. Mmoja kwa Mungu...
  2. JamiiForums Tanzania Sababu gani hupelekea watu kununua vitu vya watu maarufu waliokufa kwa pesa nyingi?

    Ndugu WanaJF, Habari za muda huu twende kwenye mada Moja kwa Moja. Nimeona mara kadhaa vitu vilivyokuwa vinamilikiwa/ kutumiwa na watu maarufu kuuzwa Kwa pesa nyingi na kimsingi sio kwamba vitu hivyo ni ghari hapana bali ni vitu vya kawaida sana mfano nimeona kofia ya Michael Jackson...
  3. JamiiForums Tanzania MAKALA: Kuanguka kwa chama cha siasa kunaweza kuonyeshwa kwa hatua kadhaa

    Na Daniel Mbowe (Kilimanjaro) Hapa kuna baadhi ya viashiria vya kawaida vinavyoweza kupelekea kuanguka kwa chama cha siasa: Utendaji wa Uchaguzi: Matokeo duni katika chaguzi, ikiwa ni pamoja na hasara katika kinyang'anyiro muhimu na kupungua kwa kura, inaweza kuwa ishara tosha ya kuzorota kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Watu wanaoishi kwa kuwinda na kukusanya kama Wahdzabe wana afya kuliko wakulima, wafugaji na watu wengine

    Mtaalamu mmoja alisema kuwa afya ya binadamu ilianza kuzorota pale alipoanza kulima. Huu ni ukweli kabisa. Babu zetu walipokuwa wanaishi kwa kuwinda na kukusanya walikula kila aina ya chakula. Walikula matunda, majani ya miti, nyama, asali, mayai ya ndege, wadudu, mizizi, samaki nk nk. Watu hawa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Cheo cha Floor Manager kinapuuzwa bila sababu

    Ma-floor manager harusini hatutambuliki kisheria, why? Kazi zetu zinaonekana na mambo yanakwenda kama yalivyopangwa, wageni waalikwa wanakula, wanakunywa, Ulinzi wa Magari fresh. NB: hicho cheo kitajwe kwenye katiba Mpya
  6. JamiiForums Tanzania Sababu za TPLB kusogeza mbele Mechi ya Simba na Azam kutoka Novemba 28, 2023 hadi Jan 1, 2024 hazijaniingia akilini

    Ila kwa wenye Akili Kubwa duniani (GENTAMYCINE na baadhi) tunajua kuwa Usimba ndani ya TFF (TPLB ikiwemo ndani yake) umechangia na kilichofanyika hapa ni Kuikoa Simba SC na Kipigo Kitakatifu kingine kutoka kwa Azam FC. Hali ambayo inaweza kuzidisha Mgogoro Klabuni, Amani kutoweka ila Kubwa ni...
  7. JamiiForums Tanzania Kigezo cha Ufaulu chawatema Wanafunzi 200 kwenye Samia Scholarship

    Wakati wanafunzi 226 wakitemwa katika ufadhili wa masomo wa Samia ‘Samia Scholarship’ kutokana na kushindwa kukidhi vigezo vya kuendelea kupata ufadhili huo, Serikali imewahakikishia kupata mikopo ili waendelee na masomo yao. Wanafunzi hao ni kati ya 640 walionufaika na ufadhili huo katika...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kufanya mapenzi kwa sababu ya hofu(wasiwasi)

    Ni mda sasa wa mwezi 1 yangu tatizo hili linikute nashindwa kabisa kupata hisia Wala kusimamisha uume pale tu ntapoitaji kushiliki tendo. Nimekuja kugundua kuwa ni hofu nilionayo Moyon mwng ndo inanitesa, nimelileta hili suala hapa mezani, kwajili ya kupata msaada wa mawazo na ni kwa jinsi gani...
  9. JamiiForums Tanzania Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

    Kwema Wakuu! Acheni wivu! Yaani mkiona Watu wamebarikiwa jambo fulani roho mbaya zenu mbaya hazitulii. Wivu na maumivu moyoni yanawachoma. Mnaanza kuropoka mashudu yenu. Mkiona mdada mzuri tuu mnaanza kumpa majina Mabaya. Kisa anatongozwa na Wanaume wengi. Utajiri wa mvuto wa kisura na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Obama aikosoa vikali Israel; aiambiia: Wewe ndiye sababu ya vita vya Ghaza na maafa ya Wapalestina

    Nov 05, 2023 06:50 UTC Katika matamshi yake mapya kuhusu vita vya Ghaza, Barack Obama, rais wa zamani wa Marekani ameulaumu vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kuwa ndio unaobeba lawama za kutokea mashambulizi ya HAMAS na maafa yanayowatesa Wapalestina hasa wa Ghaza hivi sasa. Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ni nani anayetaka kuweka maisha yake hatarini kwa sababu ya kuhoji tu?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Nauliza hili swali hapa, ila nina uhakika hakuna atakaekuwa tayari kujitokeza kunijibu. Hii ni kwa sababu wengi wanatumiwa ili mkono uende kinywani, lkn umafia wa yule anaewatumia wanaujua vizuri sana. Hapa nazungumzia ule upande wa kondoo kutembea kichwa chini...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini jamii kubwa ya Wayahudi ni matajiri na chuki dhidi yao ilivyokuzwa enzi na enzi

    ■AHADI Mungu alimbariki mzaliwa wa Ibrahim, Isaac, ambaye ndie mtoto halisi wa familia ya Ibrahim na Sarah iliotambulika kama ndio familia asilia ya agano la nchi ya ahadi dhidi ya mzaliwa wake wa kwanza aitwae Ismael aliezaa na mjakazi wake kutokana na utasa wa Sarah kabla ya kuambia...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hufa kabla ya wakati wao kwa sababu ya laana kutoka kwa wazazi

    INTRODUCTON. Salaam, Shalom!! (Kutoka 20:12) says: WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO, ILI SIKU ZAKO ZIKAWE NYINGI KATIKA NCHI UPEWAYO NA BWANA MUNGU WAKO. Leo naandika mada hii nikiwa na Sina furaha sababu Mimi Rabbon pia ni Mwanaume. Wanaume tulipoambiwa tuishi Kwa akili na wake zetu, au na...
  14. JamiiForums Tanzania Misri yatoa sababu za kilemavu kwa misaada kutokufika Gaza

    Waziri wa mambo ya nje wa Misri amesema vikwazo vya Israel ikiwwemo upekuzi ndicho kinachopelekea kutokuingia misaada Gaza kama inavyotakiwa. kupitia kituo cha Rafah Katika malalamiko yake amesema malori lazima yapekuliwe katika kituo kinachoitwa Israel Nitzana ambacho kiko ndani ya Misri.Baada...
  15. JamiiForums Tanzania Ipi ni sababu kuongezeka kwa vizinga siku za karibuni kuliko miaka ya zamani?

    Ukijichanganya kutongoza Mwanamke yoyote tu, hapo utaanza kupigwa vizinga tena Kwa kulazimishwa utadhani anakudai. Hivi kwanini wanawake wamegeuka kua omba omba? Shida imekua nini? Hivi tunawezaje kupata Mwanamke wa kuoa kwenye kizazi hiki Cha omba omba? Juzi nimejaribu kutafuta wapenzi...
  16. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako alikutafutia sababu gani ya kukuacha?

    Mapenzi yanapoanza yanakua matamu kama asali ila mkishachokana yanakua machungu kama shubiri mwishowe mnaachana Katika kuachana kuna sababu mbalimbali huwa zinatolewa na wapenzi wetu ambazo zinapelekea wao kutuacha Mimi mpenzi wangu aliniambia "Daydream me naona tuachane" nikamuuliza kwanini...
  17. JamiiForums Tanzania Shabiki wa Liverpool alalamika kutolewa uwanjani huku mechi ikiendelea kwa sababu ya kuvaa koti lenye ujumbe wa "Free Palestine"

    Shabiki wa Liverpool amelalamika mtandaoni kwa kitendo cha kuondolewa uwanjani kwa sababu ya kuvaa koti Lenye ujumbe wa "Free Palestine". Shabiki huyo aliondolewa uwanjani na vyombo vya usalama vilishinikiza avue koti hilo na kutupa bendera ya Palestina kabla ya kuruhusiwa kurudi uwanjani...
  18. JamiiForums Tanzania Padri Dkt. Kitima: Sikujua sababu ya kuitwa Ikulu, msimamo wetu ni ule ule, hatukubaliani na IGA

    Katibu Mkuu wa Baraza La Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Dkt.Charles Kitima amesema kuhudhuria halfa ya utiaji saini Mkataba wa Host Government Agreement (HGA) iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma siku chache zilizopita haimaanishi kwamba wamekubaliana na mkataba wa Bandari...
  19. JamiiForums Tanzania Gutteres UN: Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya Hamas hayakutokea bila sababu

    Wanaukumbi. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutteres, katika hotuba mapema Jumanne. Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya Hamas hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Lakini malalamiko ya watu wa Palestina...
  20. JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu huwa sitaki kuwaweka ndugu kwenye biashara zangu, Ni heri niwape mitaji wafungue biashara zao wapambane kivyao !!

    Biashara ntashirikisha familia yangu niliyoijenga (hasa watoto) ama familia niliyotokea (kaka, dada, wadogo zangu, wazazi), nje ya hapo hawa watoto wa mjomba, ma mkubwa, ba mkubwa, ba mdogo, ndugu flani, n.k. sidhani kwakweli, undugu uwepo na ninaweza kuwasaidia mitaji ama kuwasimesha pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…