Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Nimekuwa nikijiuliza swali hili lakini sipati majibu. Nini could be a reason. Sababu mwanamke wa tatu sasa analalamika jambo hilo kuwa Chidy dhakari yako imeongezeka.
Nami naona tofauti kiasi flani. Lakini nashangaa kwa umri huu wa above 50 inawezekana vipi ikaongezeka? Kuna kipindi flani kweli nlihisi kama imepungua unene. But miezi ya hivi karibuni naona mabadiliko. Najiuliza nini inaweza kuwa sababu.
Na je kuna tabia, vyakula au vinywaji ambavyo inawezekana vikachangia jambo hili? How? Maana naamini kwa umri huu tulio nao hakuna tena kiungo kinaweza kukua. Ukicha kunenepa na kukonda.
Je matumizi ya vitu flani inaweza kuwa sababu? Pengine kama nitapata mwanga kwenu naweza kushare mabadiliko kadhaa ambayo nimefanya katika ulaji na unywaji.
Nashukuruni.