The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.
Mifaano batiri, uwezi okota pesa Kwa miaka yetu hii, nasababu sa7 za kuerezea, mwaka 1760 BARTER: ilikuwa Biashara ya mabadilishano example unang'ombe lakini unahitaji mahindi mnakubaliana mnabadilishana, (2) mwaka 1860 GOLD: wakagundua dhahabu wakawa wanaieyusha Na kutengeneza mapambo mbali...
Wawekezaji wenzangu mko poa?
Ilikuwa usiku wa fainali ya UEFA mwaka 2026, nilipoweka dau la mshahara wangu wote wa mwezi nikiwa na uhakika wa kushinda mamilioni. Baada ya filimbi ya mwisho na timu yangu kufungwa, nilibaki nimepoza macho nikiiangalia simu, huku nikijua sina hata senti ya...
Kuna mtu kila fikra itakayotoka imejaa negativity
Kila comment atakayotoa ni ya masimango na udharilishaji
Kila hoja atakayo toa imejaa uchungu.
Ukiwa leyman, utadhania wewe ndio mwenye tatizo lakini kumbe ni mtoa hoja au ushauri ana teseka ndani yaani ni SADISTIC.
ISHI MAISHA YAKO, MATUSI...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimebainisha misingi mikuu inayokifanya chama hicho kuendelea kuaminiwa na kushinda chaguzi kuu za kiserikali nchini Tanzania.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara...
Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu
Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
arusha
biashara
habari
hawapendi
hawataki
kelele
kiwanja
kufanya
kujengwa
kuona
kusikia
maeneo
maslahi
miaka
namna
ndugu
sababusababu za
sabotage
sana
serengeti
ubinafsi
ujenzi
ujenzi wa uwanja
uwanja
wabinafsi
wabunge
wanaopinga
wao
zao
1. Chama husika hakina uhusiano wa asili na TANU,chama hiki kilianzishwa 7/7/1954
2. Ukinzani wa malengo.TANU kilipigania uhuru wa Tanganyika,Chao kuleta vurugu na umwagaji wa damu.
3. Wajumbe (viongozi) wao hawana uhusiano wowote (hata wa damu) na wale waliokuwa TANU (waasisi wa Taifa letu)...
UNASIKIA MAUMIVU MOYONI KIASI CHA KUTAKA KUVUNJA NDOA YAKO..?
Salam..
Maisha ni mafupi sana hapa duniani, epuka kufanya vitu kwa kurudia-rudia.
Jizatiti kabla ya kuingia kwenye ndoa, ukishaingia kwenye ndoa acha maisha yaendelee.
Kuachana ni kuongeza matatizo, sio suluhisho kwa namna yeyote...
Rais wa marekani ameendelea kuishangaza dunia baada ya kuendelea kutoa kauli zinazowashangaza waisraeli na baadhi ya waungaji mkono wa vita ya marekani/Israel na Iran.
Leo amesema Iran Ina Haki ya kuwa na makombora ya ballistic lakini pia Frozen asset ni fedha zao inabidi wapewe.
Ameeleza kuwa...
Mimi ni mmoja ya watu wanao amini katika ARDHI hasa zile ambazo hazijaendelea wengi hupenda kuita mapori au bush huko ndio mahali huwa napenda kutupia visent vyangu.
sina tofauti na mtu anae bet kwa muhind maana unaweza nunua pori leo baada ya miaka kadhaa unakuja unaambiwa nusu ya eneo lako...
Usiwe sababu ya kuwakwaza watu / mtu , mioyo ya watu imebeba mengi. Kuna watu wanakesi nzito mahakamani , kuna watu wanamagonjwa mazito , kuna watu wamepoteza wapendwa wao .
Jitahidi ufanyike faraja na baraka katika maisha ya wengine
Marekani na Iran Wafikia Makubaliano ya Kumaliza Vita, Hormuz Kufunguliwa Tena
Marekani na Iran zimefikia makubaliano ya awali ya kumaliza vita vilivyodumu kwa zaidi ya miezi mitatu, hatua inayotarajiwa kuleta nafuu kwa uchumi wa dunia na kurejesha utulivu katika eneo la Mashariki ya Kati...
Watanzania wengi wanakula kwa ajili ya kushiba, si kwa ajili ya afya. Nimegundua watu wengi huangalia chakula kwa lengo la kushiba tu bila kujali virutubisho au athari zake kiafya. Mara nyingi tunachagua chakula kwa bei nafuu, ladha au wingi wake, lakini si kwa ubora wake kiafya.
Matokeo yake...
Ukiwa kweli una uhuru wa kuchagua, ungeweza kuchagua iwapo ungekuwepo au la
Si tu kwamba ungeweza kuchagua iwapo ungekuwepo au la, bali ungeweza pia kuchagua sifa zinazokufafanua, kama vile utu (personality), ujuzi (skills), tabia (traits), na mambo ya nje kama vile familia, utajiri, n.k.
Yote...
Ni muhimu washirika wa maendeleo kutoka pande hasimu mbili za dunia kutambua na kukumbushwa kuwa Tanzania kama mfuasi wa "NAM" ilijiweka wazi kuwa haitofungamana na pande yoyote hasimu kati ya mashariki na magharibi kwani ilitambua kuwa jambo muhimu mbele yake ni kukuza uchumi na ustawi wake...
PART 1:
Hello bosses and roses....
Leo nimejaribu kuingia jamiiforum bila VPN na ikakubali, hongera sana kwa boss kubwa Maxence Melo na team yote ya JF, nina muda sana sijaandika makala humu, naomba niandike makala hii labda itawasaidia baadhi ya watu
Daah, maisha haya ni fumbo sana.
Ni...
Ukienda kwenye tovuti za benki kuu, majarida, matangazo au habari zinazohusu fedha, mara nyingi utakuta picha ya noti imeandikwa neno kubwa la "SPECIMEN" katikati.
mbona vitu vingine vya thamani kama magari, nyumba, dhahabu,hati n.k picha zake huonyeshwa kama zilivyo bila kuhaririwa.na sio kwa...
This was 2019,
Tariq aliniambia kiuhalisia yote aliyofundishwa na yote aliojifunza mwenyewe haya hitaji uwe na fikra pevu na yenye mantiki ili yakukae utaishia kuyakimbia na malipo yake kutengwa kwa hio itakubidi uwe umejazwa hisia na muziki wa mambo ya kufikirika ndio uendane nayo.
Kumekuwa na kauli inayorudiwa mara kwa mara kwamba sababu ya Afrika kutokuendelea ni dini, na mara nyingi hoja hiyo hulenga zaidi Uislamu. Lakini je, hoja hiyo ina uzito wa kutosha inapochunguzwa kwa kina?
1. Kwanza, tujiulize: maendeleo ni nini?
Maendeleo si suala la dini pekee wala kutokuwa...
Niliwahi kuwa na girlfriend back in 2018,
Alienielezea namna jamaa alivyokuwa anamchapa makofi na muda mwingine kumuingilia kinguvu kingono. Na akasema hataka amrudie tena huyo mbwa
Red flag ilikuja pale yule demu akawa anamzungumzia jamaa kila mara, nikagundua huyu fala bado bado ana miss...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.