The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.
Ukisoma story ya ENKI na ENLIL unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa. Huenda hii Ikawa ndio sababu halisi kwanini shetani alimuhasi Mungu... Shetani hakupendezwa na mpango wa Mungu kumuumba binadamu na kuja kumtesa hapa duniani.. Ndio maana akaamua kuanzisha uasi huko mbinguni...
Tukome kupima upendo kwa idadi ya mambo tunayofanya kwa watu na tupime upendo kwa idadi ya watu wanaotuheshimu tunaposema "hapana".
Ukikosa msimamo, utatumika mpaka uchoke ila ukiujenga msimamo utaheshimiwa hata na wale waliokuwa wanakutumia jana
Kumbuka: Mlango usioweza kufungwa...
Wadau wa JF sina shida na nyie nina shida na hizi ofisi za umma kuweka condom dispensers kwenye korido. Hii imekaa sawa kweli wadau?
Mimi naona haijakaa poa sana sana ni kuhalalisha ufusika maofsini tu. Kwa mtindo huu tutegemee kuongezeka kwa matukio ya rushwa ya ngono pia na kuchapiwa wake...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mwanaharakati wa kisiasa, Habibu Mchange, amedai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, aliamua kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kutokana na kutokubaliana na uamuzi wa CHADEMA kumpokea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward...
Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan.
Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya kuapishwa hawataki uongoze nchi na nchi isitawalike.
Maridhiano nao...
Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali.
Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali.
Je tunaelekea wapi kama...
Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo hatukuwahi kutarajia Watanzania tutaingiamo ila kwa bahati mbaya tayari tumo.
Wanawake wanatumia hadi buttplugs zenye vibrator (ice breaker), vibrator device vya kutekenya (uke) na midoli ya mfano wa uume mkubwa.
Sasa najiuliza ni kwamba watu hawaridhiki kingono...
Akizungumza wakati wa kufungua Jukwaa la Demokrasia Tanzania, leo Julai 09, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDASA, Profesa Ichumbaki ameeleza kuwa mkwamo uliopo Tanzania ni kwa sababu ya watu kuacha kutoa maoni.
Watu wengi wamekuwa na maoni kwamba Erling Haaland ana muonekano kama wa mwafrika. Sura ya Haaland ni features za kiafrika isipokuwa ngozi na nywele ndio vya mzungu. Wengi wanamfananisha na wa Afrika kutoka West Africa.. ( Rapper Fat Joe ni moja Kati ya watu ambao sio wa Afrika lakini wana...
Umeshawahi kujiuliza kwanini asilimia kubwa ya watu waliosajili Kampuni Hujikuta na madeni makubwa ya malimbikizo ya Kodi?
Kwa takwimu zilizotolewa 51.58 ya wamiliki wote wa Kampuni Wana madeni makubwa yanayotokana na malimbikizo ya Kodi.
Na hii inasababishwa na mambo mawili;
1. Kutoku file...
Serikali imefanikiwa kutengeneza hofu isiyo na sababu kwa kujaza maaskari kwenye maadhimisho ya 7/7 bila sababu ya msingi kwa kuwa maandamano yaliyopangwa hayakuwa yamesemwa kama yatakuwa ya barabarani au ya watu kulala ndani, huenda yalikua ya kulala ndio maana sehemu kubwa wamelala na kuua...
pamoja na upotoshaji mwingi unaofanywa na communists na muslims khs sababu za ujio wa Christians barani Afrika, lkn sababu KUU ilikuwa ni ku-push back on islam conquest of the continent.
ikumbukwe kwamba there's no way afrika ingebakia neutral hivyo ilikuwa ni aidha iende islamic yote kuanzia...
UKishafanikiwa utayaita afya ya akili.
Utamwaisha mtoto wako milembe mapema mnooo
Ukifika kule utagundua afya ya akili ya mwananadamu ni uwanda mpana sanaa wakati huku mtaani afya ya akili inapimwa kwa kiwango cha kuokota makopo na kukimbia sokoni matako wazi.
Nimemsikiliza jana Crecentius Magori (Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba) alihojiwa na Azam baada ya mechi yao na Azam FC kuisha anasema kusingekua na makosa ya kibinadamu hata ligi ya NBC wangebeba.
kwenye ligi ya NBC na kombe la shirikisho CRDB Tanzania bara kumekua na malalamiko kadha...
Ninaomba kufikisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji wa huduma katika Hospitali Teule ya Wilaya Muleba yaani Rubya Hospital ambao kwa maoni yangu unaweza kuhatarisha maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma za dharura.
Nilifika hospitalini hapo nikiwa na mgonjwa aliyekuwa anahitaji...
Anonymous
Thread
hospitali
huduma
kabla
katika
kumpoteza
kutaka
mgonjwa
muleba
sababu
wilaya
Kutoka mezani kwa Adama H kigamboni Dar esaalam
Rafiki
Ndani ya second 60 zijazo Nitaenda kukuonesha sababu kubwa Tano za kwanini wateja hawanunui Bidhaa au
Huduma Yako
Na Hizi sababu haijalishi una uza nguo,Viatu,magari,viwanja nyumba nk
Zinaingia kote kote
Twende pamoja
Sababu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.