The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.
Kuna namna wazazi huwaona watoto kama hivi hawana hisia au wanaweza kuachilia vitu kirahisi kiasi kwamba anaweza kumfanyia kitu ambacho kitamuumiza na yeye atakibrush tu na kuendelea na maisha yake kama kawaida au hata kama akikubali kosa inakuwa ni ile ya ilimradi.
Unakuta umekula mkong'oto...
ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO
Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba matibabu ni dawa pekee na jambo hili limepelekea wengi kuteseka na matatzo kwa muda mrefu sana bila...
Hakuna mtanzania anaefurahia huu utawala kwa amani. Wengi wanafurahia kwa shingo upande na unafiki.
Angalia hata hao wanaCCM makabwela ambao hudanganywa kwa baiskeli na tisheti safari hii hawautaki huu utawala wa CCM.
Kesi ya Lissu inazidi kuligawa taifa sababu kila mtanganyika mwenye akili...
Kuna barua rasmi kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) – kupitia Ofisi ya Mashirika ya Kipapa ya Kimisionari Taifa (PMS) inayoonesha kuahirishwa kwa Kongamano la Sita la Kitaifa la Utoto Mtakatifu.
Kongamano hili kubwa lilitarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 18 hadi 22 Juni, 2026 huko...
Watu wengi wamekua wanatafuta siri ya mafanikio bila kujua mafanikio yao yapo mikononi mwa nani?
-Kuna watu wanafanikiwa sababu tu wazazi wao wanafurahi kuona wakifanikiwa
-Lakini kuna wengine wanafanikiwa ni kwasababu ya ibada na mungu yupo katika kila jambo lao
-Pia kuna wanaofanikiwa...
DAWASA yaomba radhi wateja kukosekana kwa huduma
Kukosekana huduma ya Maji Kibaha hadi Kisarawe.. DAWASA yatoa sababu
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya ukosefu wa huduma ya maji iliyowakumba wakazi wa maeneo...
Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe...
Salama.
Jamani sasa hivi kwenye miji iliyochangamka mabinti kujitunza imekua uongo kabisa .
U can't imagine mabinti wadogo mtoto ana mzaa mtoto ,watoto wadogo wa kike wanakunywa pombe kali ni kama akili imestuck ,wanavuta Sitara na shisha sasa najiuliza ! Mtoto anamleaje ? Will she be a good...
WANAUME WENGI MSHUKURU MFUMO UMEWABEBA. WANAWAKE WANGEWATESA SANA KWA SABABU WANAWAKE WENGI WANAAKILI NA WANAJITAMBUA KULIKO WANAUME WENGI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Zamani nilikuwa nakataa kwamba wanawake wanaakili kuliko wanaume. Kwa sababu sisi Watibeli Wanaume hatuwezi zidiwa...
Kila chama cha siasa kilichoanzishwa nchini, kina itikadi, agenda na falsafa yake ya kufikia malengo yake.
Je,
Kulikoni sasa chadema hua wanaona wivu dhidi ya kuimarika na kushamiri kwa vyama vingine vya siasa vyenye malengo yasiyo fanana na yao, na kukerwa sana na maendeleo ya kisiasa kwa...
Hapa kinachoendelea ndio kile kinachoendelea afrika kila kona,maana ndio muendelezo wa familia zengine zilipata embe dodo,zengine zina endelea kwa kujificha.
kwa kwetu hapa leo mda huu 11:18 nimetoa mada siku ya alhamisi.
Utabiri afrika inaweza kuwa sehemu zilizo saidia na ndizo zitakuwa...
Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ndugu Djumbe. Nitoe pole kwake na kwa familia yake!
Kuna maadui zetu wanaweza kutumia mwanya wa...
Ingebakia basi wao kupenda pesa na maisha mazuri iishie hapo lakini hawa viumbe ni chupa za chai ambazo hazijai,
Yani mtu anapata hivyo vyote na bado anataka akupelekeshe kama bwege kisa tu labda uzuri au wewe kumuonesha unyenyekevu.
Siku ya Wauguzi Duniani ilikuwa Mei 12 ila wahusika ambao wako kwenye nafasi kubwa za Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) waliogopa kuwasilisha kwa watawala hoja za wanachama wao kwa sababu wanaogopa kuenguliwa nafasi zao.
Wanafanya hivyo kwa kuwa wao maslahi yao ni makubwa wanajua wakitumbuliwa...
Anonymous
Thread
chama
chama cha wauguzi tanzania
kutumbuliwa
maslahi
sababu
tanzania
viongozi
viongozi wetu
wauguzi
Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport?
https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck
Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao.
Tumechelewa sana kuweka...
airport
baada
bado
haraka
jambo
kanda
kanda ya ziwa
kuhusu
kujenga
kujenga uwanja
kujengwa
kupinga
kuzuia
kwenu
moyo
mradi
muhimu
mvutano
mwanza
sababu
sana
sauti
serengeti
tanzania
ujenzi
ujenzi wa uwanja
utalii
uwanja
wabunge
ziwa
Kwanza mpaka sasa hivi kama alivyosema Mzee Warioba alipigiwa kura na Tume ya uchaguzi ya Jaji Mwambegete sio wanannchi.
Mchakato wa katiba mpya upo tayari maana rasimu ya warioba tayayri ilishaweka kile ambacho watanzania wanakihitaji. Yaani katiba ambayo itakidhi mahitaji ya Watanzania. Ambao...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema hayo Mei 11, 2026, wakati akiwasilisha uchambuzi wa chama hicho kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu 2025.
"Vilevile swala la ukiukwaji wa haki za binadamu, Tume...
Kuna mtindo ambao amekuja nao Masaju, VJ kuwa kesi za Court of appeal zisikilizwe kwa mtindi wa sessions. Ikiwa na maana kuwa session inaweza kuwa ya civil, criminal, matrimonial ???(Sina uhakika kama na hii ni civil kwa mtindo wa mahakama)etc.
Ukipitia TanzLII, utaina kuwa judgements zote za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.