sababu za

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Nini sababu za wewe kuwa mpweke ?

    Miaka ya hivi karibuni asilimia kubwa watu wengi hawana furaha na wana upweke kupita kiasi . na mimi nikiwa mmojawapo Je ni sababu zipi zinazopelekea watu kuwa na upweke na tufanye vitu gani tuweze kuondokana na upweke ????
  2. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuwapinga Hamas japokuwa Mimi Muislamu na wanaonewa ndio hizohizo ninazotumia kupinga Maandamano pamoja na utanzania wangu.

    Moja kwa moja. Baada ya tukio la October 7 Hamas kushambulia Israel nilikuwa kinyume na Waislamu wengi wa Jf katika mijadala ya humu tokea siku ya kwanza , na supporters wa Hamas walinipinga wakidai. 1. WaPalestina wanaonewa kila siku kwa miaka mingi tena kwa dhuluma hivyo lazima wapambane...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Samia na sababu za 'kutapatapa'; Ooh, nchi jirani! Ooh, walilipwa!

    Anajiita rais, lakini hajui anakwenda wapi! Alianza kwa kusema fujo ni watu wa nchi jirani. Sasa anadai walilipwa. Yaani anatoa majawabu anayotaka kusikia. Pembeni kuna usanii wa Commonwealth na hadithi ya maridhiano. Yaonekana hakuna niya ya kueleza wauaji ni akina nani. Kuna kundi limetenda...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wamama wafiwa wa vijana waliouawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi

    Tetesi, kuna baadhi ya video mtandaoni wamama wafiwa wa vijana walio uwawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi. Maandamano hayptokuwa tu ya Gen z kwenye round hii tutakuwa na wazazi nchi nzima tutakinukisha.
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia

    Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia. Tulieema ni kesi za uongo wanachochea moto wakifikiri wanauzima na kutafuta vitisho kumbe wanatutia hasira.
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini maandamano ya 29 October yatafeli vibaya sana

    MAANDAMANAO YA 29OCT YATAFELI VIBAYA MAPEMA SANA KUTOKANA NA SABABU KUU ZIFUATAZO; Anaandika, Robert Ng'apos Heriel Mtibeli 1️⃣ Ukosefu wa Miundombinu ya Kiufanisi. Maandamano makubwa yenye lengo la mabadiliko ya utawala yanahitaji: a) Kamati za mipango (planning committees) Hizi kamati...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za uchumi kurudi nyuma: Mfumo wa siasa na Ufisadi

    Sababu za uchumi kurudi nyuma: Mfumo wa siasa na Ufisadi. Mfumo wa siasa mbaya unapunguza wawekezaji wa muda mrefu maana mfumo huu unaleta mapingano mengi ya kisiasa, utekaji na kikundi maalumu cha mtandao ambao wenyewe tu ndiye wanaonufaika. Sababu ya pili ni ufisafi mkubwa mipangilio ya nchi...
  8. britanicca

    JamiiForums Tanzania Melo ataja sababu za JamiiForums kufungiwa

    Katika mazungumzo na The Chanzo amefunguka kuhusu kwanini TCRA wameifungia JamiiForums kwa siku 90 Tukiwa wenye akili timamu kabisa tunajua kuwa bila kupigania haki kwa udi na uvumba hatutoboi https://youtu.be/YLRFPaPTlOA Hatutanyamaza Britanicca
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania China wanataka kupiga marufuku “hidden door handles” kwenye magari, kwa sababu za kiusalama!

    Wakuu. Trend maarufu ya retractable door handles aliyoipa umaarufu bwana Elon Musk kwenye magari ya Tesla na kuigwa kila pande za dunia, baada ya kuonekana ina mapungufu mengi uko China wanaplan ya kuipiga marufuku. Lengo kuu la hidden door handles ni kupunguza drag coefficient, kwahiyo...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Front-Running na Market Manipulation: Sababu za Hedge Funds Kushitakiwa Marekani

    Soko la fedha ni lenye mtiririko mkubwa wa fedha, na mara nyingi hedge funds au mabenki makubwa hujaribu kutumia nafasi zao kupata faida. Hata hivyo, baadhi ya vitendo vinavyojulikana kama front-running na market manipulation vinapingana na sheria za Marekani, na vinaweza kusababisha kesi za...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...

    Wanabodi Angalizo la uchangiaji Hili ni moja ya mabandiko yangu ya mada za kikubwa,na huwa yanapanda humu mida ya usiku mkubwa wakati watoto wameisha lala! Hakuna jina la mtu yeyote, limetajwa kwenye bandiko hili. Hivyo naomba sana wachangiaji changieni kikubwa, tusilete utoto humu wa kutaja...
  12. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sababu za wanaompinga Dkt. Samia

    KWA NINI DKT SAMIA ANACHUKIWA? Na Elius Ndabila 0768239284 Hivi sasa, wakati mchakato wa uchaguzi unakaribia wamejitokeza baadhi ya Watanzania ambao ni WanaCCM na wengine Wanachama wa vyama vingine vya siasa kupeleka shutuma kadhaa kwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT Dkt Samia Suluhu...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Je, ni sababu zipi zilizosababisha kampeni ya No Reforms No Election kupungua nguvu na kupoteza mvuto ndani ya kipindi cha muda mfupi ?

    Wajuzi wa sayansi ya siasa karibuni
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katibu CCM: Matokeo ya Ubunge yamechelewa sababu ya mwingiliano wa majina

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mwanamasod Pazi akielezea sababu za matokeo ya Uchaguzi wa Kura za Maoni ya Ubunge ndani ya CCM kuchelewa kutangazwa. Pia soma ~ Nini kinaendelea majimbo ya CCM Mkoa wa Katavi mbona majibu hayawekwi wazi?
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimeudhuria uzinduzi wa Dira kwasababu tuliweka maoni yetu lakini pia nilipewa mualiko

    Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA: Tumefurahi watu wametumiss. Waeleza sababu za kujipa mapumziko

    Wakuu Kwa wale mliokuwa mnahoji wapi walipo CHAUMMA mbona kimya sana?. Wamejitokeza na kueleza sababu za kuwa kimya ilikuwa ni kuandaa mazingira ya mchakato wa uchaguzi wa ubunge na udiwani, hii inahusisha mchakato wa kutoa fomu. "Hiki ndiyo kile kimya hata waandishi mlikuwa mkiuliza, CHAUMMA...
  17. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dr Wilbroad P. Slaa: Afichua mpango wa siri CCM kuitaka CHADEMA iandae wagombea uchaguzi mkuu 2025

    https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu.... Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba wana sababu za msingi na zisizo za msingi kutoleta timu June 25

    Nina uhakika 💯 Simba hataleta timu Vikao vya ndani vya Simba vimeshaamua kutokucheza Kwa sababu zifuatazo. 1. Kuonyesha msimamo wao. Simba washataarifu umma kuwa hawatacheza tarehe ikibadilisha kutoka 15 June. Kucheza itaonyesha hawana msimamo 2. Simba wakikubali kucheza itaonyesha wamefuata...
  19. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Sababu za mgogoro wa Israel na Iran

    Mgogoro kati ya Iran na Israel ni wa muda mrefu na umechochewa na sababu kadhaa za kisiasa, kijeshi, kiitikadi na kijiografia. Hapa kuna sababu kuu zinazochochea mgogoro huu: 1. Tofauti za Kiitikadi na Kifalsafa Iran ni Jamhuri ya Kiislamu inayotawaliwa kwa msingi wa Uislamu wa Kishia (Shia...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri demokrasia inafikia mwisho wake na inaenda kutoweka duniani, hakuna tena sababu za msingi kuumia ukipigania demokrasia

    Ukiangalia hali zote za kisiasa na uchumi zinazoendelea duniani kote kwa muongo mmoja uliopita inaashiria dhahiri demokrasia imechokwa na inaenda kufikia mwisho hivi karibuni. Watu watakaoendelea kuzungumiza demokrasia wataonekana ni wehu na wendawazimu tu wasioona na kukubali uhalisia. Ukweli...
Back
Top Bottom