Nina uhakika 💯 Simba hataleta timu
Vikao vya ndani vya Simba vimeshaamua kutokucheza Kwa sababu zifuatazo.
1. Kuonyesha msimamo wao.
Simba washataarifu umma kuwa hawatacheza tarehe ikibadilisha kutoka 15 June. Kucheza itaonyesha hawana msimamo
2. Simba wakikubali kucheza itaonyesha wamefuata...
Mgogoro kati ya Iran na Israel ni wa muda mrefu na umechochewa na sababu kadhaa za kisiasa, kijeshi, kiitikadi na kijiografia. Hapa kuna sababu kuu zinazochochea mgogoro huu:
1. Tofauti za Kiitikadi na Kifalsafa
Iran ni Jamhuri ya Kiislamu inayotawaliwa kwa msingi wa Uislamu wa Kishia (Shia...
Ukiangalia hali zote za kisiasa na uchumi zinazoendelea duniani kote kwa muongo mmoja uliopita inaashiria dhahiri demokrasia imechokwa na inaenda kufikia mwisho hivi karibuni. Watu watakaoendelea kuzungumiza demokrasia wataonekana ni wehu na wendawazimu tu wasioona na kukubali uhalisia.
Ukweli...
Wanao faidika na wingi wa Hoteli za kitalii au Camps hapa Tanzania au wingi wa watalii ni foregners, na sio sisi Watanzania. Sababu iko wazi.
Kule Iringa kuna yule Mafisio, yule Mzungu anailisha Zanzibar yote, analisha Dar hotels na Super Market zote, anailisha Arusha hoteli zote na Super...
Kwanini TPA imeongoza kutoa gawio kwa miaka mitatu mfululizo?
i. Maboresho ya miundombinu yaliyochangia ongezeko la Shehena ambapo kwa kipindi cha miezi kumi na moja kwa mwaka 204/2025 mizigo imeongezeka kwa asilimia 11, ambapo imehudumia tani mil 23.9 kulinganisha na tani mil 21.5 za miezi 11...
Katika kitabu che jina kusadikika kulikuwa na utawala ambao mtunzi mwenye maono makubwa ya mbali.
Kwenye kitabu cha mfalme juha nacho kina muonesha mtawala aliyekosa maono na kupendwa kusifiwa.
Ila kwa vile utawala ni kaptula la marx ndio limetufanya hivi.
Hivi vitabu vitatu vingeunganishwa...
https://youtu.be/5HU2fES7Es0?si=ZkHkhXfQQh61TLt3
Mahojiano yamefanyika Kwa lugha ya Kiingereza..
Kwa ufupi sana Martha Karua anasema:
• Tulitoka Kenya na wenzangu kwenda DSM Tanzania ili kufuatilia kesi ya Tundu Lissu...
• Tulipofika Airport DSM, tulikuwa detained hapo hapo Airport. Hatukuwa...
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeeleza sababu za kuupeleka mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane ya Morocco, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, mjini Zanzibar.
Wakati vigogo hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa tayari wameanza kujipanga...
Rais Samia na wapambe wake wanashangazwa na hawaelewi kwanini kwanini copy na paste mambo ya Magufuli hawaendi kama wakati wa Hayati Magu
1. Watanzania wamesha elimika zaidi
2. Kushidwa kuzuia rushwa kama wakati wa Magufuli . Watanzania walikuwa wanaona hilo
3. Mitandao imeongeza uwazi wa...
Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar?
Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
Nimegundua kwamba Mwanza kuna wanawake wengi Sana, Wazuri na sio Malaya, wasio na alama za weusi katikati ya mapaja. Hawajatumika sana. Na kikubwa zaidi wana " Jasho" Zuri. ( Jasho la mwanamke ni nini katika ulimwengu wa roho? A topic for another day)
How did I know that about Mwanzanian women...
Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali lengo ni kuelimishana
Sio kama natunga hadithi au naleta uzushi ila nachokuambia ndiyo ukweli halisi kuwa hao Ndugu zetu ukitaja tu msalabani ambao aliangikwa Yesu Kristo Huwa wanakosa Raha
Naam baadhi yao hufilia hatua ya kusema kuwa...
Mimi ni mkazi wa Newala vijijini tumekuwa tukipata changamoto kubwa ya mgao wa umeme huku mamlaka husika zikishindwa kutoa sababu za mgao, kuna nyakati umeme unaweza ukakata hata siku 3 huku ukipiga kuuliza changamoto wanakosa majibu hivo tunaomba wajirekebishe kwani wanakwamisha shughuli za...
"Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo
Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.
Hawa...
Sababu za Kumheshimu Mchungaji Wako
Mchungaji ni Nani
Wachungaji ni watu maalum walioteuliwa na kuchaguliwa na MUNGU kulichunga na kulilisha kundi lake kupitia mafundisho ya Neno la Mungu, maonyo na Maombi (Yohana 21:15-17). Na hawa wanafanya kazi mfano wa zile za kikuhani katika nyumba ya...
SABABU ZA NDUGU KUTO KUFURAHI MAFANIKIO YAKO💰
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuchangia ndugu au watu wa karibu kutokufurahi mafanikio yako. Hizi ni baadhi ya sababu kuu:
1. Wivu na Husuda: Wakati mwingine, ndugu wanaweza kuhisi wivu kwa mafanikio yako, hasa kama wao wanajiona hawajafanikiwa au...
Wanabodi,
Suala la serikali mbalimbali kukopa fedha kwenye taasisi za fedha kama vile benki ya dunia au IMF halijaanza leo na wala halitaisha hivi karibuni. Katika dunia ya sasa, inaaminika kwamba mikopo ni njia mojawapo inayoweza kutumiwa na serikali yoyote katika kuendeleza miradi yake na...
Kujilinganisha na wengine kunaweza kuwa na madhara makubwa kwa ustawi wako wa kihisia na kisaikolojia. Hapa kuna sababu kadhaa kwa nini ni muhimu kuepuka tabia hii:
* Kila mtu ni wa kipekee:
* Kila mtu ana safari yake ya kipekee, yenye nguvu zake na udhaifu wake.
* Kulinganisha maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.