saa

  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania DC Mpogoro, nilidhani ni habari njema kwa wenye maghorofa chakavu kariakoo kuyavunja, huyu kaamua kuvunja, wewe umemkasirikia na kumuweka ndani saa 48

    Hii habari inashangaza, mtu kaona ghorofa lake ni chakavu, lina nyufa, na linatumiwa na watu na juu ni stoo ta mizigo. Kaamua kulivunja pengine ajenge lililo imara zaidi. Mkuu wa Wilaya wa eneo ambalo yalitokea maafa ya ghorofa kuanguka, anamkamata na kumuweka ndani. Ebooo! Kwa hiyo Mkuu wa...
  2. babyboss_china

    JamiiForums Tanzania Kids digital watch ( Saa za kisasa za watoto)

    PRICE 8000/- 🚫saa sa kisasa za watoto zinapatikana 💦haziingizi maji 💪zinatumia battery ambayo inadumu kwa miaka zaidi ya miwili ✌️ni nzuri sana kwa watoto wa mashuleni wanakua sharp na kutunza mda ☎️0753409810/ 0674582231 📍tupo MANZESE TIPTOP OPPOSITE JM HOTEL NB: TUNATUMA MIKOA YOTE KWA UAMINIFU
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Masikini, Mama Pendo (Single Mother wa Watoto Wawili) wa Tageta Machinjioni anavunjiwa Banda lake Saa Hii: Tumsaidie Mamlaka kuingilia kati

    Wanabodi Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Pendo akiomba msaada wa haraka,anavunjiwa kibanda chake cha kuishi eneo la Tageta Machinjioni。 Anaomba media tupaze sauti wenye mamlaka wasikie wamsaidie kumnusuru。 Please tumsaidie huyu Mtanzania mwenzetu ambaye ni masikini...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Tumekwama ndani ya Treni ya SGR hapa Ngerengere kwa saa tatu sasa, tunaambiwa kuna suala la kiufundi

    Baada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo. Mpaka muda huu naandika hapa saa Tatu usiku huu ni kwamba tumekwama kwenye kituo cha Ngerengere tukiwa tunatokea...
  5. President of China

    JamiiForums Tanzania Mjadala Mzito: Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki (Leo Kwenye Space 04 Dec 2024 19:00 East Africa )

    Leo kuanzia saa moja kutakuwa na mjadala mzito utakaoendeshwa online kuhusu Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki Sote tunakaribishwa: https://x.com/i/spaces/1OwGWNkRORVKQ/peek Wazungumzaji nguli watakuwepo. Mnakaribishwa na kutakuwa na Live Update hap JF:
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kariakoo yote sasa kufungwa kamera ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24

    Sasa ni rasmi serikali inakusudia kufunga kamera za ulinzi (CCTV), katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24. Mkurugenzi wa Jiji la Ilala, juzi alitoa taarifa ya kumtafuta mzabuni akayetekeleza kazi hiyo na jana ilikuwa ni...
  7. N

    JamiiForums Tanzania KERO Hospitali ya Kimara mpo serious kweli? Zaidi ya saa nne hakuna huduma

    Ni zaidi ya saa nne sasa hakuna huduma kwasababu ya mtanndao! Kila Mgonjwa anayefika hapo anaambiwa kirahisi rahisi tu kuwa hakuna mtandao Cha kusikitisha zaidi ni majibu tunayopewa ni wakavu Hawana huruma watu wanauliza na kuambiwa kwani kuna aliyezidiwa hapa? Ukiuliza sana unaambiwa Nenda...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Saa 12 asubuhi yamekutwa mabox matatu tayari yamejaa kura. Hii ndio Tanzania.

    https://x.com/godbless_lema/status/1861661004586983644
  9. Logikos

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wanaolalamika kulipwa 2USD kwa Saa kuifundisha AI wapo Sawa kutupia lawama Kampuni Husika, au wawalaumu Watunga Sera wao kuwafanya desperate ?

    Nimeona hio Documentary ya 60 Minutes; Kwa ufupi AI inahitaji kuwa trained ili iweze kugundua vitu kama picha, watu emotions n.k. Sasa Serikali ya Kenya imekuwa ikivutia makampuni kuja kuwekeza Kenya kwamba watu wana knowledge na labor ni cheap (kama walivyokuwa wanakwenda sana nchi kama India)...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Msimamizi Wa Uchaguzi Katavi: Msifungue vituo kabla ya saa mbili, saa kumi askari atasimama nyuma ya mtu wa mwisho.

    Wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya vituo halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia muda wa kufungua na kufunga vituo vya kupigia kura ili kuepusha vurugu zinazoweza kutokea katika vituo hivyo. Akizungumza mara baada ya kufanga mafunzo hayo Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kuna benki unasubiri saa zima kuweka/ kutoa pesa. Ni benki gani ya kuaminika ambayo nitahudumiwa fasta?

    Kuna benki kadhaa hap nchini imekuwa ni kama utamaduni / mazoea mtu kukalishwa muda mrefu mpala lisaa unasubiri kuweka / kutoa pesa. Ni kweli mawakala wapo lakini kuna sababu zinatulazimu kwenda bank, mawakala wengi huwezi kuingiza au kutoa zaidi ya milioni 1. Unaingia Benki, unatoa kikaratasi...
  12. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

    Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights that take off like a rocket and land just minutes later across the globe. Musk says his dream of...
  13. Magical power

    JamiiForums Tanzania Saa nane usiku nitakua na maombi ya kufunguliwa unahitaji nikuombee nini Mungu afanye kwako

    Saa nane usiku nitakua na maombi ya kufunguliwa unahitaji nikuombee nini mungu afanye kwako.🙏❤️
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

    Mnyama Simba SC baada ya kupata ushindi mechi iliyopita ugenini mkoani Kigoma, anarudi nyumbani ambapo kesho Jumatano atakuwa KMC Complex akiwakaribisha KMC FC Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara.
  15. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapiga simu kila saa hali anajua nina familia nifanyaje?

    Wahuniiiiiii Nimewaita mje Mwenzenu ameyainua matanga, akatafuta kimada nje ya ndoa Kimada ni mtoto wa 2000, basi kila saa anataka attention, anamkausha baba wa watu huku Baba anataka msaada afanyaje?
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ukiacha Dar es Salaam, mikoa iliyobaki ujanja wao ni mchana tu, ikifika saa tatu usiku kila mtu yupo kwake

    Mikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote. Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke Saa saba usiku wauza chipsi bado wanamenya viazi. Juzi kuna mtuhumiwa kampiga na kitako cha bastola...
  17. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Ameniita kwake saa 5 usiku, nimeenda na mchungaji, baadae amenuna, nifanyaje?

    Wahuniiiiiiiii? Nimewaita Wahuni mje mumsaidie dada wa watu huku Alialikwa na mpenzi wake geto saa 5 usiku akaenda na mchungaji wa kanisani kwao Wakafanya ibada, saa 6 kasoro akaondoka kurudi kwao mchungaji akabaki geto mpaka asubuhi Sasa asubuhi bofriend anapigiwa simu na binti, simu...
  18. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana

    Kwema wakuu, tukiwa katika kijiwe chetu cha kahawa, baada ya kuhoji masuala fulani kuhusu mtu fulani anaye heshimika sana kwenye dini, sikupata majibu ila watu walikasirika sana na wakaapa kuwa leo saa 10 watanisomea albadiri na sitaiona kesho. Kwakweli nilifurahi sana nikawaambia kama kuna...
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kunguru wanaruka usiku huu saa 9:15, ni kawaida?

    Muda huu usiku wa saa tisa nasikia huko nje kunguru wanalia na wamepita kama wanaelekea sehemu. Je kuna disaster yeyote au hali hii inaashiria nini?
Back
Top Bottom