Vichekesho
JF-Expert Member
- Jun 20, 2024
- 1,162
- 3,049
Kwema wakuu, tukiwa katika kijiwe chetu cha kahawa, baada ya kuhoji masuala fulani kuhusu mtu fulani anaye heshimika sana kwenye dini, sikupata majibu ila watu walikasirika sana na wakaapa kuwa leo saa 10 watanisomea albadiri na sitaiona kesho.
Kwakweli nilifurahi sana nikawaambia kama kuna msaada watahitaji ili kukamilisha dua hiyo kwa ufanisi niko tayari kuchangia. Pia nimewaahidi wakitoka kusoma waje kijiweni na wakija waje na majibu kuhusu maswali niliyo wauliza na waandae majibu kuhusu kufeli kwa Albadiri yao.
Natoa wito kwa wataalamu wa Albadiri hapa JF kuongeza nguvu ili saa 10 jini lao lisifeli. Mkiona kimya mjue niko kwa allah wao nawapelekea moto wale madem 72 wa allah.
======
Updates:
Hivi sasa ni saa 1 jioni na hakuna chochote. Hakika jini limeyatimba, yaani limeingia kwenye mfumo.
Baada ya jini lao kufeli sasa wanasema hawataki kuniona kijiweni.
Nimewaambia walete kwanza majibu ya maswali yangu na wasinipangie pakwenda kwenye nchi yangu.