saa

  1. JamiiForums Tanzania Nauza saa unazozipenda na imara sana

    Chagua rangi unayoipenda – Gold Black au Silver Muonekano wa kisasa, unafaa kwa ofisini, sherehe na matumizi ya kila siku Quartz movement – zinatunza muda sahihi Zina kalenda (Date) Ubora wa hali ya juu Zinakaa vizuri mkononi Bei: 25,000/= tu Arusha Town 0712350159
  2. JamiiForums Tanzania Trump: Watu wa Iran saa ya ukombozi imewadia. Kwa miaka mingi mmeiomba Marekani msaada lakini hamkuupata, Tutakapomaliza kazi yetu chukueni nchi yenu

    Wakuu, Haya ni maneno ya Donald Trump baada ya Marekani na Israel kushambulia Iran "Hatimaye, kwa wananchi wa Iran, nasema usiku wa leo kwamba saa ya uhuru wenu imewadia. Kaeni mahali salama. Msitoke majumbani mwenu. Nje ni hatari sana. Mabomu yatakuwa yakidondoka kila mahali...
  3. JamiiForums Tanzania Namna ya kuunganisha saa Casio Edifece ECB-30 na Simu ili niweze kuset Mda na jiji la nchi niliyopo ili kupata mda sahihi.

    Wakuu mwenye experience na hiki kitu please anisaidie niunganishe hii saa na Simu kwani itakua rahisi hata kuset mda pale nitakapokua nasafiri kwenda nje au kurudi Tanzania.
  4. JamiiForums Tanzania Ukiniona natembea, naongea au ukikaa nami saa moja tu utajua mi ni Uislamu upo damuni

    Role Model wangu ni Mohammad. Namkubali sana kwa mambo yake na maisha yake. Mi napenda mademu. Nawachakata sana. Siyo kipolepole. Iwe mijimama/mishangazi na vichen chede. Hii ipo damuni kama kiongozi wangu rahma za aallah zimmulikie huko aliko. Masuala ya kupasuana kwa chupa, nondo, mawe...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Songea: Changamoto ya maji Eneo la Mkuzo imekuwa kero, mamlaka ya maji inafungua usiku saa 9 na kukata saa 11 alfajiri

    Ruvuma–Songea–Mkuzo kumekuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji hapa Songea. Mamlaka ya maji (SOUWASA) wamekuwa wakifungua maji usiku kuanzia saa 9 na kuyakata tena saa 11 usiku, hali inayowaathiri wananchi wengi kushindwa kupata huduma kwa wakati unaofaa. Ni vyema wakajirekebisha na...
  6. JamiiForums Tanzania Sali hizi Zaburi kila saa tisa na dk tano kila siku mojammoja siku 5 utamwona Mungu aliehai akikipignia sema. Mahitaji yako tisa usiku

    hapa nimekupangia maandishi yako kwa mpangilio mzuri lakini bado kwa herufi ndogo: day one no 1 1. omba Toba na Rehema juu yako familia yako ukoo wenu taja mababu na watoto wako kwa majina 2. ombea anga kemea pepo wachafu walioshikilia anga lako ombea anga la wanao na la sehemu...
  7. JamiiForums Tanzania Saa kiume na za kike

    Tunapoelekea msimu wa Valentine tumewaletea mzigo mpya na mkali wa saa za kike na za kiume. Saa zetu ni za ubora wa hali ya juu, nzuri sana na za kisasa. Unaweza kuvaa maeneo mbalimbali ofisini, kanisani, mitoko ya weekend n.k Lakini pia unaweza toa kama zawadi kwa uwapendao hususani kipindi...
  8. JamiiForums Tanzania KERO TANESCO jamani kuzima umeme saa 9 usiku ndio nini sasa?

    Baadhi ya maeneo ya Dar usiku mkali wa leo TANESCO mmekata umeme. Ili joto + mbu ni mateso.
  9. JamiiForums Tanzania Unatafuta saa nzuri, imara na ya kisasa?

    ⌚ CASIO ORIGINAL – CLASS & UBORA WA KWELI ⌚ Unatafuta saa nzuri, imara na ya kisasa? 👉 Casio Original ndio chaguo sahihi kwako. ✅ Muonekano wa kisasa (Classic & Modern) ✅ Ubora wa kudumu ✅ Inafaa kazini, sherehe na matumizi ya kila siku 💰 Bei: 25,000/= tu 🚚 Delivery ndani ya Jiji la Arusha ipo 📦...
  10. JamiiForums Tanzania Ubishi Wageuka Ushindi: Brown Anthony Avuka Mbeya–Dar kwa Pikipiki Ndani ya Saa 10

    Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Hotuba ya kuuaga mwaka 2025 itarushwa live saa ngapi?

    Kama mjuavyo tunauaga mwaka 2025 kwa kishindo cha Ushindi wa 97.6%. Hivyo kama ilivyo kawaida ya Mheshimiwa kutoa Hotuba ya kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya. Je Hotuba itarushwa saa ngapi? Televisheni gani? Je zifuatazo ndio Dondoo za hotuba? 1. Taifa Stars Kufuzu AFCON 16 Bora (pongezi...
  12. JamiiForums Tanzania Treni ya SGR yakwama Ngerengere kwa saa mbili

    Abiria wanaosafiri na Treni ya SGR iliyotoka Dodoma saa 11:15 alfajiri kuelekea Dar es Salaam, wamekwama Stesheni ya Ngerengere kwa zaidi ya saa mbili huku ikitajwa kuna hitilafu imejitokeza Stesheni ya Soga, japo taarifa haijafafanuliwa ni hitilafu gani, abiria wameshuka nje ya treni huku wengi...
  13. JamiiForums Tanzania Mtindo wa kukamata na kuweka kizuizini zaidi ya Saa 24: Je, Ni adhabu ya muda iliyobuniwa?

    Katika siku za karibuni, nchini kumeendelea kushuhudiwa matukio ya watu kukamatwa na vyombo vya dola, hususan Jeshi la Polisi, na kushikiliwa mahabusu kwa muda mrefu zaidi ya saa 24 bila kufikishwa mahakamani au kupewa dhamana. Baadhi ya watuhumiwa huachiwa huru baada ya siku kadhaa bila...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

    Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 11, 2025
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Hakuna maandamano askari wako mitaani, video zinazotumika ni za zamani

    Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo. Hiyo ni kwa mujibu wa...
  16. I

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maelekezo kutoka juu, internet inazimwa saa saba kamili mchana

    Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
  17. JamiiForums Tanzania Simba Sc Vs Mbeya City|NBC Premier League| Meja Jeneral Isamuhyo Stadium| Desemba 04, 2025| Saa 19:00 Jioni

    Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC leo, Mnyama Simba atashuka dimbani kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo. Kikosi cha Simba kitaongozwa na kocha wao wa muda mrefu ndani ya klabu, Seleman Matola. Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita, klabu ilimtangaza kumfuta kazi Meneja Mkuu Dimitar...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hivi zile Saa 24 alizotoa Augustin Polepole hazijaisha bado?

    Makamanda Shalom! Makamanda juzi niliona lile lilevi Augustino Polepole anapiga mikwala kwenye Clip moja iliyowekwa humu JF Asubuhi naamka najiuliza hivi haya masaa 24 ambayo yametolewa hayajaisha bado kwa sababu walevi huwa na mambo mengi asije akatuacha kwenye taharuki makamanda kumbe yeye...
  20. JamiiForums Tanzania TAMISEMI yawataka watumishi kuripoti kazini saa 1:30 asubuhi

    Watumishi wa TAMISEMI mmefikiwa huku Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa amewataka watumishi wote waliopo chini ya Tamisemi nchi nzima kuzingatia muda wa kuripoti na kudumu kazini kulingana na kanuni za kudumu za utumishi wa umma. Amesema watumishi wanapaswa kufika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…