Daah hii ngumu kumeza.Kitaiva kweli?
endelea kusubiri supu ya maweKitaiva kweli?
Ndiyo kitaiva kabisa ila sio sasa hivi. Kwani anapika kitu gani broo? Kama ni tembele; litaliwa baada ya robo saa tu. Kuwa mvumilivu kidogo. Kama ni makukuru (mahindi makavu yaliyochemshwa) italiwa baada ya masaa 3-4 uwe na uvumilivu mkubwa.Kitaiva kweli?
Suruali ya kijani,tight-skin(kitaiti) cha zambarau na sufuria la makoronya vimeziba/ficha siri za mchanganyiko pishi la maridhiano.Mashuhuda na washiriki wa ilimradi wana hamu kweli likiiva wapakuliwe,wale.Kitaiva kweli?