Nina haja nawe kila saa

Nina haja nawe kila saa

Mtu wa Mungu naomba nikutie moyo katika vita unavyopitia maishani. Mungu ameruhusu hivyo vita maana anajua njia ya pekee ya wewe kuendelea kuimarika katika maisha yako ya imani na mahusiano yako na Yeye ni kwa njia ya hivyo vita na hizo changamoto unazopitia maishani.

Kumbuka siku zote uwapo vitani, haijalishi hiyo vita ni kubwa kiasi gani, si kubwa ukilinganisha na vita vilivyo mbele yako katika siku za usoni. Vita vya jana vinakuandaa kwa ajili ya vita vya leo na kadhalika vita vya leo vinakuandaa kwa ajili ya vita vya kesho.

Wakati Daudi akiwa peke yake kule nyikani na kondoo za baba yake, alitokewa na dubu na simba. Daudi angeweza kukimbia maana kw a kweli ukilinganisha dubu na simba na Daudi, Daudi asingekuwa kabisa na uwezo kwa namna ya kawaida kukabiliana nao. Lakini Daudi katika ushuhuda wake kwa Sauli alisema kuwa Mungu alimwokoa na kinywa na makucha ya Dubu na Simba.Ushuhuda wa vita vyake vya jana vilikuwa kianzio vya vita vyake vya leo. Daudi aliandaliwa na vita vyake dhidi ya dubu na simba kukabiliana na Goliati maana Mungu aliyemwona alipokabiliana na dubu na simba alikuwa na uhakika kabisa kuwa ni Mungu atakayemwona atakapokabiliana na Goliati.

Usidharau vita vyako vya leo maana vinakuandaa kwa ajili ya vita kubwa zaidi kesho. Mungu anaikuza imani yako kupitia vita vyako vya leo ili iwe imara vya kutosha kwa ajili ya vita vyako vya kesho.

Usikubali kunyong’onyeshwa na pito lolote la leo.

Chukulia kama ni maandalizi kwa ajili ya mapito makubwa zaidi kesho.

Endelea kumwamini Mungu katika lile ulipitialo leo.

Katikati ya vita unavyopitia ukihakikisha haya unayafanya kwa uaminifu na nidhamu ya hali ya juu utu wako wa ndani utazidi kuimarishwa katika hali hiyo unayopitia.

Kwa hiyo hatulegei; bali ijapokuwa utu wetu wa nje unachakaa, lakini utu wetu wa ndani unafanywa upya siku kwa siku. Maana dhiki yetu nyepesi, iliyo ya muda wa kitambo tu, yatufanyia utukufu wa milele uzidio kuwa mwingi sana; tusiviangalie vinavyoonekana, bali visivyoonekana. Kwa maana vinavyoonekana ni vya muda tu; bali visivyoonekana ni vya milele. 2 KOR. 4:16-18 SUV
 
Sasa hakunaga siku mtu unapataga faraja kila siku shida tu
 
YESU NI MUNGU BILA UBISHI HILO HALIPINGIKI KWA YEYOYOTE AMA CHOCHOTE.

JESUS FIRSTJESUS FOREVER

IN JESUS WE MUST TRUST AND WORSHIP.

JESUS IS GOD WHETHER YOU LIKE IT OR NOT

Jagina Malaria 2

adriz de mbusii
 
🙏🏿🙏🏿
 
Mungu kachambishwa na kuogeshwa SubhanaLlah!

Mungu kapigwa misumari SubhanaLlah !
Halafu Mungu akatamka maneno haya:

Quran

Al-Baqarah

2:120

وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ ٱلْيَهُودُ وَلَا ٱلنَّصَـٰرَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى ٱللَّهِ هُوَ ٱلْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ ٱتَّبَعْتَ أَهْوَآءَهُم بَعْدَ ٱلَّذِى جَآءَكَ مِنَ ٱلْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ ٱللَّهِ مِن وَلِىٍّۢ وَلَا نَصِيرٍ ١٢٠

Never will the Jews or Christians be pleased with you, until you follow their faith. Say, “Allah’s guidance is the only ˹true˺ guidance.” And if you were to follow their desires after ˹all˺ the knowledge that has come to you, there would be none to protect or help you against Allah.

Unawaona Wachina,Wajapani au Wahindi???? Unahisi kwa nini Allah hakuwataja??

Yesu nakuhitaji vivyo kila saa niwezeshe mwokozi nakuujia .??

Nimekosa nguvu kila saa matatizo.
Hayaishii huwezi ukasema nipo sawz sasa ukafurahi unaletewa jingine hadi mtu anachoka eti
Ukiwa duniani changamoto hazikwepeki, zinaweza kuwa tofauti kati ya mtu na mtu.

Changamoto hazitadumu milele, hivyo kaza moyo tu.
 
😄😁😆😅🤣😂bwahahha Hahaha

Wengi sana tunapitia hizo hali,leo asubuhi nilitamani nizime simu zote nisafiri hata mkoni hanijui mtu nikae nitulie tu.
 
Back
Top Bottom