44mg44 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2019 Posts 2,159 Reaction score 2,189 Jan 1, 2022 #1 Mwenye taarifa naomb aweke hapa,il nijiandae mapema kwenda kumshuhudia tukio kubwa na mhim katka soka la Tanzania Karibun
Mwenye taarifa naomb aweke hapa,il nijiandae mapema kwenda kumshuhudia tukio kubwa na mhim katka soka la Tanzania Karibun
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,047 Reaction score 10,159 Jan 1, 2022 #2 Saa moja kamili usiku
Song of Solomon JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 2,750 Reaction score 5,643 Jan 1, 2022 #3 44mg44 said: Mwenye taarifa naomb aweke hapa,il nijiandae mapema kwenda kumshuhudia tukio kubwa na mhim katka soka la Tanzania Karibun Click to expand... Ishaisha kitambo mbumbumbu wameukalia
44mg44 said: Mwenye taarifa naomb aweke hapa,il nijiandae mapema kwenda kumshuhudia tukio kubwa na mhim katka soka la Tanzania Karibun Click to expand... Ishaisha kitambo mbumbumbu wameukalia
Yakuza Mobb Member Joined Dec 27, 2021 Posts 57 Reaction score 117 Jan 1, 2022 #4 Song of Solomon said: Ishaisha kitambo mbumbumbu wameukalia Click to expand... Ushazoea kukalia chupa
Song of Solomon said: Ishaisha kitambo mbumbumbu wameukalia Click to expand... Ushazoea kukalia chupa
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,334 Reaction score 130,094 Jan 1, 2022 #5 Azam Fc, piga hao mbumbumbu fc! Hakuna timu hapo!!
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,073 Jan 1, 2022 #6 Saa moja usiku Simba anamla dadake binamu. Kaa utulie ucheki mpira wa kiufundi achana na mechi za mchongo.
Saa moja usiku Simba anamla dadake binamu. Kaa utulie ucheki mpira wa kiufundi achana na mechi za mchongo.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,639 Reaction score 193,621 Jan 2, 2022 #7 Simba 2 - Azam 1