rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuongeza ufanisi katika kupambana na Rushwa ni suala muhimu sana nchini Tanzania

    Rushwa ni tatizo kubwa nchini Tanzania na ina athari mbaya kwa uchumi, maendeleo ya kijamii, na utawala wa sheria. Tanzania imeshuhudia matukio mengi ya rushwa katika miaka ya hivi karibuni, na taarifa zinaonyesha kuwa tatizo hili linaweza kuwa kubwa kuliko inavyofikiriwa. Kwa mfano, ripoti ya...
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Je, Rushwa imewahi kukuumiza au inakuumiza kwa namna gani?

    Watu wanaonufaika na rushwa na ufisadi wanaonekana kujivunia kwani wanapata pesa nyingi kwa muda mfupi tena bila hata kutokwa na jasho. Ubaya zaidi ni kwamba wanaojihusisha navyo wanaweza kupandishwa vyeo na kupata fursa nzuri zaidi kuliko wengine. Hali hii inanaendelea kuaminisha wengi kwamba...
  3. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani acheni Rushwa, simamieni sheria

    Wananchi wanaotumia Barabara ya Mbeya - Chunya wamelitaka Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani, askari wake kuacha kuchukua rushwa na badala yake wasimamie sheria. Wananchi hao wamelalamikia kitendo cha mabasi ya Mbeya -Chunya kuzidisha abiria kinyume cha utaratibu. Mabasi yanayotoka...
  4. Hot bird

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TCU na TAKUKURU itazameni rushwa iliyotawala Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

    Ninaandika mambo haya kwa masikitiko kutokana na mustakabali wa elimu ya nchi inavyoharibiwa na baadhi ya viongozi kutojali. Leo nitatoa habari za hali ya rushwa na kutojali ubora wa elimu iliyotawala SUA, hiki ni chuo kikuu kilichopo hapa Morogoro, chenye kampasi kuu Magadu na kitivo kingine...
  5. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkuu wa chama cha walimu Tanga na sakata la rushwa

    Chama cha walimu Tanzania kinafanya mkutano wake mkuu tarehe 17 Machi 2023 Jijini Tanga haya yakiwa ni maamuzi ya mkutano mkuu wa kikatiba uliofanyika Disemba 2022. Pamoja na mambo mengine lengo ni kumchagua naibu katibu mkuu baada ya aliyekuwa naibu katibu mkuu Japhet Maganga kupandishwa ngazi...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Iundwe tume ya kushughulikia rushwa na urasimu katika ofisi za umma

    Habari! Hali ni mbaya sana. Kama mtumishi wa umma unafika ofisi nyingine ya umma unakutana na urasimu (mizunguko isiyo na ulazima au ucheleweshwaji wa huduma)je, wananchi wanakutana na vizingiti vingapi wanapohitaji huduma kwenye ofisi za umma? Serikali iunde tume ya kuchunguza urasimu na...
  7. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Je, kuna jitihada za dhati za kumaliza rushwa na ufisadi?

    Nimetafakar san jambo hili lakini binafsi sioni jitihada wala nia ya dhati ya kukomesha ufisadi, rushwa, ubadhirifu wa mali za umma!! Hivi kwel tunaona tume zikiundwa mara vikosi kazi! Je kwann haviundwi vikosi kaz vya kuchunguza ufisadi, na rushwa? Tumeona report nying za CAG mpaka kuweka waz...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Rais Samia amepwaya kudhibiti rushwa, nidhamu ya watumishi wa umma

    Inasaidia nini kupiga soga na kina Mbowe na kuonyesha umma kuwa mnademokrasia wakati mali za umma zinaibiwa na wananchi wanateseka. Hizi ni demokrasia uchwara Sasa hivi akina mama wakienda kujifungua imekuwa biashara. Huko nyuma haya mambo yalikoma. Polisi wanamaliza kesi wanavyotaka...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rushwa yavuruga Uchaguzi wa Mwenyekiti mpya TLP

    Uchaguzi wa kuziba nafasi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, marehemu Augustine Mrema, umeshindwa kufanyika leo Machi 6, 2023 kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa viashiria vya rushwa, maelewano mabaya baina ya wagombea. Machi 5 Halmashauri Kuu ya TLP ilipitisha majina ya wagombea watano...
  10. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanaweza kuzuia Rushwa Tanzania

    Rushwa ni hali ya mtu kutenda au kutokutenda jambo fulani kwa mtu au kikundi cha cha watu kwa nia ya kujipatia faida binafsi, Baada ya kupatiwa au kuahidiwa kupatiwa kiasi fulani cha fedha au vitu vinginevyo, Kinyume cha matakwa au misingi ya kazi. Kutokana na maana ya rushwa hapo juu utagundua...
  11. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kutokomeza rushwa na ufisadi?

    Kumekua na jitihada nyingi ingawa sio halisi za kupambana na ufisadi mpaka ukaundwa Mahakama ya mafisad! Binafsi naamin katika sheria kali ambazo zitapatikana kupitia katiba mpya. Hatuwez kamwe kupambana na ufisadi, rushwa na ubadhirifu wa mali za umma kwa mfumo huu wa utawala na katiba...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Taifa lililokufa kimaadili, rushwa, uwizi, ubakaji, dhuluma kila mahali

    Nchii hii haina maadili hata sehemu Moja, nimejaribu kuchunguza juu juu ni kwamba hamna uaminifu hata sehemu Moja, uraiani, biasharani, Serikalini. 1. Serikali inaiba uchaguzi wazi wazi 2. Kupata tenda Serikalini mpaka uhonge au Kiongozi mkubwa awe nyuma yako 3. Kupata uteuzi , Kuna kikundi...
  13. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Namna wenzetu wanavyoona aibu kuiba mali za Umma

    Kuna kipindi nilikwenda Japan kwa shughuli flani. So nikawa nacheck news kwenye television, na uzuri Station niliyokua naangalia ilikua inatumia lugha ya Kiingereza katika kurusha matangazo yake so nilielewa vizuri tu kilichokua kinazungumzwa. Mtangazaji alitangaza kwamba kuna maiti ya...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Polisi maarufu kama Tigo, huwabambikia makosa bodaboda na kuwalazimisha kutoa rushwa. Mamlaka iingilie kati

    Polisi wanaotembea na pikipiki maarufu kama (tigo), wanadaiwa kuwafanya bodaboda kama wahalifu kwa kuwakamata ovyo na kuwazungusha bila kuwapeleka kituoni wasipotoa pesa kwa lengo la kumalizana juu juu. Bodaboda wasiolipa pesa hupelekwa kituoni pasipo kujua hatma yao, pikipiki huchukuliwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji, NIDA Kinondoni ni shida

    Kuna mtu ameenda NIDA kupata kitambulisho akiwa na cheti cha darasa la saba akaambiwa lazima awe na cheti cha kuzaliwa kwa kuwa yeye amezaliwa miaka ya tisini. Baada ya kupata cheti cha kuzaliwa akawa na viambatanisho vitatu; Cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la saba na leseni ya udereva...
  16. M

    JamiiForums Tanzania NIDA ni ufahamu mdogo wa baadhi ya watumishi au Rushwa?

    Kuna mtu ameenda NIDA kupata kitambulisho akiwa na cheti cha darasa la saba akaambiwa lazima awe na cheti cha kuzaliwa kwa kuwa yeye amezaliwa miaka ya tisini. Baada ya kupata cheti cha kuzaliwa akawa na viambatanisho vitatu; Cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la saba na leseni ya udereva...
  17. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Kwanini tukarabati kivuko kwa Tsh. bil 7.5 wakati kipya ni bil 8.5?

    Wadau nawasabahi. Nikiwa mlipa kodi pamoja na tozo mbalimbali najisikia uchungu sana kusikia kuwa Serikali inataka kukarabati kivuko cha Mv Magogoni kwa bil.7. wakati bei ya kuunda kivuko kipya ni kati ya bil.8.5 -9 Najiuliza kwanini ufanyike ukarabati? Kwanini kisinunuliwe kivuko kipya...
  18. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Walimu na Chama cha Walimu wasubiri kwa hamu hukumu ya Deus Seif na Abubakari Alawi kesho tar. 17 Februari 2023

    Kama inavyofahamika, watajwa hapo juu walikuwa ni viongozi wa chama cha walimu Tanzania, Deus Seif akiwa katibu mkuu na Abubakari Alawi akiwa mweka hazina wa Taifa. Walishtakiwa na Jamhuri (TAKUKURU) Mei 2021 kwa kesi ya uhujumu uchumi, wizi wa fedha za walimu na matumizi mabaya ya madaraka...
  19. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Star Link yaanza kupigwa vita na makampuni ya simu isije Tanzania

    Makampuni mawili ya simu sitaki kuyataja wameanza mkakati wa kuhakikisha Star link haiji Tanzania kwa kuhofia ushindani. Kibaya zaidi wanagawa rushwa na hata juzi walikua na kikao kizito kizito na baadhi ya watu wasio waaminifu kutoka Tcra na maafisa kadhaa wa serikali. Hebu imagine hawa watu...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini aitwe shujaa katikati ya wenye wivu na wazembe wala rushwa na kulewa asali?

    Ni kwa sababu moja tu! JPM, hakuwa mvivu, ni mtu aliyekerwa sana vinchi vidogovidogo kuwa juu yetu kiuchumi, Uchapakazi wake na kasi yake; maono makubwa na ya mbali kuliko ilivyotarajiwa na wengi! Ilimfanya atrend haraka na kueleweka kwa kila mtanzania mwenye akili timamu bila kujua kwamba hilo...
Back
Top Bottom