rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Itungwe sheria kuhalalisha rushwa ya trafiki ili walau tuambulie kodi

    Hali ya rushwa kwa askari wa usalama barabarani imefikia kiwango cha kutisha sana, majuzi hapa nilikuwa nasafiri na gari majira ya usiku wa manane, askari akanisimamisha nikakutwa na makosa, nikamwomba anisamehe akakataa kunisamehe, nikamwambia basi naomba uniandikie faini, akafoka kwa sauti...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Askari wa Barabarani wakianza kuvaa Kamera itapunguza Rushwa

    DODOMA: Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amelitaka Jeshi la Polisi kukamilisha mchakato wa matumizi ya Kamera zitakazokuwa zikivaliwa na Askari wakiwemo wa Usalama Barabarani kwa lengo la kudhibiti Vitendo vya Rushwa Dkt. Mpango ameeleza hayo wakati akizindua Kituo cha Polisi Daraja A, Mtumba...
  3. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ifanye manunuzi, malipo na usimamizi wa fedha za miradi kidigitali ili kuzuia ubadhirifu na Rushwa katika ngazi zote

    UTANGULIZI Kwa kipindi kirefu kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma katika serikali kupitia miradi mbalimbali kitu kinachopelekea serikali kupoteza fedha nyingi pasipo kuwa na ulazima na mara nyingine baadhi ya miradi kukwama kutokana na uhaba wa fedha kwa sababu ya ubadhilifu. Chanzo kikubwa...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mgambo wa Kijiji cha Majalila washtakiwa kwa kuomba Rushwa ya Tsh. 200,000

    PIUS LYAMBISE na NESTORI GABULIELI wanashtakiwa kwa kuomba hongo ya Sh. 200,000/- kinyume na kifungu cha 15 (1) (a) na (2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329 marejeo ya Mwaka 2022. Akisoma hati ya Mashtaka, Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU Amos Mwalwanda amesema, washtakiwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lissu ajenga Hoja nzito ya kwa nini anakemea Rushwa ndani ya Chana hadharani- Ameeleweka

    Akiongea na wananchi wa Mpwapwa Jana, Ndugu Lissu anasema kuwa Wiki takriban mbili amekuwa akishambuliwa "kisiasa" na watu wa makundi matatu kutokana na kauli zake za kuhoji aina ya muungano tulionao na pia kwa kukemea rushwa ndani ya chama. Amesema kuna makundi matatu yameng'aka kwa kauli...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Je, nini kifanyike ili kuongeza Ushiriki wa Wananchi katika Mapambano dhidi ya Rushwa?

    Je, unaridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Mamlaka katika kushughulikia Matukio na Taarifa za Rushwa na Ubadhirifu nchini? Unaweza kutoa maoni yako na kupendekeza njia Bora za kupambana na Rushwa kupitia Mjadala utakaoendeshwa na JamiiForums Alhamisi Mei 30, 2024 Saa 12:00 Jioni hadi 2:00...
  7. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Rushwa za CCM kujaribu kuibomoa CHADEMA ni nyingi mno

    08 May 2024 Mpwapwa, Dodoma TUNDU LISSU LAZIMA TUPIGE VITA RUSHWA, CCM WAMETUMIA RUSHWA TANGU 2015 KUCHUKUA VIONGOZI CHADEMA WAUNGE JUHUDI Source : the chanzo Ndiyo maana wamekuwa wakali baada ya njama za kutumia rushwa kuingilia uchaguzi wa ndani niliosema kule Iringa anasema Tundu Lissu...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TAKUKURU: Tunaendelea kuchunguza madai yaliyotolewa na Lissu kuhusu fedha chafu ndani ya CHADEMA

    Nipashe imemtafuta Mkuu wa TAKUKURU nchini, Salum Hamdani kutaka kujua uchunguzi wa jambo hilo umefikia wapi baada ya TAKUKURU kutangaza kufanya uchunguzi baada ya kiongozi huyo kutoa shutuma dhidi ya chama chake akiwa kwenye mkutano wa hadhara mjini Iringa. “Uchunguzi ni ‘process’ na inachukua...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Mkoa wa Mbeya asema CHADEMA imejaa watu wenye roho mbaya, asema uchaguzi wa chama umejaa rushwa ya kutisha

    Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa rushwa ya kiwango cha kutisha, kiasi kwamba aliamua ajiondoe kuogombea uenyekiti wa chama mkoa wa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Malawi afutiwa kesi ya kupokea Rushwa ya upendeleo wa Tenda za Serikali

    Mahakama ya Malawi imefuta mashtaka ya rushwa dhidi ya Makamu wa Rais Saulos Chilima baada ya mwendesha mashtaka wa serikali kuwasilisha notisi ya kusitisha kesi hiyo. Hakuna sababu zilizotolewa kwa uamuzi huo. Dkt Chilima alikamatwa Novemba 2022 kwa madai kwamba alikubali pesa kwa ajili ya...
  11. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli?

    Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli? Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa ya rushwa. Rushwa ni kizuizi kikubwa kwa maendeleo yetu, kwani inakatisha tamaa uwekezaji, inasababisha ukosefu wa usawa, na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani chanzo cha rushwa za ngono maofisini?

    Mu Hali gani humu? Tutete kidogo kuhusiana na Rushwa za ngono hasa maofisini. Suala la rushwa ya ngono maofisini limekuwa gumzo Kila kukicha, sasa Kuna sehemu niliketi buana, tulikuwa wanaume na wanawake. Hii MADA ikaja mezani, Guess what! Wanaume takriban wote hoja Yao ilikuwa ni kwamba...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi na TFF hawa wazee wote waondoke. But nani wa kuwatoa?

    I will be short These are the most useless individual in our football. i believe we could have been better than what we are today. 1. Ligi yetu ina panga matokeo kama ligi ya Kenya. Shame shame. Why only 3 teams. Why not favor all teams. Small teams more. 2. Time table aipo equal in all...
  14. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya ligi mlisema utafuatilia Rushwa kwenye michezo haswa kipindi hiki ligi ipo mwishoni. Je, mmeona goli walilonyimwa Tabora United?

    Kuna mikakati maalumu (kabambe) imeeandaliwa ili lastborn Simba SC ashike nafasi ya pili Hilo lipo wapi. Goli walilofunga Tabora united na kudhurumiwa goli HIZO ni Juhudi za wazi kabisa kuwa Simba SC wametengenezewa mazingira ya kushika nafasi ya pili ili Azam FC ashike nafasi ya tatu TFF na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali za Mitaa zinavyoshilikiana na polisi wa Madale kuwaumiza wananchi kwa rushwa

    Habari ndugu! Kuna kero inaendelea huku Tegeta Msigani kwenye Mto wa Kinondo. Mwenyekiti wa CCM wa Serikali za Kijiji amezidiwa tamaa ya pesa na mapolisi wa Madale. Kuna wachota mchanga kwenye bonde ambapo sasa hivi limepanuka zaidi na kuwa mto, hivyo wanafunzi wanaosoma Msigani Primary wapo...
  16. Tryagain

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hoja ya rushwa upande mmoja iliyotolewa na Tundu Lissu

    Tar 2 May Mh Lissu akihutubia Mkoani Iringa alitoa shutuma za Rushwa kwa Mafumbo, lakini alikua akimlenga Mh. Joseph Mbilinyi, lengo lake kwenda Iringa ni Kumshika Mkono Rafiki yake Peter Msigwa. Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa mwenye upande, ameamua kwa uwazi kumuunga Mkono Mh. Msigwa. Uhalali...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yaahidi Kuchukua Hatua Kali za Kisheria kwa Mabaraza Yanayofanya Maamuzi ya Migogoro ya Ardhi kwa Mienendo ya Rushwa

    SERIKALI YAAHIDI KUCHUKUA HATUA KALI ZA KISHERIA KWA MABARAZA YANAYOFANYA MAAMUZI YA MIGOGORO YA ARDHI KWA MIENENDO YA RUSHWA "Lini Serikali itahamisha Mabaraza ya Ardhi kwenda kwenye mfuko wa Mahakama?" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya "Katika jitihada za kuboresha mfumo...
  18. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: SGR kukuza uchumi wa nchi, kupunguza ajali barabarani iwapo bei za nauli zitazingatia vipato vya wananchi

    Naipongeza serikali kwa ujenzi wa reli ya kisasa,pia kwa kuona kuwa hatuwezi kuendesha reli ya kisasa bila kuwa na umeme wa uhakika na wakaona wajenge Bwawa kubwa la maji la Mwl.Nyerere kwa ajili ya kuzalishia umeme sababu umeme tuliokuwa nao usingetosha kwa matumizi na kwa ajili ya kuendeshea...
  19. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TAKUKURU kuchunguza madai ya Rushwa ndani ya CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Gazeti la Mwananchi limeripoti ya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Hamduni amesema ya kuwa watachunguza na kufuatilia tuhuma za rushwa ndani ya CHADEMA. Rai yangu ni kuwa ni muda sasa Lissu akatoe ushahidi wake wa Vitendo vya rushwa. Maana Lissu ndio amesikika...
  20. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maeneo matano ya kimkakati ambayo serikali inaweza kuyawekea mkazo kudhibiti ubadhirifu wa fedha za umma na rushwa

    1.IUNDWE TUME YA UDHIBITI UBORA WA MIKATABA NA USHAURI KWA SERIKALI (National Commission for Contracts Review and Consultation) Iwe taasisi huru yenye jukumu la kupitia mikataba yote ya kimkakati inayohusu fedha za umma. Taasisi hiyo ihusike kuchambua kwa kina mikataba yote kwa mapana yake na...
Back
Top Bottom