rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumekucha: Mchungaji Msigwa amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi Kanda ya Nyasa

    Mchungaji Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa anayemaliza muda wake amepinga Mjumbe wa sekretari Mrema kusimamia Uchaguzi jimboni kwao Source Jambo TV Yajayo yanafurahisha😀 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa, ambaye pia anagombea kutetea...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rushwa za uchaguzi ujao makanisani zimeanza. Watumishi wa Mungu chukueni tahadhali

    Askofu Dr Shoo amenena ukweli kuwa Rushwa za uchaguzi zimeanza kupenyezwa kwenye makanisa na misikitini, bila aibu watumishi wa Mungu na waumini chukueni tahadhali za kutosha ili msije mkajidhalilisha kwa umma wa Tanzania. Wananchi wanaona yanayotendeka kipindi hiki kwa viongozi wetu...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Rushwa imehalalishwa? Mbona sehemu nyingi ukienda watu wanadai rushwa bila kificho?

    Wakuu hivi ni mimi sina taarifa au vipi? Mbona kila sehemu ukienda watu wanadai rushwa bila kificho? Immigration, TANESCO hata TRA. Nini kimetokea ghafla? 1. Immigration - ili upate passport lazima ujipange sawasawa, zile siku zilizoainishwa ni geresha? 2. Kuwekewa umeme - unaambiwa hamna...
  4. MURUSI

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Elimu ya Fedha kwa Raia ni Muhimu kwa Maendeleo ya Taifa. Tuanze na watoto sasa

    TUANZE NA WATOTO ELIMU YA KIFEDHA Moja ya elimu muhimu sana tulio ikwepa ni elimu ya fedha, ambayo huenda ingetusaidia sana kwenye mipango yetu ya maisha ya kila siku na hivyo kusaidia taifa hili. Watanzania wengi hatuna elimu ya kifedha nikiwemo mimi ninaye andika hii story. tusichanganye...
  5. 4

    JamiiForums Tanzania Lissu yupo sahihi sana kuhusu rushwa, huenda inatembea ndani ya chama

    Wakuu JF Bwaana awe nanyi popote mlipo. Hili andiko fupi sana wakuu. Katika mikukutano kama sio moja amesikika makamu mwenyekiti akilalamika uwezekano wa rushwa ndani ya chama na wengi walibeza kumbe mh lissu alimanisha kama ambavyo amekua akitoa hoja na watu zichukulia poa. Kuna uchaguzi wa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa kutoa fedha kwenye vikundi vya watu wenye mahitaji maalum ni rushwa tupu

    Kuna wakati tuliungana kuomba mkopo unaotolewa na serikali kwa kweli tulifanikiwa katika hatua zote mpaka usajili wa kikundi tulipata tukafungua na account bank ya kikundi na mradi wetu na wazo letu lilikuwa la mfano kwa namna tulivyoliandaa ila sasa ilipofikia kwenye kupewa hela changamoto...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Demokrasia, Rushwa na ushiriki wa chama cha siasa kwenye serikali ya wanafunzi - kuna shida Mzumbe!

    Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa chuo kikuu MZUMBE, Ndaki Kuu (Morogoro). Nalalamikia namna ambavyo serikali ya wanafunzi, ambayo kwa mujibu wa sheria za Nchi - universities Act, Mzumbe Charter na Katiba ya Serikali ya wanafunzi chuo Kikuu Mzumbe haviruhusu Shughuli ama kufungamana na vyama vya...
  8. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Victoria wagubikwa na Ugomvi

    HUU NI UCHAGUZI WA VIONGOZI WA CHADEMA KANDA YA VICTORIA, UCHAGUZI HUO UMEFANYIKA USIKU WA TAREHE 24.05.2024, WAMEPIGANA KWA KUTUHUMIANA KWA VITENDO VYA RUSHWA. WAMEANZA KUPIGANA WAO KWA WAO....TUTAONA MENGI SANA...YETU MACHO. KWA HALI HII MWISHO WA CHADEMA UMEKARIBIA.
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ili Rushwa kwa Askari wa Usalama Barabarani iweze kuisha, Waanze kuadhibiwa mbele ya Vyombo vya Habari

    Rushwa kwa askari wa usalama barabarani ni tatizo kubwa ambalo linaweza kuwa na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uwazi na uhakika katika utekelezaji wa adhabu. Kuna mambo kadhaa yanayoweza kuchangia rushwa kwa askari wa usalama barabarani: 1. Adhabu Zisizoeleweka: Kama adhabu...
  10. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania SoC04 Huduma za Kiserikali zitolewe kupitia TEHAMA/Mtandao, kupunguza rushwa, gharama na lugha mbaya kutoka kwa baadhi ya watumishi wa umma kwa wananchi

    1. 0 UTANGULIZI. Habari zenu watanzania na wananchi wenzangu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania? Nawasalimu nikiwa na furaha kubwa sana na nikiwa na lengo la kuchangia mawazo yangu kwaajili ya kuboresha zaidi huduma za serikali dhidi ya wananchi wa Tanzania ambao ndio sisi (Mimi na Wewe). Wengi...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania TRA mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD ni hatua sizizo na tija zaidi ya kutengeneza mwanya wa rushwa

    Kwenye taarifa iliyoambatanishwa hapa chini, TRA imeingia mkataba na the International Growth Centre (IGC) taasisi ya kitafiti iliyoko ndani ya London School of Economics ya kufunga mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD. Kwa mjibu wa mpango huo TRA watakuwa wanatuatilia mwenendo wa utowaji wa...
  12. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Uonevu na rushwa zimehalalishwa kisirisiri nchini?

    Ukiwaacha JWTZ, ni taasisi ipi ya uma raia wa kawaida ana imani kuwa atatendewa haki bila kuinunua? 1. Polisi? Wengine wanasema kuingia kituo cha Polisi ni bure lakini kutoka ni hela 2. Mahakama? Malalamiko ni mengi kuwa hata watafsiri Sheria nao baadhi yao si wasafi 3. TRA? Inasemekana ni...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wakusanya tozo za parking Jijini Mwanza wala Rushwa wakubwa mtaa wa Kalutta

    Mkurugenzi wa jiji kuna kikundi kinachotoza tozo za parking jijini Mwanza hususani eneo la mtaa wa Kaluta wanakamata magari na kuyafunga minyororo huku wakidai Rushwa msipoangalia kikundi hiki kitawaharibia kabisa CCM kipindi hiki kwa vile wanafai kutumwa kufanya hivyo na Mkurugenzi Kibamba...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watendaji wanadai hongo ili kupitisha barua za ajira zinazoelekezwa kwao kabla hazijafika kwa Mkurugenzi

    Kumekuwa na changamoto za watendaji kudai hongo kwenye post za ajira zinazoelekeza barua kupitia kwa watendaji ili barua yako ifike kwa mkurugenzi. Pia fursa zikija mtaani bila kutangazaa ajira portal hawatangazi kwa wanakijiji wanatembeza kimagendo ili wajiptie fedha.
  15. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vyombo vya Habari za kiuchunguzi ndio suluhisho la uzembe na rushwa kwa Taasisi za Serikali

    Japo ni ngumu kwa nchi za Afrika lakini bado tunaweza. Tumeona naibu rais tayari ameagiza jeshi la polisi kuanza kutumia mfumo wa kurekodi matukio yao wanapokuwa kazini, jambo jema sana lakini bado kunahitaji mengi zaidi. Miradi mbalimbali sa serikali inakwama au kuendelea taratibu tofauti na...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza awahamasisha wanachadema sasa waandamane kuelekea ofisi za chama chao kupinga rushwa

    Kumekucha! Maguzu masese. Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake. Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema...
  17. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uongozi bora na mapambano dhidi ya ubadhirifu wa mali (rushwa)

    (ombeni hamadi silaa) UTANGULIZI, MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA Tanzania imekuwa ikipiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa katika kipindi cha hivi karibuni, lakini bado kuna changamoto kubwa zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha utawala bora nchini. Kupambana na...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

    Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member wa JamiiForums.com kuandika andiko likiwa na madai hayo Pia soma: Inadaiwa hasira za Lissu...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kama Rushwa nchini Tanzania isingekuwa kubwa basi tungejua hizi kesi 3 zimeishaje

    1. Wizi wa mafuta kigamboni 2. Mchimba Madini Mtwara 3. Mtandao wa POS fake katika halmshauri Hakuna kazi life is not fair.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Goli la kwanza la Simba na kagera ni offside . Rushwa sijui zitaisha lini ?! Majina ya bodi ya Ligi tuwajue . Utakuta la 7 .

    Simba kila mechi kuna Refa Ana wabeba . It’s not healthy kwa Ligi yetu . TFF na bodi ya Ligi wote kimya . That free kick was typical off side , the whole match Refa yupo upande mmoja . Watu wa bodi ya Ligi watoe nyeti na cv zao . Na wasi wasi na Elimu zao . Kuna vilaza mule na La Saba ...
Back
Top Bottom